Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Daraja la Mapinga-Bunju lakatika

Daraja linalounganisha barabara ya Bagamoyo na Dar es Salaam katika maeneo ya Mapinga na Bunju, limekatika hali iliyosababisha kukosekana kwa mawasiliano ya usafiri kwa watu wanaokwenda na kutoka mikoa ya Kaskazini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

DARAJA LAKATIKA ENEO LA MAPINGA,BAGAMOYO - KAMANDA WA POLISI MKOA WA PWANI ATHIBITISHA

Wakazi wa eneo la Mapingwa Mkoani Pwani wakiwa kwenye mshangao mkubwa baada ya kushindwa kuvuka Daraja la Mto unaokatisha kwenye eneo hilo baada ya kutokuwepo kwa mawasiliano ya barabara kwa kukatika kwa daraja hilo kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha hivi sasa katika maeneo mbali mbali hapa nchini.
Akithibitisha kutokea kwa hitilafu hiyo,Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani,ACP Ulrich Matei amesema ni kweli kumetokea kwa tatizo hilo na amewataka watumiaji wa barabara ya Bagamoyo...

 

11 years ago

GPL

DARAJA LA MATUMBI TABATA LAKATIKA

Mvua zinazonyesha Dar zimesababisha daraja hilo kubomoka sasa hakuna mawasiliano kati ya watu Ubungo na Buguruni!

 

11 years ago

GPL

MAAFA YA MVUA DAR: DARAJA LA MBAGALA-KONGOWE NALO LAKATIKA

Daraja la Mbagala-Kongowe likiwa limekatika kutokana na mvua kubwa zinazonyesha.…

 

10 years ago

Dewji Blog

Madiwani wa Manispaa ya Lindi watembelea Mradi Mapinga Satellite wa UTT-PID uliopo Bagamoyo Mapinga

Diwani wa Kata ya Nachingwe, Lindi Mjini, Omary Chitanda (katikati) akiuliza swali kwa mtaalamu wa mradi huo

Diwani wa Kata ya Nachingwe, Lindi Mjini, Omary Chitanda (katikati) akiuliza swali kwa mtaalamu wa mradi huo.

*Taasisi ya Miradi na Maendeleo ya Miundombinu (UTT-PID) ilianza kazi zake Julai  1, 2013. Taasisi hii ilirithi kazi za miradi zilizokuwa zinafanywa na Taasisi mama yaani UTT.

Andrew Chale wa Mo dewji blog aliyekuwa Bagamoyo

Baadhi ya Madiwani wa  Manispaa ya Lindi  Machi 17, wametembelea miradi mbali mbali ya  UTT-PID  iliyopo Dar es Salaam  ikiwemo ule wa Bagamoyo wa New Mapinga...

 

5 years ago

Michuzi

SHULE YA SEK MAPINGA YAONDOKANA NA UKOSEFU WA MAJI

 NA MWAMVUA MWINYI,BAGAMOYO
WANAFUNZI 320 wa shule ya sekondari ya Kata ya Mapinga wameondokana na kero ya ukosefu wa maji uliokuwa ukiwakabili,baada ya taasisi ya It’s Time To Help Foundation Tanzania ikishirikiana na Feza Schools Tanzania kutekeleza mradi wa uchimbaji kisima kilichogharimu mil.12.
Ofisa Uhusiano wa Taasisi hiyo, Mbwana Kitendo akizungumza kwenye makabidhiano ya mradi huo alisema, taasisi hiyo ina utaratibu wa kutoa misaada kwa jamii katika sekta za afya, elimu na ustawi wa...

 

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA UJENZI KUJENGA DARAJA JIPYA LITAKALOPITA BAHARINI PEMBEZONI MWA DARAJA SELANDER

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akionesha sehemu ambazo daraja hilo jipya litakapojengwa pembezoni mwa daraja Selander kuanzia hospitali ya Aghakan hadi barabara Kenyata. Sehemu ya Daraja hilo pekee litakuwa na urefu wa km 1.03 Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dkt.Servacius Likwelile akiwa na ujumbe kutoka Serikali ya Korea Kusini pamoja na Wizara ya Ujenzi mara baada ya kusaini Mkataba wa Muhtasari wa Majadiliano leo jijini Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dkt.Servacius...

 

10 years ago

Dewji Blog

Ziara ya Madiwani wa Manispaa ya Lindi walipotembelea Mradi wa Mapinga wa UTT-OID

Diwani wa Kata ya Nachingwe, Lindi Mjini, Omary Chitanda (katikati) akiuliza swali kwa mtaalamu wa mradi huo

Diwani wa Kata ya Nachingwe, Lindi Mjini, Omary Chitanda (katikati) akiuliza swali kwa mtaalamu wa mradi huo.

Diwani wa Kata ya Nachingwea, Manispaa ya Lindi, Omari Chitanda akielezea namna alivyojifunza kwenye mradi huo kwa wandishi wa habari (hawapo pichani)

Diwani wa Kata ya Nachingwea, Manispaa ya Lindi, Omari Chitanda akielezea namna alivyojifunza kwenye mradi huo kwa wandishi wa habari (hawapo pichani).

Madiwani na maofisa kutoka UTT-PID wakifuatilia kwa makini maelezo ya msimamiz wa mradi huo wa Mapinga uliochini ya UTT-PID (Hayupo pichani

Madiwani na maofisa kutoka UTT-PID wakifuatilia kwa makini maelezo ya msimamizi wa mradi huo wa Mapinga uliochini ya UTT-PID (Hayupo pichani).

DSCN9635

DSCN9651

DSCN9663

madiwani wa Lindi wakijadili jambo

Madiwani wa Lindi wakijadili jambo.

 

10 years ago

Vijimambo

MADIWANI WA MANISPAA YA LINDI WATEMBELEA MRADI MAPINGA SATELLITE WA UTT-PID ULIOPO BAGAMOYO

Diwani wa Kata ya Nachingwe, Lindi Mjini, Omary Chitanda (katikati) akiuliza swali kwa mtaalamu wa mradi huo
Diwani wa Kata ya Nachingwe, Lindi Mjini, Omary Chitanda (katikati) akiuliza swali kwa mtaalamu wa mradi huo.Diwani wa Kata ya Nachingwea, Manispaa ya Lindi, Omari Chitanda akielezea namna alivyojifunza kwenye mradi huo kwa wandishi wa habari (hawapo pichani)Diwani wa Kata ya Nachingwea, Manispaa ya Lindi, Omari Chitanda akielezea namna alivyojifunza kwenye mradi huo kwa wandishi wa habari (hawapo pichani).Madiwani na maofisa kutoka UTT-PID wakifuatilia kwa makini maelezo ya msimamiz wa mradi huo wa Mapinga uliochini ya UTT-PID (Hayupo pichaniMadiwani na maofisa kutoka UTT-PID wakifuatilia kwa makini maelezo ya msimamizi wa mradi huo wa Mapinga uliochini ya UTT-PID (Hayupo pichani).
DSCN9635DSCN9651DSCN9663madiwani wa Lindi wakijadili jamboMadiwani wa Lindi wakijadili jambo.
*Taasisi ya Miradi na Maendeleo ya Miundombinu (UTT-PID)...

 

11 years ago

Michuzi

Mkuu wa Majeshi ya ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange katika sherehe za miaka 10 ya chuo cha JKT mapinga

  Mkuu wa Majeshi ya ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange akiwa anakata utepe kuashiria uzinduzi rasimi wa uwanja  uliopewa jina la Jenerali Davisi Mwamunyange  ambao utatumika kwa shughuli mabalimbali ikiwemo gwaride kulia ni Mkuu wa JKT Meja Jenerali Raphael Muhuga na kushoto ni Mkuu wa chuo cha JKT Mapinga Meja Aristides Rutta sherehe hizo ziliambatana na kutimiza miaka kumi ya kuanzishwa kwa chuo cha JKT Mapinga  kilichopo jijini Dar es salaam  Mkuu wa majeshi ya ulinzi Jenerali Devisi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani