Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MVUA ILIVYOLETA MAAFA JIJINI MWANZA

Hali halisi ilivyoonekana siku ya jana katika eneo la Mabatini jijini Mwanza mara baada ya mvua kubwa kunyesha na kusababisha mafuriko makubwa kwa baadadhi ya maeneo na viunga vya jiji. Hii ni barabara kuu inayounga mkoa wa Mwanza na Mara.Source: G SENGO

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Mvua zaleta maafa Mwanza, Sumbawanga

MVUA kubwa imenyesha katika mikoa ya Rukwa na Mwanza, na kusababisha maafa, ikiwemo vifo vya watu wawili na familia kadhaa kukosa makazi kutokana na nyumba kubomoka.

 

10 years ago

GPL

MVUA KUBWA YASABABISHA MAFURIKO JIJINI MWANZA

Nyumba zikiwa zimezingirwa na maji baada ya mvua kubwa kunyesha jijini Mwanza. Mvua kubwa imenyesha jijini Mwanza  kwa saa tatu na kusababisha mafuriko katika baadhi ya maeneo ya jiji hilo hasa sehemu za Mabatini na kusababisha nyumba nyingi kujaa maji. Mvua hiyo pia imesababisha hasara kubwa ya uharibifu wa mali huku…

 

10 years ago

GPL

MVUA ILIYONYESHA JIJINI MWANZA YASABABISHA MAFURIKO

Nyumba zikiwa zimezingirwa na maji baada ya mafuriko hayo kutokea. Maji yakiwa yamefurika katika moja ya mtaa ya Jiji la Mwanza.…

 

10 years ago

GPL

MVUA ZAKWAMISHA MAANDALIZI YA SIKUKUU YA XMAS JIJINI MWANZA

Mvua kubwa ikinyesha katika mitaa ya Jiji la Mwanza leo. Mvua ikiendelea kunyesha katika mitaa ya Jiji la Mwanza. MVUA kubwa zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali…

 

11 years ago

Mwananchi

Mvua yaleta maafa

Mvua kubwa iliyonyesha juzi katika Kijiji cha Kasense, imesababisha hasara ya Sh88 milioni, baada ya kuharibu nyumba mbalimbali zikiwamo za wanakijiji, taasisi na nyumba za ibada, likiwapo Kanisa Katoliki.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Mvua ya maafa KAHAMA



Nyumba zaharibiwa, JK atuma rambirambi  Watu 40 wapoteza maisha, 85 wajeruhiwa
Hali ya hewa yasema zitanyesha zaidi

Na waandishi wetu, Dar na KahamaWAKATI Watanzania wakiomboleza kifo cha mwanasiasa mahiri, Kapteni mstaafu John Komba, taifa limeingia tena kwenye huzuni na simanzi kutokana na watu 40 kupoteza maisha. Pia, watu wengine 82 wamejeruhiwa vibaya na wengine hali zao ni mbaya huku nyumba, mifugo na mazao, vikiharibiwa kutokana na mvua ya mawe iliyoambatana na upepo mkali kutikisa...

 

10 years ago

Habarileo

Waliokufa maafa ya mvua wafikia 47

IDADI ya watu waliofariki kutokana na mvua kubwa ya mawe, iliyopewa jina la tonado, sasa imefikia watu 47 baada ya majeruhi mwingine aliyekuwa amelazwa katika hospitali ya wilaya ya Kahama kufariki dunia juzi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mvua yaleta maafa Lugoba

MVUA iliyoambata na upepo mkali iliyonyesha hivi karibuni imeezua nyumba zaidi ya 150, huku kati ya hizo kuta zake zikiwa zimeanguka na kuwafanya wahanga wa tukio hilo kutafuta msaada wa...

 

11 years ago

Habarileo

Mvua yasababisha maafa Kilwa

WAKAZI wa Wilaya ya Kilwa mkoani Lindi, wanakabiliwa na maafa kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha hivi sasa kusababisha mashamba, nyumba za makazi na majengo ya shule za msingi na sekondari, kuharibiwa Diwani wa Kata ya Mandawa Hassani Nalinga, amesema hayo jana kwenye kikao cha Baraza la Madiwani akichangia hoja kutoka kwenye Kamati ya Jamii, Maendeleo na Mazingira.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani