Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA ACP AHMED MSANGI AONGELEA HALI YA UHALIFU MKOANI HUMO

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA AHMED .Z. MSANGI-SACP ANAWATANGAZIA WAHITIMU WA KIDATO CHA SITA MWAKA 2014 NA KIDATO CHA NNE MWAKA 2013 WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA JESHI LA POLISI BAADA YA USAILI KUKAMILIKA

Maelekezo Muhimu.

Wahitimu wa kidato cha sita mwaka 2014, kidato cha nne mwaka 2013 na JKT Mafinga, Mlale, Ruvu, Mgambo, Bulombola, Kanembwa, Itende, Nachingwea, Mbweni, Maramba, Chita, Makutupola, Mtabila, Msange, Mgulani, Oljoro, Rwankoma na Kimbiji wamechaguliwa kujiunga na mafunzo ya awali ya Jeshi la Polisi.

Wahitimu hawa waliochaguliwa wanatakiwa kuripoti tarehe 28/11/2014 kwa Makamanda wa Polisi wa Mikoa kama ilivyooneshwa kwenye jedwali hapa chini ili...

 

10 years ago

Vijimambo

KAMANDA WA POLISI MKOA WA DODOMA AONGEA NA VIONGOZI WA TARAFA YA DODOMA MJINI KUHUSIANA NA HALI YA ULINZI NA USALAMA PAMOJA NA MATISHIO YA UGAIDI MKOANI HUMO

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, SACP David Misime akitoa elimu katika mkutano huo.Balozi Mstaafu Job Lusinde Mwenyekiti wa Baraza la wazee Mkoa wa Dodoma akiongea jambo.Padre Thomas V. Lali Katibu Mkuu jimbo kuu Dodoma akizungumza katika mkutano huo.
Sheke AHMAD SAID akizungumza katika mkutano huo.
  Na Lakia Ndwellah wa Jeshi la Polisi Dodoma
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP amewataka viongozi wa Tarafa ya Dodoma mjini kuwaelimisha...

 

11 years ago

Michuzi

Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP Suzan S. Kaganda aendelea na kampeni yake ya kuhamasisha dhana ya polisi jamii

Na Fakih Mapondela wa Tabora Police Press Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP Suzan S. Kaganda Alhamisi  tarehe 20/03/2014 alifanya ziara katika manispaa ya Tabora na kukutana na kikundi shirikishi (Sungusungu) na kukipatia mafunzo mbalimbali ya ulinzi shirikishi na ukamataji salama wa watuhumiwa pamoja na kukipa somo la dhana ya Polisi jamii. Kamanda Kaganda akiwa katikati ya Sungusungu kuonesha mbinu bora za ukamataji salama wa watuhumiwa Kamanda Kaganda akiwa katika harakati za kutoa...

 

11 years ago

Michuzi

TAARIFA YA HALI YA UHALIFU MKOA WA MBEYA.

 SACP AHMED Z. MSANGI – KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA.

 

10 years ago

IPPmedia

Mbeya Regional Police Commander, Ahmed Msangi


IPPmedia
Mbeya Regional Police Commander, Ahmed Msangi
IPPmedia
Tragedy hit Idweli village in Rungwe Region yesterday when 3 people were burnt to death as they attempted to siphon petrol from an overturned petrol tanker, a practice repeatedly condemned. Eighteen others sustained high degree burns and are admitted ...

 

5 years ago

Michuzi

KAMANDA WA POLISI MKOANI MBEYA AFANYA UKAGUZI WA KUSHTUKIZA STENDI KUU YA MABASI MBEYA.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi ULRICH MATEI leo tarehe 04.05.2020 majira ya saa 05:00 Alfajiri amefanya ukaguzi wa kushtukiza wa Mabasi ya Abiria yanayofanya safari kwenda mikoa mbalimbali kabla ya kuanza safari kwa lengo la kuangalia usalama wa vyombo hivyo vya usafiri pamoja na kujiridhisha na usimamizi na utekelezaji wa maelekezo yake kwa wakaguzi wa magari waliopo Stendi Kuu.
Katika ukaguzi huo alikuta Mabasi matatu ya abiria yenye namba za...

 

11 years ago

Michuzi

KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA AWATAKA MADEREVA NA WAMILIKI WA DALALDALA KUACHA MGOMO

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya  ACP Ahmed Msangi akiongea na Madereva na wamiliki wa daladala jijini mbeya
Mwenyekiti wa Daladala Kanda ya Uyole Sunday Mwansasu amesema kuwa kitendo kilichofanywa na Halmashauri ya Jiji na Sumatra cha kuwapangia njia ambayo haiko katika mkataba wa leseni ya usafirishaji ni kitendo cha kuwaonea Madereva na Wamiliki wa magari kwani kwa ratiba hiyo hulazimika kutembea kilometa nne zaidi tofauti na njia ya awali.
Mchungaji William Mwamalanga akiwasihi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani