Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HONGERA KAMANDA MZINGA KWA KUTEULIWA KUWA KAMANDA WA POLISI MKOA WA LINDI

Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Lindi(LPC) Inatoa Pongezi kwa ACP Renatha Mzinga(pichani) aliekuwa Ofisa Mnadhimu wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Lindi kwa kuteuliwa na MKUU wa Jeshi la Polisi, IGP Ernest Mangu kuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa LINDI. Taarifa iliyotolewa leo na Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Lindi,Abdulaziz Ahmeid ameeleza kuwa kuwa Klabu hiyo Imepokea mabadiliko hayo na kuhaidi Ushirikiano mkubwa baina ya klabu na Jeshi hilo.  "Kwa niaba ya wanahabari...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

SALAMU ZA X- MAS NA MWAKA MPYA 2016 KUTOKA KWA KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA

KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA, KAMISHNA MSAIDIZI MWANDAMIZI WA POLISI AHMED ZAHORO MSANGI - SACP, ANAWATAKIA WAANDISHI WOTE WA HABARI "HERI YA KRISMAS NA MWAKA MPYA, 2016"
KAULI MBIU: "ULINZI UNAANZA NA MIMI, WEWE NA SISI SOTE"KUMBUKA: WHEN YOU SEE SOMETHING, SAY SOMETHING.TUSHEREHEKEE KWA AMANI NA UTULIVU SIKUKUU YA KRISMAS NA MWAKA MPYA, 2016.
AHSANTENI!!!!

 

11 years ago

Michuzi

Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP Suzan S. Kaganda aendelea na kampeni yake ya kuhamasisha dhana ya polisi jamii

Na Fakih Mapondela wa Tabora Police Press Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP Suzan S. Kaganda Alhamisi  tarehe 20/03/2014 alifanya ziara katika manispaa ya Tabora na kukutana na kikundi shirikishi (Sungusungu) na kukipatia mafunzo mbalimbali ya ulinzi shirikishi na ukamataji salama wa watuhumiwa pamoja na kukipa somo la dhana ya Polisi jamii. Kamanda Kaganda akiwa katikati ya Sungusungu kuonesha mbinu bora za ukamataji salama wa watuhumiwa Kamanda Kaganda akiwa katika harakati za kutoa...

 

11 years ago

Michuzi

KAMANDA WA POLISI MKOA WA TABORA AHAMASISHA ULINZI SHIRIKISHI MKOANI MWAKE

Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP. Suzan Kaganda akiongoza mafunzo ya ulinzi shirikishi kwa vijana wa Mkoa huo,yaliyofanyika leo tarehe 20.06.2014 katika shule ya msingi Idudumio iliyopo tarafa ya Nyasa wilaya ya Nzega. Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP. Suzan Kaganda akikabidhi zawadi mbali mbali kwa vijana walioshiriki kwenye Mafunzo ya Ulinzi Shirikishi.

 

11 years ago

Michuzi

KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA AWATAKA MADEREVA NA WAMILIKI WA DALALDALA KUACHA MGOMO

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya  ACP Ahmed Msangi akiongea na Madereva na wamiliki wa daladala jijini mbeya
Mwenyekiti wa Daladala Kanda ya Uyole Sunday Mwansasu amesema kuwa kitendo kilichofanywa na Halmashauri ya Jiji na Sumatra cha kuwapangia njia ambayo haiko katika mkataba wa leseni ya usafirishaji ni kitendo cha kuwaonea Madereva na Wamiliki wa magari kwani kwa ratiba hiyo hulazimika kutembea kilometa nne zaidi tofauti na njia ya awali.
Mchungaji William Mwamalanga akiwasihi...

 

11 years ago

Michuzi

DARAJA LAKATIKA ENEO LA MAPINGA,BAGAMOYO - KAMANDA WA POLISI MKOA WA PWANI ATHIBITISHA

Wakazi wa eneo la Mapingwa Mkoani Pwani wakiwa kwenye mshangao mkubwa baada ya kushindwa kuvuka Daraja la Mto unaokatisha kwenye eneo hilo baada ya kutokuwepo kwa mawasiliano ya barabara kwa kukatika kwa daraja hilo kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha hivi sasa katika maeneo mbali mbali hapa nchini.
Akithibitisha kutokea kwa hitilafu hiyo,Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani,ACP Ulrich Matei amesema ni kweli kumetokea kwa tatizo hilo na amewataka watumiaji wa barabara ya Bagamoyo...

 

11 years ago

Michuzi

Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Manyara, SACP Deusdedit Nsimeki afanya ukaguzi wilayani simanjiro

 Askari wa kituo cha polisi Mirerani Wilayani Simanjiro wakifanya mazoezi mbele ya Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Manyara, SACP Deusdedit Nsimeki, alipofanya ziara ya ukaguzi wilayani humo mwishoni mwa juma.  Askari wa kituo cha polisi Mirerani Wilayani Simanjiro wakifanya mazoezi mbele ya Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Manyara, SACP Deusdedit Nsimeki,   Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Manyara, SACP Deusdedit Nsimeki, akikaribishwa kukagua  askari polisi jamii wa Mji mdogo wa Mirerani Wilayani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani