Mvua zaleta maafa makubwa Dar, mikoani
Mvua zilizonyesha maeneo mbalimbali nchini tangu wiki iliyopita, zimesababisha maafa, uharibifu wa mali, miundombinu na kuacha zaidi ya familia 150 bila makazi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo03 Nov
Mvua zaleta maafa Mwanza, Sumbawanga
MVUA kubwa imenyesha katika mikoa ya Rukwa na Mwanza, na kusababisha maafa, ikiwemo vifo vya watu wawili na familia kadhaa kukosa makazi kutokana na nyumba kubomoka.
10 years ago
VijimamboMVUA ZALETA MADHARA MAKUBWA MJI WA UNGUJA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
MVUA YALETA MAAFA MAKUBWA WILAYANI KAHAMA, SHINYANGA
Watu 35 wamefariki dunia na wengine 55 wamejeruhiwa baada ya kuangukiwa na nyumba zao kufuatia mvua kubwa ya mawe iliyoambatana na upepo mkali iliyonyesha usiku wa kuamkia leo, kata ya Mwakata, Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga. (CHANZO: RADIO1 STEREO)
10 years ago
GPLMVUA ZALETA MAFURIKO DAR
Mwandishi wa Global Pablishers, Denis Mtima, akielekea kuchukua matukio jana usiku maeneo ya Sinza, Afrika sana ambapo alikumbana na adha hiyo ya mvua. Wananchi wakijaribu kuvuka barabara eneo la Sinza, Afrika sana leo asubuhi.…
11 years ago
MichuziMvua zaleta madhara kwenye reli ya Dar-Tanga-MOshi
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zbcSW1D04asyFi50DvRmnlZin6PjRdj6lslnSnOLjALPWFf2rlz6q6QmQ6fTDe77nXHCW909MDu4uZKWS0Nr4WlV9hpGGw4h/mvuaku9.jpg)
MAAFA YA MVUA DAR: DARAJA LA MBAGALA-KONGOWE NALO LAKATIKA
Daraja la Mbagala-Kongowe likiwa limekatika kutokana na mvua kubwa zinazonyesha.…
11 years ago
Uhuru Newspaper![](http://4.bp.blogspot.com/-TSj64fFNx6s/U9nfD8YTwLI/AAAAAAAABbw/kn22wMr2S8c/s72-c/AJALI+1.jpg)
Maafa makubwa
Ajali basi na lori yaua 17, yajeruhi 56Waliokufa, waliojeruhiwa watambuliwa DC Kangoye aongoza shughuli ya ukoaji
Na Waandishi Wetu
WAKATI Waislamu wakiendelea kusherehekea Sikukuu ya Idd elFitri, vilio na simanzi vimetawala eneo la Pandambili wilayani Kongwa, Dodoma, kutokana na ajali mbaya iliyosababisha watu 17 kupoteza maisha.
![](http://4.bp.blogspot.com/-TSj64fFNx6s/U9nfD8YTwLI/AAAAAAAABbw/kn22wMr2S8c/s1600/AJALI+1.jpg)
Mbali na vifo hivyo, ajali hiyo iliyohusisha basi la Kampuni ya Moro Best na lori lililokuwa limebeba mabomba, pia imejeruhi watu wengine 56. Katika ajali hiyo...
10 years ago
Uhuru Newspaper![](http://2.bp.blogspot.com/-q2-AZbz-53U/VPgpBYCNR-I/AAAAAAAAB3w/1LUdbC4j4HI/s72-c/barafu.jpg)
Mvua ya maafa KAHAMA
Nyumba zaharibiwa, JK atuma rambirambi Watu 40 wapoteza maisha, 85 wajeruhiwa
Hali ya hewa yasema zitanyesha zaidi
Na waandishi wetu, Dar na KahamaWAKATI Watanzania wakiomboleza kifo cha mwanasiasa mahiri, Kapteni mstaafu John Komba, taifa limeingia tena kwenye huzuni na simanzi kutokana na watu 40 kupoteza maisha. Pia, watu wengine 82 wamejeruhiwa vibaya na wengine hali zao ni mbaya huku nyumba, mifugo na mazao, vikiharibiwa kutokana na mvua ya mawe iliyoambatana na upepo mkali kutikisa...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
15-February-2025 in Tanzania