KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA AHMED .Z. MSANGI-SACP ANAWATANGAZIA WAHITIMU WA KIDATO CHA SITA MWAKA 2014 NA KIDATO CHA NNE MWAKA 2013 WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA JESHI LA POLISI BAADA YA USAILI KUKAMILIKA
Maelekezo Muhimu.
Wahitimu wa kidato cha sita mwaka 2014, kidato cha nne mwaka 2013 na JKT Mafinga, Mlale, Ruvu, Mgambo, Bulombola, Kanembwa, Itende, Nachingwea, Mbweni, Maramba, Chita, Makutupola, Mtabila, Msange, Mgulani, Oljoro, Rwankoma na Kimbiji wamechaguliwa kujiunga na mafunzo ya awali ya Jeshi la Polisi.Wahitimu hawa waliochaguliwa wanatakiwa kuripoti tarehe 28/11/2014 kwa Makamanda wa Polisi wa Mikoa kama ilivyooneshwa kwenye jedwali hapa chini ili...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uErcoZ1KdnJKj6GYQvxxOszZzXbZARbmjXLHH3*Zg-BF3tE6xMt8MM3VOD-Hp03NmsUgpeyqJeJ-jcg5M4ALyMbpBeGW5PII/images.jpg)
AJIRA: UTARATIBU WA KUJIUNGA NA JESHI LA POLISI WAHITIMU KIDATO CHA SITA 2014
KAOHSIUNG NA JESHI LA POLISI KWA WAHITIMU WATARAJIWA WA KIDATO CHA SITA MWAKA 2014 Katika mwaka wa fedha 2014/2015 Jeshi la Polisi linatarajia kuajiri wahitimu wa kidato cha sita mwaka 2014 na kidato cha nne mwaka 2013. Ili kutekeleza azma hii tumeweka fomu kwenye tovuti ambayo wahitimu watarajiwa wa kidato cha sita wa mwaka 2014 watajaza kabla ya kufanya mitihani yao ya kumaliza kidato cha sita. Baada ya kujazwa kikamilifu...
11 years ago
Michuzi17 Mar
Taarifa Kwa Wahitimu Wa Kidato cha Sita 2014 ya Kujiunga na Jeshi la Polisi Nchini
![](https://4.bp.blogspot.com/-4Yiax1JDMTE/UyYNa54A5PI/AAAAAAACr14/_Ym-C60Upe8/s1600/wwwwww.jpg)
Baada ya kujazwa kikamilifu wakabidhi fomu kwa wakuu wa shule ambao watazirejeshe kwa Makamada wa Polisi wa mikoa kabla ya tarehe 17.03.2014. Wahitimu wa kidato cha nne...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-v2_XIJ9S1Ug/VeARqSfYtZI/AAAAAAAH0l8/ZYMzXcWZXHc/s72-c/Screen%2BShot%2B2015-08-28%2Bat%2B10.44.17%2BAM.png)
Tangazo kwa wahitimu wa kidato cha nne, sita na JKT ambao wamechaguliwa kujiunga na mafunzo ya awali ya Polisi
![](http://1.bp.blogspot.com/-v2_XIJ9S1Ug/VeARqSfYtZI/AAAAAAAH0l8/ZYMzXcWZXHc/s640/Screen%2BShot%2B2015-08-28%2Bat%2B10.44.17%2BAM.png)
KILA MMOJA ATATAKIWA KUWA NA NAULI YA KUMWEZESHA KUSAFIRI TOKA MAKAO MAKUU YA MKOA ANAKOANZIA KUSAFIRI HADI SHULE YA POLISI MOSHI NA ATAREJESHEWA NAULI ATAKAPOFIKA...
11 years ago
PMORALG21 Jun
11 years ago
Michuzi30 Jul
11 years ago
Michuzi13 May
UTARATIBU WA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA VIJANA WA MUJIBU WA SHERIA WANAOMALIZA KIDATO CHA SITA MEI 2014.
![](https://1.bp.blogspot.com/-mTxTgBNHbnU/U3DUsBVSmpI/AAAAAAAAsGk/lVHeBjiiXKA/s1600/dsc_0063.jpg)
AWAMU YA PILI; VIJANA 14450 WATARIPOTI KWENYE MAKAMBI YA MAFUNZO YA JKT KUANZIA TAREHE 11 SEPTEMBA 2014 NA KUANZA RASMI MAFUNZO TAREHE 18 SEPTEMBA 2014 NA KUMALIZA TAREHE 17 DESEMBA 2014. ORODHA YAO ITAANZA...
10 years ago
PMORALG01 Jul
10 years ago
GPLWANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2015 WATAJWA
Naibu Waziri wa Elimu, Ofisi ya Waziri Mkuu-TAMISEMI, Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). Waandishi wa habari wakiwa kazini. NAIBU Waziri wa Elimu, Ofisi ya Waziri Mkuu-TAMISEMI Mhe. Kassim Majaliwa leo ametoa taarifa ya serikali kuhusu wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2015. Akizungumza na wanahabari katika ukumbi wa osifi za TAMISEMI, jijini Dar, Majaliwa...
10 years ago
VijimamboMAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA CHUO KIKUU CHA DODOMA MWAKA WA MASOMO 2014/2015
UNDERGRADUATE DEGREE BATCH ONE
COLLEGE OF EDUCATIONcollege of education.xlsDownloadDetailsCOLLEGE OF EARTH SCIENCEScollege of earth sciences.xlsDownloadDetailsCOLLEGE OF HEALTH SCIENCEScollege of health sciences.xlsDownloadDetailsCOLLEGE OF HUMANITIES & SOCIAL SCIENCEScollege of humanities and social sciences.xlsDownloadDetailsCOLLEGE OF INFORMATICS & VIRTUAL EDUCATIONcollege of informatics and virtual education.xlsDownloadDetailsCOLLEGE OF NATURAL & MATHEMATICAL SCIENCEScollege of natural...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania