Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAAFA YA MVUA DAR: DARAJA LA MBAGALA-KONGOWE NALO LAKATIKA

Daraja la Mbagala-Kongowe likiwa limekatika kutokana na mvua kubwa zinazonyesha.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Daraja la Mapinga-Bunju lakatika

Daraja linalounganisha barabara ya Bagamoyo na Dar es Salaam katika maeneo ya Mapinga na Bunju, limekatika hali iliyosababisha kukosekana kwa mawasiliano ya usafiri kwa watu wanaokwenda na kutoka mikoa ya Kaskazini.

 

11 years ago

GPL

DARAJA LA MATUMBI TABATA LAKATIKA

Mvua zinazonyesha Dar zimesababisha daraja hilo kubomoka sasa hakuna mawasiliano kati ya watu Ubungo na Buguruni!

 

11 years ago

Mwananchi

Mvua zaleta maafa makubwa Dar, mikoani

Mvua zilizonyesha maeneo mbalimbali nchini tangu wiki iliyopita, zimesababisha maafa, uharibifu wa mali, miundombinu na kuacha zaidi ya familia 150 bila makazi.

 

11 years ago

Michuzi

DARAJA LAKATIKA ENEO LA MAPINGA,BAGAMOYO - KAMANDA WA POLISI MKOA WA PWANI ATHIBITISHA

Wakazi wa eneo la Mapingwa Mkoani Pwani wakiwa kwenye mshangao mkubwa baada ya kushindwa kuvuka Daraja la Mto unaokatisha kwenye eneo hilo baada ya kutokuwepo kwa mawasiliano ya barabara kwa kukatika kwa daraja hilo kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha hivi sasa katika maeneo mbali mbali hapa nchini.
Akithibitisha kutokea kwa hitilafu hiyo,Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani,ACP Ulrich Matei amesema ni kweli kumetokea kwa tatizo hilo na amewataka watumiaji wa barabara ya Bagamoyo...

 

10 years ago

GPL

MVUA ZILIVYOATHIRI DARAJA LA KIVULE, DAR

Daraja la Kivule lilivyoathiriwa na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar. Hali ya usafiri imezidi kuwa ngumu. Mkondo wa maji yanavyotoka…

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Mvua ya maafa KAHAMA



Nyumba zaharibiwa, JK atuma rambirambi  Watu 40 wapoteza maisha, 85 wajeruhiwa
Hali ya hewa yasema zitanyesha zaidi

Na waandishi wetu, Dar na KahamaWAKATI Watanzania wakiomboleza kifo cha mwanasiasa mahiri, Kapteni mstaafu John Komba, taifa limeingia tena kwenye huzuni na simanzi kutokana na watu 40 kupoteza maisha. Pia, watu wengine 82 wamejeruhiwa vibaya na wengine hali zao ni mbaya huku nyumba, mifugo na mazao, vikiharibiwa kutokana na mvua ya mawe iliyoambatana na upepo mkali kutikisa...

 

11 years ago

Mwananchi

Mvua yaleta maafa

Mvua kubwa iliyonyesha juzi katika Kijiji cha Kasense, imesababisha hasara ya Sh88 milioni, baada ya kuharibu nyumba mbalimbali zikiwamo za wanakijiji, taasisi na nyumba za ibada, likiwapo Kanisa Katoliki.

 

11 years ago

Habarileo

Mvua yasababisha maafa Kilwa

WAKAZI wa Wilaya ya Kilwa mkoani Lindi, wanakabiliwa na maafa kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha hivi sasa kusababisha mashamba, nyumba za makazi na majengo ya shule za msingi na sekondari, kuharibiwa Diwani wa Kata ya Mandawa Hassani Nalinga, amesema hayo jana kwenye kikao cha Baraza la Madiwani akichangia hoja kutoka kwenye Kamati ya Jamii, Maendeleo na Mazingira.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mvua yaleta maafa Msumbiji

Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini Msumbiji zimesababisha maafa makubwa ambapo watu kadhaa wamefariki na wengine kupoteza makazi yao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani