MKURUGENZI KAGURUMJULI APONGEZWA KINONDONI KUONGOZA MARA NNE MFULULIZO MATOKEO KIDATO CHA NNE NA PILI KIMKOA
![](https://1.bp.blogspot.com/-P3xO_MwNkrI/Xk-TwVVoiRI/AAAAAAALep4/3lTk2VZschQkoMaqnEtg08LSj8to6xmywCLcBGAsYHQ/s72-c/c492ed38-3286-49f2-81dc-81b5b1ea4ec6.jpg)
Mkuu wa shule ya Sekondari ya Canosa sister Irine Nakamanya akipokea cheti cha pongezi kwa shule hiyo kufanya vizuri kwenye matokeo ya kidato cha nne na pili.
Wanafunzi na walimu waliokuwa katika hafla ya kupongezwa kwa kufanya vizuri katika matokeo ya kidato cha nne na cha pili mwaka 2019. Hafla hiyo imeandaliwa na Idara ya elimu Sekondari.
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-JRqO7jXBvy8/XteqoYQbmPI/AAAAAAALsg0/xaEecqgYF4MHsO6-TM1RHvSePtHC1Mm6ACLcBGAsYHQ/s72-c/cf164921-7add-4f13-8526-11c9018e3cd6.jpg)
KAGURUMJULI APONGEZWA KINONDONI KUPATA HATI SAFI MIAKA MITANO MFULULIZO .
![](https://1.bp.blogspot.com/-JRqO7jXBvy8/XteqoYQbmPI/AAAAAAALsg0/xaEecqgYF4MHsO6-TM1RHvSePtHC1Mm6ACLcBGAsYHQ/s640/cf164921-7add-4f13-8526-11c9018e3cd6.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/88ddfb52-3c2c-4be1-95b8-c2d8e21628ea.jpg)
Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni,Mhe. Benjamini Sitta akifuatilia hoja iliyokuwa ikiwasilishwa na Mkaguzi mkuu wa hesabu za nje, kulia ni Mkurugenzi Ndug. Aron Kagurumjuli
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/0eeb8015-7735-486a-a877-5a2d94dd9229.jpg)
10 years ago
Vijimambo08 Feb
TAARIFA YA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2616940/highRes/940569/-/maxw/600/-/nbdw9az/-/MSONDE.jpg)
10 years ago
Mwananchi08 Feb
Matokeo kidato cha nne yakamilika
11 years ago
Tanzania Daima24 Feb
Maajabu matokeo kidato cha nne
MATOKEO ya kidato cha nne yaliyotangazwa hivi karibuni yameendelea kuibua mkanganyiko kutokana na kuwapo kwa utofauti wa madaraja kwa pointi zinazolingana. Mkanganyiko huo unatokana na kuwepo kwa hali ya sintofahamu...
10 years ago
TZToday16 Feb
11 years ago
GPL11 years ago
Tanzania Daima24 Feb
BAVICHA: Matokeo kidato cha nne ni ya kisiasa
BARAZA la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) limesema matokeo ya kidato cha nne yaliyotangazwa na serikali juzi ni ya kisiasa zaidi. Katibu Mkuu wa BAVICHA, Deogratias Munishi,...
11 years ago
Michuzi21 Feb
MATOKEO KIDATO CHA NNE YATANGAZWA LEO
11 years ago
Mwananchi22 Feb
Matokeo kidato cha nne yazuiwa,yafutwa