WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO 2015 - Matokeo ya Uchaguzi wa Kujiunga na kidato cha Tano Julai 2015.
BOFYA HAPA KUPATA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO MWAKA 2015.
PMORALG
Habari Zinazoendana
11 years ago
PMORALG21 Jun
10 years ago
GPLWANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2015 WATAJWA
Naibu Waziri wa Elimu, Ofisi ya Waziri Mkuu-TAMISEMI, Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). Waandishi wa habari wakiwa kazini. NAIBU Waziri wa Elimu, Ofisi ya Waziri Mkuu-TAMISEMI Mhe. Kassim Majaliwa leo ametoa taarifa ya serikali kuhusu wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2015. Akizungumza na wanahabari katika ukumbi wa osifi za TAMISEMI, jijini Dar, Majaliwa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-ZR9F1HA_eJg/XuouaT4OsHI/AAAAAAALuQo/Ja_0t6rYdegvAkYecva3zeMKaiHXt3elwCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-17%2Bat%2B5.50.26%2BPM.jpeg)
WAZIRI JAFO AWATAKA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO KURIPOTI KWA WAKATI
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais- Tamisemi, Selemani Jafo amesema wanafunzi wote wa bweni waliochaguliwa kujiunga na kidato cha Tano kwa mwaka 2020 wanatakiwa kuripoti shuleni Julai 18 mwaka huu na wale wa kutwa kuripoti na kuanza masomo Julai 20.
Waziri Jafo ameyasema hayo wakati akitoa taarifa kuhusu uchaguzi wa wanafunzi wa kujiunga na kidato cha tano, vyuo vya ualimu na vyuo vya ufundi mwaka 2020 mapema leo katika Ofisi za TAMISEMI, Jijini Dodoma.
Amesema wanafunzi ambao hawataripoti wiki...
Waziri Jafo ameyasema hayo wakati akitoa taarifa kuhusu uchaguzi wa wanafunzi wa kujiunga na kidato cha tano, vyuo vya ualimu na vyuo vya ufundi mwaka 2020 mapema leo katika Ofisi za TAMISEMI, Jijini Dodoma.
Amesema wanafunzi ambao hawataripoti wiki...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-bZFzlr4os4k/VPR4DrIrjDI/AAAAAAAHHJA/4NS9D_t0osA/s72-c/Screen%2BShot%2B2015-03-02%2Bat%2B5.41.37%2BPM.png)
10 years ago
Michuzi10 Nov
KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA AHMED .Z. MSANGI-SACP ANAWATANGAZIA WAHITIMU WA KIDATO CHA SITA MWAKA 2014 NA KIDATO CHA NNE MWAKA 2013 WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA JESHI LA POLISI BAADA YA USAILI KUKAMILIKA
Maelekezo Muhimu.Wahitimu wa kidato cha sita mwaka 2014, kidato cha nne mwaka 2013 na JKT Mafinga, Mlale, Ruvu, Mgambo, Bulombola, Kanembwa, Itende, Nachingwea, Mbweni, Maramba, Chita, Makutupola, Mtabila, Msange, Mgulani, Oljoro, Rwankoma na Kimbiji wamechaguliwa kujiunga na mafunzo ya awali ya Jeshi la Polisi.Wahitimu hawa waliochaguliwa wanatakiwa kuripoti tarehe 28/11/2014 kwa Makamanda wa Polisi wa Mikoa kama ilivyooneshwa kwenye jedwali hapa chini ili...
11 years ago
Michuzi18 Jun
Uchaguzi wa wanafunzi wa kuingia Kidato cha Tano
Uchaguzi wa wanafunzi wa kuingia Kidato cha Tano katika shule za Serikali na Vyuo vya Ufundi kwa mwaka 2014 umekamilika. Uchaguzi umefanyika kwa kuzingatia takwimu za matokeo ya watahiniwa waliofanya Mtihani wa Kidato cha Nne Tanzania Bara mwaka 2013.
Kwa taarifa kamili BOFYA HAPA
10 years ago
Mwananchi18 Dec
Asilimia 97 wachaguliwa kujiunga kidato cha kwanza 2015
Jumla ya wanafunzi 438,960 kati ya wanafunzi 451,392 waliohiyimu elimu ya msingi mwaka huu wamechaguliwa kujiunga na masomo ya kidato cha kwanza mwakani.
10 years ago
Michuzi12 Nov
10 years ago
Michuzi19 Feb
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania