Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mvua zaleta maafa Mwanza, Sumbawanga

MVUA kubwa imenyesha katika mikoa ya Rukwa na Mwanza, na kusababisha maafa, ikiwemo vifo vya watu wawili na familia kadhaa kukosa makazi kutokana na nyumba kubomoka.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mvua zaleta maafa makubwa Dar, mikoani

Mvua zilizonyesha maeneo mbalimbali nchini tangu wiki iliyopita, zimesababisha maafa, uharibifu wa mali, miundombinu na kuacha zaidi ya familia 150 bila makazi.

 

10 years ago

CloudsFM

MVUA ILIVYOLETA MAAFA JIJINI MWANZA

Hali halisi ilivyoonekana siku ya jana katika eneo la Mabatini jijini Mwanza mara baada ya mvua kubwa kunyesha na kusababisha mafuriko makubwa kwa baadadhi ya maeneo na viunga vya jiji. Hii ni barabara kuu inayounga mkoa wa Mwanza na Mara.Source: G SENGO

 

10 years ago

GPL

MVUA ZALETA MAFURIKO DAR

Mwandishi wa Global Pablishers, Denis Mtima, akielekea kuchukua matukio jana usiku maeneo ya Sinza, Afrika sana ambapo alikumbana na adha hiyo ya mvua. Wananchi wakijaribu kuvuka barabara eneo la Sinza, Afrika sana leo asubuhi.…

 

10 years ago

Vijimambo

MVUA ZALETA MADHARA MAKUBWA MJI WA UNGUJA

Mvua zilizonyesha leo Zanzibar na kusababisha maruriko na kuwaweka watumiaji barabara kama inavyoonekana kwenye picha wakati mgumu.Waendesha ,agari nao wakipita kwa uangalifu mkubwa.Nyumba zikiwa zimezingirwa na maji kutokana na mvua zilizonyesha leo Zanzibar.Nyumba zikiwa zimezingirwa na maji.Mitaro ikiwa imejaa maji kutokana na mvua iliyonyesha leo Zanzibar.Maji kila sehemu kama unavyoonekana kwenye picha.Wananchi wakitafakali jambo ya jinsi gani yakufanya baada ya mvua iliyonyesha...

 

11 years ago

Michuzi

Mvua zaleta madhara kwenye reli ya Dar-Tanga-MOshi

Sehemu ya njia ya reli katika eneo la Ming’ongo ikiwa inaning’inia baada ya tuta kusombwa na maji kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika mikoa mbalimbali nchini Tanzania. Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL), Kipalo Amani Kisamfu pamoja na wakurugenzi kutoka Wizara ya Uchukuzi wametembelea eneo hilo leo mchana kuona athari kubwa iliyotokea kwenye njia ya reli. Aidha, katika njia hiyo kilomita kumi na nane za njia ya reli zimeaharibiwa na mvua hizo...

 

9 years ago

Habarileo

Sumbawanga yatathmini uharibifu wa mvua

KAMATI ya Maafa Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa bado inaendelea kutathmini uharibifu wa mali na makazi uliosababishwa na mvua kubwa iliyonyesha katika Mji wa Sumbawanga Jumapili ikiambatana na upepo mkali, imeelezwa.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Mvua ya maafa KAHAMA



Nyumba zaharibiwa, JK atuma rambirambi  Watu 40 wapoteza maisha, 85 wajeruhiwa
Hali ya hewa yasema zitanyesha zaidi

Na waandishi wetu, Dar na KahamaWAKATI Watanzania wakiomboleza kifo cha mwanasiasa mahiri, Kapteni mstaafu John Komba, taifa limeingia tena kwenye huzuni na simanzi kutokana na watu 40 kupoteza maisha. Pia, watu wengine 82 wamejeruhiwa vibaya na wengine hali zao ni mbaya huku nyumba, mifugo na mazao, vikiharibiwa kutokana na mvua ya mawe iliyoambatana na upepo mkali kutikisa...

 

11 years ago

Mwananchi

Mvua yaleta maafa

Mvua kubwa iliyonyesha juzi katika Kijiji cha Kasense, imesababisha hasara ya Sh88 milioni, baada ya kuharibu nyumba mbalimbali zikiwamo za wanakijiji, taasisi na nyumba za ibada, likiwapo Kanisa Katoliki.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani