Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kinyerezi I kukamilika mwaka huu

Kituo cha kuchakata na kuzalisha umeme kwa njia ya gesi cha Kinyezi I kimekamilika kwa asilimia 88 na kinatarajiwa kuzalisha umeme kuanzia Septemba mwaka huu.
Hayo yalisemwa na Meneja Mradi wa Kinyerezi I kutoka Shirika la Umeme Nchini (Tanesco) Mhandisi Simon Jilima akiwatembeza katika kituo hicho wanajopo la ukaguzi wa miradi kutoka Ofisi ya Raisi Tume ya Mipango walipotembelea mradi huo.   
“Kazi zinazoendelea kwa sasa ni ufungaji wa mifumo katika mitambo; na njia za kusafirisha umeme...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Pinda: Bomba la gesi kukamilika mwaka huu

Waziri Mkuu Mizengo Pinda, amesema zoezi la utandazaji mabomba ya kusafirishia gesi kutoka Mtwara kwenda Dar es Salaam, unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwaka huu.

 

10 years ago

Michuzi

Dkt. Magufuli akagua ujenzi wa Daraja la Kigamboni-Kukamilika mwezi wa Tisa mwaka huu

 Kazi za Ujenzi wa Daraja la Kigamboni ukiendelea kwa kasi
 Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akikagua moja ya nguzo za barabara za juu flyovers katika maingilio ya Daraja la Kigamboni. Katika eneo hilo kutajengwa barabara za juu ili kuruhusu magari kupita kwa urahisi wakati wa kuingia na kutoka katika daraja hilo. Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli (wakwanza kulia) akifanya ukaguzi katika mradi wa ujenzi wa Daraja la Kigamboni. Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mfuko wa...

 

10 years ago

Habarileo

Mtambo wa Kinyerezi kukamilika Juni

MENEJA wa Miradi ya Umeme ya Kinyerezi, Simon Jilima amesema mtambo wa Kinyerezi 1 unaojengwa na kampuni ya Yakobsen Elektro ya Norway, unatarajia kukamilika mapema Juni mwaka huu.

 

10 years ago

Habarileo

Maabara ya ebola, dengue kukamilika mwezi huu

 Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Steven KebweTANZANIA inazidi kupiga hatua katika sekta ya afya, na sasa inatarajia kuachana na usafirishaji wa sampuli za magonjwa ya uambukizi mkali yenye virusi visababishavyo damu kutoka mwilini, ikiwemo ebola na dengue.

 

10 years ago

Vijimambo

BARABARA YA NDUNDU SOMANGA KUKAMILIKA MWEZI HUU WA NOVEMBA

Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi Mhandisi Gerson Lwenge akifanya kazi ya kuchanganya cementi na udongo katika baadhi ya maeneo katika kipande hicho cha barabara.Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi Mhandisi Gerson Lwenge akiendelea na ukaguzi wa kazi za uchanganyaji wa cement na udongo katika kipande hicho kidogo cha barabara.Kazi za ujenzi wa barabara hiyo ukiendelea kwa kasi kubwa. Picha zote kwa Hisani ya Kitengo cha Mawasiliano Serikalini-Wizara ya Ujenzi.Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi...

 

10 years ago

Michuzi

KIPANDE KIDOGO KILICHOBAKIA KATIKA BARABARA YA NDUNDU-SOMANGA KUKAMILIKA MWEZI HUU

Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi Mhandisi Gerson Lwenge wapili kutoka kulia akipewa maelezo kutoka kwa Mhandisi Mkazi Agarton Mwenda kuhusu kazi zinazoendelea kwenye barabara hiyo ya Ndundu-Somanga inayotarajiwa kukamilika mwezi huu wa 11. Sehemu ya barabara ya Ndundu-Somanga ikiwa imeanza kuwekwa lami kwenye kipande hicho kilichobakia. Baadhi ya sehemu ya barabara hiyo ikiwa imeweka lami kama inavyoonekana. Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi Mhandisi Gerson Lwenge akifanya kazi ya...

 

10 years ago

Michuzi

KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA AHMED .Z. MSANGI-SACP ANAWATANGAZIA WAHITIMU WA KIDATO CHA SITA MWAKA 2014 NA KIDATO CHA NNE MWAKA 2013 WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA JESHI LA POLISI BAADA YA USAILI KUKAMILIKA

Maelekezo Muhimu.

Wahitimu wa kidato cha sita mwaka 2014, kidato cha nne mwaka 2013 na JKT Mafinga, Mlale, Ruvu, Mgambo, Bulombola, Kanembwa, Itende, Nachingwea, Mbweni, Maramba, Chita, Makutupola, Mtabila, Msange, Mgulani, Oljoro, Rwankoma na Kimbiji wamechaguliwa kujiunga na mafunzo ya awali ya Jeshi la Polisi.

Wahitimu hawa waliochaguliwa wanatakiwa kuripoti tarehe 28/11/2014 kwa Makamanda wa Polisi wa Mikoa kama ilivyooneshwa kwenye jedwali hapa chini ili...

 

11 years ago

Dewji Blog

TANROADS Singida yatumia zaidi ya sh 5.1 B kutengeneza barabara zake Julai mwaka jana na februari mwaka huu

DSC07622

Mkuu wa mkoa wa Singida na mwenyekiti wa bodi ya barabara, Dk.Parseko Vicent Kone, akifungua kikao cha bodi ya barabara cha 36 kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa VETA mjini Singida. Kulia (aliyekaa) ni katibu tawala mkoa wa Singida,Liana Hassan.

DSC07610

Meneja wa wakala wa barabara mkoa wa Singida (TANROADS), Mhandisi Yustaki Kangole, akitoa ufafanuzi juu ya sheria zinazotawala akiba/hifadhi  ya barabara kwenye kikao cha 36 cha bodi ya barabara mkoa wa Singida.

DSC07617

Mbunge wa jimbo la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani