WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2015 WATAJWA
Naibu Waziri wa Elimu, Ofisi ya Waziri Mkuu-TAMISEMI, Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). Waandishi wa habari wakiwa kazini. NAIBU Waziri wa Elimu, Ofisi ya Waziri Mkuu-TAMISEMI Mhe. Kassim Majaliwa leo ametoa taarifa ya serikali kuhusu wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2015. Akizungumza na wanahabari katika ukumbi wa osifi za TAMISEMI, jijini Dar, Majaliwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
PMORALG01 Jul
11 years ago
PMORALG21 Jun
9 years ago
Dewji Blog23 Dec
Wanafunzi 15,312 mkoani Iringa kujiunga na kidato cha kwa kwanza 2016
(Picha na Maktaba).
IRINGA: Ufaulu wa wanafunzi waliofanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi (PSLE) mwaka 2015 mkoani Iringa umeongezeka ukilinganisha na mwaka jana, ambapo ufaulu kwa mwaka huu ni asilimia 73.25, wakati mwaka jana ulikuwa ni asilimia 68.58, sawa na ongezeko la asimilia 4.67.
Hayo yalisemwa na Afisa Elimu Taaluma wa Mkoa wa Iringa, Euzebio Mtavangu hivi karibuni wakati akitoa taarifa ya mwelekeo wa matokeo ya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi 2015 kwa wajumbe wa kamati...
10 years ago
Mwananchi18 Dec
Asilimia 97 wachaguliwa kujiunga kidato cha kwanza 2015
10 years ago
Michuzi10 Nov
KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA AHMED .Z. MSANGI-SACP ANAWATANGAZIA WAHITIMU WA KIDATO CHA SITA MWAKA 2014 NA KIDATO CHA NNE MWAKA 2013 WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA JESHI LA POLISI BAADA YA USAILI KUKAMILIKA
10 years ago
Michuzi12 Nov
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-ZR9F1HA_eJg/XuouaT4OsHI/AAAAAAALuQo/Ja_0t6rYdegvAkYecva3zeMKaiHXt3elwCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-17%2Bat%2B5.50.26%2BPM.jpeg)
WAZIRI JAFO AWATAKA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO KURIPOTI KWA WAKATI
Waziri Jafo ameyasema hayo wakati akitoa taarifa kuhusu uchaguzi wa wanafunzi wa kujiunga na kidato cha tano, vyuo vya ualimu na vyuo vya ufundi mwaka 2020 mapema leo katika Ofisi za TAMISEMI, Jijini Dodoma.
Amesema wanafunzi ambao hawataripoti wiki...
10 years ago
VijimamboMAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA CHUO KIKUU CHA DODOMA MWAKA WA MASOMO 2014/2015
UNDERGRADUATE DEGREE BATCH ONE
COLLEGE OF EDUCATIONcollege of education.xlsDownloadDetailsCOLLEGE OF EARTH SCIENCEScollege of earth sciences.xlsDownloadDetailsCOLLEGE OF HEALTH SCIENCEScollege of health sciences.xlsDownloadDetailsCOLLEGE OF HUMANITIES & SOCIAL SCIENCEScollege of humanities and social sciences.xlsDownloadDetailsCOLLEGE OF INFORMATICS & VIRTUAL EDUCATIONcollege of informatics and virtual education.xlsDownloadDetailsCOLLEGE OF NATURAL & MATHEMATICAL SCIENCEScollege of natural...