Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP Suzan S. Kaganda aendelea na kampeni yake ya kuhamasisha dhana ya polisi jamii

Na Fakih Mapondela wa Tabora Police Press Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP Suzan S. Kaganda Alhamisi  tarehe 20/03/2014 alifanya ziara katika manispaa ya Tabora na kukutana na kikundi shirikishi (Sungusungu) na kukipatia mafunzo mbalimbali ya ulinzi shirikishi na ukamataji salama wa watuhumiwa pamoja na kukipa somo la dhana ya Polisi jamii. Kamanda Kaganda akiwa katikati ya Sungusungu kuonesha mbinu bora za ukamataji salama wa watuhumiwa Kamanda Kaganda akiwa katika harakati za kutoa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KAMANDA WA POLISI MKOA WA TABORA AHAMASISHA ULINZI SHIRIKISHI MKOANI MWAKE

Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP. Suzan Kaganda akiongoza mafunzo ya ulinzi shirikishi kwa vijana wa Mkoa huo,yaliyofanyika leo tarehe 20.06.2014 katika shule ya msingi Idudumio iliyopo tarafa ya Nyasa wilaya ya Nzega. Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP. Suzan Kaganda akikabidhi zawadi mbali mbali kwa vijana walioshiriki kwenye Mafunzo ya Ulinzi Shirikishi.

 

11 years ago

Michuzi

KAMISHNA MSAIDIZI WA POLISI SUZAN KAGANDA ATOA VITENGE 15 NA TSHS. 100,000/= KWA AJILI YA MRADI WA UFUGAJI WA KUKU WILAYANI KONGWA

Na Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.   Kamishna Msaidizi wa Polisi Suzan Kaganda  ametoa vitenge 15 kwa ajili ya sare ya kikundi cha ngoma cha Kijiji cha Mlanga Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma na kutoa fedha tasilimu Tshs. 100,000/= kwa ajili ya kuanzisha mradi wa ufugaji wa kuku.  Ametoa vitu hivyo alipotembelea kikundi hicho ambacho pia kinajishughulisha na ulinzi shirikishi kijijini hapo na kuwaambia kuwa swala la maendeleo ni swala mtambuko hivyo amewataka kuweza kujishughulisha...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Polisi yaimarisha dhana ya polisi jamii

KAMISHNA wa Polisi Jamii nchini (CP), Mussa Ali Mussa, amewataka maofisa wa Polisi na askari wote nchini, kuhakikisha wanafanya kazi katika misingi ya uwazi na usasa, hali itakayosaidia uenezi wa...

 

10 years ago

GPL

AFANDE SUZAN KAGANDA APOKEA ASKARI WAPYA 75 TABORA, ATOA TAARIFA YA UHALIFU MKOANI HUMO

Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP - Suzan Kaganda amewapokea askari 75 wa awamu ya kwanza walioripoti mkoani Tabora wakitokea Chuo Cha Polisi Moshi baada ya kuhitimu  mafunzo ya awali ya Polisi. Kamanda aliwataka askari hao kufanya kazi kwa weledi katika utendaji kazi pamoja na Nidhamu ya hali ya juu.   Askari wapya wakimsikiliza Afande Suzan Kaganda alipowapokea … ...

 

10 years ago

Michuzi

AFANDE SUZAN KAGANDA APOKEA ASKARI WAPYA 75 TABORA, ATOA TAARIFA YA UHALIFU MKOANI HUMO

 Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP - Suzan Kaganda amewapokea askari 75 wa awamu ya kwanza walioripoti mkoani Tabora wakitokea Chuo Cha Polisi Moshi baada ya kuhitimu  mafunzo ya awali ya Polisi. Kamanda aliwataka askari hao kufanya kazi kwa weledi katika utendaji kazi pamoja na Nidhamu ya hali ya juu.  
 Askari wapya wakimsikiliza Afande Suzan Kaganda alipowapokea  mkoani Tabora wakitokea Chuo Cha Polisi Moshi 
  Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP - Suzan Kaganda amewapokea askari 75 wa...

 

11 years ago

Michuzi

HONGERA KAMANDA MZINGA KWA KUTEULIWA KUWA KAMANDA WA POLISI MKOA WA LINDI

Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Lindi(LPC) Inatoa Pongezi kwa ACP Renatha Mzinga(pichani) aliekuwa Ofisa Mnadhimu wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Lindi kwa kuteuliwa na MKUU wa Jeshi la Polisi, IGP Ernest Mangu kuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa LINDI. Taarifa iliyotolewa leo na Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Lindi,Abdulaziz Ahmeid ameeleza kuwa kuwa Klabu hiyo Imepokea mabadiliko hayo na kuhaidi Ushirikiano mkubwa baina ya klabu na Jeshi hilo.  "Kwa niaba ya wanahabari...

 

11 years ago

Michuzi

kamanda suzana kaganda atembelea vikundi vya ulinzi shirikishi mkoani tabora

Na Fakih Abdul wa Police Press Tabora Kamanda wa Polisi Mkowa wa Tabora  Kamishna Msaidizi wa Polisi Suzana S. Kaganda  amefanya ziara katika wilaya ya Sikonge na kukutana na vikundi mbalimbali vya ulinzi shirikishi. Kwanza alikutana na kikundi cha Pathfinder (maarufu kama Maisha Plus ya Tabora) kilichopo katika kijiji cha Tumbili kata ya Tutuo wilaya ya Sikonge na kuwafundisha mbinu mbalimbali za ulinzi shirikishi na dhana ya Polisi jamii kwa ujumla wake, pamoja na kuwapatia mazoezi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani