Hofu ya ufaulu yatanda kwa wanafunzi wa Kidato cha nne
Ikiwa zimebaki siku chache ya kufanyika mitihani ya kidato cha nne bado hofu ya ufaulu kwa wanafunzi wa kidato hicho imetanda ikilinganishwa na ufaulu kwa wahitimu wa kidato cha Sita.
Wadau wa elimu wanaelezwa kuwa kiwango cha ufaulu cha kidato cha nne kipo chini ikilinganishwa na ufaulu wa kidato cha sita hali inayosababisha vijana wengi kushindwa kuendelea.
Mkurugenzi wa shule ya sekondari Kassa Charity anasema elimu ndio msingi wa maendeleo kwa kila nchi hivyo amewataka wanafunzi kusoma...
StarTV
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo26 Feb
NECTA yafafanua alama za ufaulu kidato cha nne
BARAZA la Taifa la Mitihani (Necta) limetoa ufafanuzi kuhusu viwango vya ufaulu, alama ya chini ya ufaulu na ufaulu wa jumla, ambavyo vimetumika kwa mara ya kwanza mwaka huu.
10 years ago
Michuzi19 Feb
11 years ago
Michuzi29 Jun
BARAZA LA MITIHANI LAPANGUA MFUMO MZIMA WA KUPANGA MADARAJA YA UFAULU KIDATO CHA NNE NA TANO
![](https://2.bp.blogspot.com/-iyagcdX7E9g/U621AyDjleI/AAAAAAAAJUo/FPL6k41YOQY/s640/1.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-zSlEfiRqINs/VcIaf4sCu8I/AAAAAAAHuY8/P-uYt6sb9Pg/s72-c/image.jpg)
SHULE ZA BINAFSI ZAONGOZA MATOKEO YA MTIHANI WA UTIMILIFU (MOCK) KWA WANAFUNZI WANAOSOMA KIDATO CHA NNE JIJINI DAR
![](http://4.bp.blogspot.com/-zSlEfiRqINs/VcIaf4sCu8I/AAAAAAAHuY8/P-uYt6sb9Pg/s640/image.jpg)
Na Aron Msigwa -MAELEZO.MATOKEO ya mtihani wa Utimilifu kwa wanafunzi wanaosoma kidato cha nne katika shule za Sekondari za jiji la Dare es salaam yametolewa leo jijini Dar es salaam yakiwa na alama za juu za ufaulu kwa wanafunzi...
10 years ago
StarTV15 Feb
Asilimia 58.25 ya wanafunzi wafaulu Kidato cha Nne.
Josephine Mwaiswaga,
Dar Es Salaam
Baraza la Mitihani la Taifa NECTA limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne mwaka 2014 ambapo jumla ya watahiniwa 235,227 sawa na asilimia 58.25 wamefaulu.
Kiwango cha ufulu kimeonekana kupanda kwa asilimia 10.08 ikilinganiwa na matokeo ya Mwaka jana.
Ufaulu kati ya wasichana na wavulana haujatofuatiana sana ikilinganishwa na kipindi cha nyumba ambapo kati ya watahiniwa wote 196,805 waliofanya mtihani huo, jumla ya wasichana 89,845 sawa na...
10 years ago
Mtanzania16 Feb
Matokeo kidato cha nne Wanafunzi wamefaulu, wamefaulishwa?
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
WAKATI maelfu ya wanafunzi waliohitimu Mtihani wa Kidato cha Nne mwaka 2014 wakiwa wanasherehekea matokeo yao, baadhi ya wadau wa elimu wameonyesha wasiwasi wao juu ya kuongezeka kwa ufaulu huo wakati hali ya shule na changamoto zake zikiwa zinaongezeka.
Kwa mujibu matokeo yaliyotangazwa juzi na Katibu Mkuu wa Baraza la Mitihani (Necta), Dk Charles Msonde, ufaulu umeongezeka kutoka asilimia 58.25 mwaka 2013 mpaka 68.33 mwaka 2014.
Wadau hao walisema baada ya...
10 years ago
Dewji Blog18 Oct
Wanafunzi waaswa kutokufaulu kidato cha nne, sio kufeli maisha
Rais wa shirikisho la wachimba madini Tanzania na mgeni rasmi wa mahafali ya sita ya shule ya sekondari kata Mandewa,John Bina,akizungumza kwenye mahafali hayo. Kulia ni mwenyekiti wa bodi ya shule ya sekondari ya Mandewa.Bahati Shagama na kushoto ni mkuu wa wa shule hiyo, Margreth Missanga.
Na Nathaniel Limu, Singida
RAIS wa shirikisho la wachimba madini Tanzania, John Bina amewataka wanafunzi ambao hawatafaulu mtihani wa kidato cha nne mwaka huu,wasikate tamaa kwa madai kwamba yapo...
10 years ago
GPLWANAFUNZI BORA KIDATO CHA NNE AWATAKA VIONGOZI WAWE WAKWELI, WAADILIFU
10 years ago
VijimamboMWANADIASPORA DMV AHUTUBIA WANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE NA KUWATIA MOYO SIKU 2 KABLA YA MTIHANI WA MWISHO