Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DARAJA LAKATIKA ENEO LA MAPINGA,BAGAMOYO - KAMANDA WA POLISI MKOA WA PWANI ATHIBITISHA

Wakazi wa eneo la Mapingwa Mkoani Pwani wakiwa kwenye mshangao mkubwa baada ya kushindwa kuvuka Daraja la Mto unaokatisha kwenye eneo hilo baada ya kutokuwepo kwa mawasiliano ya barabara kwa kukatika kwa daraja hilo kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha hivi sasa katika maeneo mbali mbali hapa nchini.
Akithibitisha kutokea kwa hitilafu hiyo,Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani,ACP Ulrich Matei amesema ni kweli kumetokea kwa tatizo hilo na amewataka watumiaji wa barabara ya Bagamoyo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Daraja la Mapinga-Bunju lakatika

Daraja linalounganisha barabara ya Bagamoyo na Dar es Salaam katika maeneo ya Mapinga na Bunju, limekatika hali iliyosababisha kukosekana kwa mawasiliano ya usafiri kwa watu wanaokwenda na kutoka mikoa ya Kaskazini.

 

10 years ago

Dewji Blog

Madiwani wa Manispaa ya Lindi watembelea Mradi Mapinga Satellite wa UTT-PID uliopo Bagamoyo Mapinga

Diwani wa Kata ya Nachingwe, Lindi Mjini, Omary Chitanda (katikati) akiuliza swali kwa mtaalamu wa mradi huo

Diwani wa Kata ya Nachingwe, Lindi Mjini, Omary Chitanda (katikati) akiuliza swali kwa mtaalamu wa mradi huo.

*Taasisi ya Miradi na Maendeleo ya Miundombinu (UTT-PID) ilianza kazi zake Julai  1, 2013. Taasisi hii ilirithi kazi za miradi zilizokuwa zinafanywa na Taasisi mama yaani UTT.

Andrew Chale wa Mo dewji blog aliyekuwa Bagamoyo

Baadhi ya Madiwani wa  Manispaa ya Lindi  Machi 17, wametembelea miradi mbali mbali ya  UTT-PID  iliyopo Dar es Salaam  ikiwemo ule wa Bagamoyo wa New Mapinga...

 

11 years ago

Michuzi

HONGERA KAMANDA MZINGA KWA KUTEULIWA KUWA KAMANDA WA POLISI MKOA WA LINDI

Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Lindi(LPC) Inatoa Pongezi kwa ACP Renatha Mzinga(pichani) aliekuwa Ofisa Mnadhimu wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Lindi kwa kuteuliwa na MKUU wa Jeshi la Polisi, IGP Ernest Mangu kuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa LINDI. Taarifa iliyotolewa leo na Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Lindi,Abdulaziz Ahmeid ameeleza kuwa kuwa Klabu hiyo Imepokea mabadiliko hayo na kuhaidi Ushirikiano mkubwa baina ya klabu na Jeshi hilo.  "Kwa niaba ya wanahabari...

 

11 years ago

Michuzi

CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA (IFM) KUANZA KUJENGA ENEO LA MSATA BAGAMOYO PWANI

Makamu mwenyekiti wa chuo cha usimamizi wa fedha (IFM),Bw. Kasmiri Nyoni akizungumza kuhusu utanuzi wa chuo cha usimamizi wa fedha ambacho kinakaribia kuanza kujengwa katika eneo la Msata wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani,Chuo hicho kitakuwa na uwezo wa kuchukua wanafunzi wapatao elfu thelathini.kulia kwa makamu wachuo ni Mkuu wa chuo cha ifm Profesa Godwin Mjema nakushoto ni Mkurugenzi mtendaji wa Kituo kinacho toa elimu kwa njia ya mtandao nchini Tanzania Charles Senkondo. uongozi wa...

 

10 years ago

Michuzi

Eneo linauzwa Mkuranga, Dundani, Mkoa wa Pwani

 Eneo lina ukubwa wa ekari 4 liko Mkuranga,  Dundani, Mkoa wa Pwani. Ni karibu kabisa na barabarani. Linafaa kwa matumizi ya kituo cha mafuta au shughuli yoyote ya kibiashara, bei ni nafuu sana. Kwa maelezo zaidi tuwasiliane kwa number hii 0759085069.

 

10 years ago

Michuzi

kwanja kinauzwa kiharaka, bagamoyo, mkoa wa pwani

 Kiwanja kina ukubwa wa 7,720 sqm ( Zaidi ya acre moja na nusu), Kipo Kiharaka, Bagamoyo umbali wa kama 5km kutoka baharini. Kina ardhi nzuri yenye rutuba, kipo tambalale. Kipo karibu na mradi mpya wa kumbi za mikutano na pia karibu na kivuko kipya cha Bagamoyo kwenda Posta. Nguzo za umeme  na maji ya dawasco yako karibu. Bei ya kiwanja ni Tshs 395,000,000/=. Hati miliki itashughulikiwa kwa makubaliano maalum kati ya muuzaji na mnunuzi. kwa mawasiliano zaidi piga number 0766 333 700. 

 

11 years ago

GPL

DARAJA LA MATUMBI TABATA LAKATIKA

Mvua zinazonyesha Dar zimesababisha daraja hilo kubomoka sasa hakuna mawasiliano kati ya watu Ubungo na Buguruni!

 

11 years ago

Michuzi

Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP Suzan S. Kaganda aendelea na kampeni yake ya kuhamasisha dhana ya polisi jamii

Na Fakih Mapondela wa Tabora Police Press Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP Suzan S. Kaganda Alhamisi  tarehe 20/03/2014 alifanya ziara katika manispaa ya Tabora na kukutana na kikundi shirikishi (Sungusungu) na kukipatia mafunzo mbalimbali ya ulinzi shirikishi na ukamataji salama wa watuhumiwa pamoja na kukipa somo la dhana ya Polisi jamii. Kamanda Kaganda akiwa katikati ya Sungusungu kuonesha mbinu bora za ukamataji salama wa watuhumiwa Kamanda Kaganda akiwa katika harakati za kutoa...

 

9 years ago

Michuzi

JK azindua Mradi wa Kusaga Kototo Pongwe Msungura, Bagamoyo mkoa wa Pwani

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa katika jiwe la msingi kuzindua mradi wa kusaga kokoto uliopo katika kijiji cha Pongwe Msungura Wilayani Bagamoyo leo. Kulia ni Waziri wa Ulinzi  na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt.Hussein Mwinyi, Wapili kulia, ni Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa Meja Jenerali Raphael Muhuga,wapili kushoto ni Balozi wa Uturuki nchini Mhe.Yasemin Eralp, watatu kushoto ni Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya ANIT ASFALT Bwana Semih Yaran, na wanne kushoto ni Mkuu wa Mkoa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani