Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NAMNA YA KUFANYA KWA WANAFUNZI BAADA YA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2015

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

SHULE ZA BINAFSI ZAONGOZA MATOKEO YA MTIHANI WA UTIMILIFU (MOCK) KWA WANAFUNZI WANAOSOMA KIDATO CHA NNE JIJINI DAR

 Afisa Elimu wa Mkoa wa Dar es salaam Bw.Raymond Mapunda akitoa matokeo ya mtihani wa Utimilifu kwa wanafunzi wa shule za Sekondari jijini Dar es salaam ambapo katika mtihani huo uliofanyika Mei 25 hadi Juni 12 mwaka huu shule Binafsi zimeongoza kwa ufaulu.
Na Aron Msigwa -MAELEZO.MATOKEO  ya mtihani wa Utimilifu kwa wanafunzi wanaosoma kidato cha nne katika shule za  Sekondari za jiji la Dare es  salaam yametolewa leo jijini Dar es salaam yakiwa na alama za juu  za ufaulu kwa wanafunzi...

 

10 years ago

Mtanzania

Matokeo kidato cha nne Wanafunzi wamefaulu, wamefaulishwa?

dk-charles-e-msondeNA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
WAKATI maelfu ya wanafunzi waliohitimu Mtihani wa Kidato cha Nne mwaka 2014 wakiwa wanasherehekea matokeo yao, baadhi ya wadau wa elimu wameonyesha wasiwasi wao juu ya kuongezeka kwa ufaulu huo wakati hali ya shule na changamoto zake zikiwa zinaongezeka.
Kwa mujibu matokeo yaliyotangazwa juzi na Katibu Mkuu wa Baraza la Mitihani (Necta), Dk Charles Msonde, ufaulu umeongezeka kutoka asilimia 58.25 mwaka 2013 mpaka 68.33 mwaka 2014.
Wadau hao walisema baada ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Matokeo kidato cha nne ni hujuma kwa wazazi

NIANZE kwa kukushukuru wewe unayeendelea kuwa msomaji na mfuatiliaji wa makala zangu kupitia gazeti letu hili tukufu. Hoja na maswali yako ndiyo chachu ya mimi kuendelea kuandika tafakuri mbalimbali kuhusu...

 

9 years ago

StarTV

Hofu ya ufaulu yatanda kwa wanafunzi wa Kidato cha nne

Ikiwa zimebaki siku chache ya kufanyika mitihani ya kidato cha nne bado hofu ya ufaulu kwa wanafunzi wa kidato hicho imetanda ikilinganishwa na ufaulu kwa wahitimu wa kidato cha Sita.

Wadau wa elimu wanaelezwa kuwa kiwango cha ufaulu cha kidato cha nne kipo chini ikilinganishwa na ufaulu wa kidato cha sita hali inayosababisha vijana wengi kushindwa kuendelea.

 Mkurugenzi wa shule ya sekondari Kassa Charity anasema elimu ndio msingi wa maendeleo kwa kila nchi hivyo amewataka wanafunzi kusoma...

 

5 years ago

Michuzi

MKURUGENZI KAGURUMJULI APONGEZWA KINONDONI KUONGOZA MARA NNE MFULULIZO MATOKEO KIDATO CHA NNE NA PILI KIMKOA


Mkuu wa shule ya Sekondari ya Canosa sister Irine Nakamanya akipokea cheti cha pongezi kwa shule hiyo kufanya vizuri kwenye matokeo ya kidato cha nne na pili.Wanafunzi na walimu waliokuwa katika hafla ya kupongezwa kwa kufanya vizuri katika matokeo ya kidato cha nne na cha pili mwaka 2019. Hafla hiyo imeandaliwa na Idara ya elimu Sekondari.

 

10 years ago

GPL

BAADA YA KUMALIZA KIDATO CHA NNE SASA ATEMBEA KWA MAKALIO

Na Makongoro Oging’
Nyinyiga Raphael (27) ni kijana, mkazi wa Yombo Machimbo wilaya ya Temeke ambaye ndoto zake za kuendelea na masomo zilikatika baada ya kupatwa na maradhi ambayo yanamtesa kwa kipindi cha miaka saba sasa bila kutembea kwa miguu kama ilivyokuwa awali. Nyinyiga Raphael akitembea kwa kutumia makalio. Akizungumza na gazeti hili nyumbani kwake huko Yombo, mama mzazi wa kijana huyo alikuwa na haya ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Maajabu matokeo kidato cha nne

MATOKEO ya kidato cha nne yaliyotangazwa hivi karibuni yameendelea kuibua mkanganyiko kutokana na kuwapo kwa utofauti wa madaraja kwa pointi zinazolingana. Mkanganyiko huo unatokana na kuwepo kwa hali ya sintofahamu...

 

10 years ago

Vijimambo

TAARIFA YA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE

Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limesema usahihishaji wa mitihani ya kidato cha nne uliofanyika Novemba mwaka jana, umekamilika.Katibu mtendaji wa Necta, Dk Charles Msonde aliliambia gazeti hili wiki hii kuwa “usahihishaji umekamilika na baraza lipo katika uchambuzi wa kuyapanga na tutakapokamilisha tutayatangaza”.Alipoulizwa ni lini hasa matokeo hayo yatatangazwa, Dk Msonde alisema: “Tumemaliza kusahihisha na mchakato wa kuyapanga ukikamilika tutawaeleza hivyo msiwe na shaka.”Katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani