CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA (IFM) KUANZA KUJENGA ENEO LA MSATA BAGAMOYO PWANI
Makamu mwenyekiti wa chuo cha usimamizi wa fedha (IFM),Bw. Kasmiri Nyoni akizungumza kuhusu utanuzi wa chuo cha usimamizi wa fedha ambacho kinakaribia kuanza kujengwa katika eneo la Msata wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani,Chuo hicho kitakuwa na uwezo wa kuchukua wanafunzi wapatao elfu thelathini.kulia kwa makamu wachuo ni Mkuu wa chuo cha ifm Profesa Godwin Mjema nakushoto ni Mkurugenzi mtendaji wa Kituo kinacho toa elimu kwa njia ya mtandao nchini Tanzania Charles Senkondo. uongozi wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog19 Feb
Serikali ya wanafunzi Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM-SO) yakanusha kumpigia debe Lowassa
Rais wa Serikali ya Wanafunzi IFM-SO, Clinton Boniface.
Serikali ya wanafunzi wa chuo cha usimamizi wa fedha (IFMSO), kupitia msemaji wake mkuu ambaye ni Rais wa Serikali ya wanafunzi, ndugu Clinton Boniface inakanusha taarifa zilizotolewa na gazeti la NIPASHE toleo namba 0578395 la tarehe 19/02/2015, lenye kichwa cha habari “WANAFUNZI WA IFM WAMTAKA LOWASA URAIS” na kwamba habari hizo hazijatolewa na uongozi wa IFMSO, wala hakuna mkutano wowote uliofanyika katika eneo la chuo cha usimamizi...
10 years ago
MichuziSERIKALI YA WANAFUNZI CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA (IFM-SO) YAKANUSHA KUMPIGIA DEBE LOWASA.
msemaji wake mkuu ambaye ni Rais wa Serikali ya wanafunzi, ndugu
Clinton Boniface inakanusha taarifa zilizotolewa na gazeti la NIPASHE
toleo namba 0578395 la tarehe 19/02/2015, lenye kichwa cha habari
“WANAFUNZI WA IFM WAMTAKA LOWASA URAIS” na kwamba habari hizo
hazijatolewa na uongozi wa IFMSO, wala hakuna mkutano wowote
uliofanyika katika eneo la chuo cha usimamizi wa fedha kati ya
waandishi wa habari na uongozi wa serikali ya...
10 years ago
VijimamboTAARIFA KWA UMMA. SERIKALI YA WANAFUNZI CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA (IFM-SO) YAKANUSHA KUMPIGIA DEBE LOWASA.
10 years ago
MichuziMAMLAKA YA USAFIRIWA ANGA TANZANIA (TCAA) WAPEWA ENEO LA KUJENGA CHUO CHAKE NA MKOA WA PWANI
10 years ago
MichuziDkt Magufuli akagua ujenzi wa Madaraja katika Barabara ya Bagamoyo-Msata mkoani Pwani
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli akikagua sehemu ya chini ya daraja la Kariakoo. Mkandarasi wa Barabara ya Bagamoyo-Msata kushoto akitoa maelezo ya Mradi wa Madaraja katika eneo la Ruvu Chini Mkoani Pwani huku...
10 years ago
GPLBALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA AFANYA ZIARA MKOANI KAGERA KUKAGUA ENEO LA KUJENGA CHUO CHA KISASA CHA UFUNDI (VETA) NA KUONA FURSA ZA UWEKEZAJI KATIKA MKOA
10 years ago
MichuziKAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YAFANYA ZIARA YA KUKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA BARABARA YA BAGAMOYO — MAKOFIA — MSATA (KM 64) PAMOJA NA MIZANI YA KISASA ILIYOPO ENEO LA VIGWAZA
Barabara hii inayojengwa na kampuni ya Estim Construction ltd, na kusimamiwa na mhandisi mshauri kampuni ya JBG Gauff...
11 years ago
MichuziDARAJA LAKATIKA ENEO LA MAPINGA,BAGAMOYO - KAMANDA WA POLISI MKOA WA PWANI ATHIBITISHA
Akithibitisha kutokea kwa hitilafu hiyo,Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani,ACP Ulrich Matei amesema ni kweli kumetokea kwa tatizo hilo na amewataka watumiaji wa barabara ya Bagamoyo...
9 years ago
MichuziNSSF YADHAMINI BONANZA LA MICHEZO LA CHUO CHA IFM