Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA AFANYA ZIARA MKOANI KAGERA KUKAGUA ENEO LA KUJENGA CHUO CHA KISASA CHA UFUNDI (VETA) NA KUONA FURSA ZA UWEKEZAJI KATIKA MKOA

Balozi wa China nchini Tanzania,LU Youqing akicheza ngoma ya asili ya Mkoa wa Kagera wakati alipokuwa akilakiwa kwenye uwanja wa ndege wa Bukoba.Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kagera, John Mongella.
Mkuu wa Mkoa wa Kagera, John Mongella akimkabidhi Balozi wa China nchini Tanzania,LU Youqing Hati na ramani eneo lililotengwa na serikali ya mkoa kwa ajili ya kujenga chuo cha Ufundi (VETA) cha Kitaifa kilichoahidiwa na serikali ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA AFANYA ZIARA MKOANI KAGERA

Balozi wa China nchini Tanzania,LU Youqing akicheza ngoma ya asili ya Mkoa wa Kagera wakati alipokuwa akilakiwa kwenye uwanja wa ndege wa Bukoba.Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kagera, John Mongella.Mkuu wa Mkoa wa Kagera, John Mongella akimkabidhi Balozi wa China nchini Tanzania,LU Youqing Hati na ramani eneo lililotengwa na serikali ya mkoa kwa ajili ya kujenga chuo cha Ufundi (VETA) cha Kitaifa kilichoahidiwa na serikali ya China wakati wa ziara ya Rais Kikwete nchini humo mwaka jana.Balozi wa...

 

9 years ago

Michuzi

BALOZI WA VATICAN NA MWAKILISHI WA PAPA NCHINI TANZANIA AWASILI MKOANI KAGERA KUFANYA ZIARA YA SIKU SITA

Na Sylvester Raphael Balozi wa Vatican na Mwakilishi wa Papa nchini Tanzania, Francisco Montecillo Padilla atembelea mkoa wa Kagera katika ziara ya kujione shughuli mbalimbali za Kanisa Katoliki mkoani zinavyotekelezwa pia na kutoa Baraka za pamoja kwa wakristo wa kanisa hilo.  Balozi Padilla akiwa ofisini kwa Mkuu wa Mkoa Kagera alipowasili kumsalimia aliishukuru serikali ya mkoa wa Kagera kwa kuwaunganisha wananchi wa Kagera bila kujali imani zao ambapo wanafanya shughuli zao kila mmoja...

 

11 years ago

Michuzi

WANAFUNZI WANAOCHUKUA MASOMO YA SHAHADA YA UZAMILI NA UZAMIVU KATIKA RELI KUTOKA CHUO KIKUU CHA SOUTHWEST JIATONG CHA NCHINI CHINA WATEMBELEA WIZARA YA UCHUKUZI LEO

 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Bi. Monica Mwamunyange akibadilishana kadi na Profesa Liu Xueyi kutoka Chuo kikuu cha Southwest Jiatong, wakati mkufunzi huyo na wanafunzi wa chuo hicho walipotembelea wizara ya Uchukuzi leo mchana kujifunza na kubadilishana uzoefu katika masuala ya reli hasa reli ya mwendo kasi.

 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Bi Monica Mwamunyange, akifafanua jambo kwa Wakufunzi na wanafunzi wanaochukua shahada za Uzamili na Uzamivu katika Reli kutoka Chuo...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA NISHATI NA MADINI AFANYA ZIARA KATIKA MKOA WA SIMIYU KUKAGUA MIRADI YA UMEME NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI

Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akipokelewa na baadhi ya watendaji kutoka Shirika la Umeme Nchini (Tanesco) Kanda ya Ziwa na Nishati na Madini mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Mwanza. Profesa Muhongo anafanya ziara katika mikoa ya Simiyu, Tabora na Shinyanga lengo likiwa ni kukagua miradi ya umeme vijijini inayotekelezwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kushirikiana na Taneesco.Mkazi wa kijiji cha Ihale kilichopo wilayani Busega mkoani Simiyu...

 

9 years ago

Michuzi

BALOZI WA TANZANIA NCHINI OMAN MAALIM DR ALI AHMED SALEH ALAMBA NONDOZ YA SHAHADA YA UZAMIFU YA FALSAFA YA UDAKTARI (Phd) YA CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA(OUT)KATIKA MAHAFALI YA 29 HAPO TAREHE 16/12/15

BALOZI, MAALIM DR. ALI AHMED SALEH AKISIDINDIKIZWA NA MSIMAMIZI WAKE WA MASOMO(SUPERVISOR) PROF. HOSSEA RWEGOSHORA KUPOKEA SHAHADA YAKE YA PhD.

 

10 years ago

Michuzi

MAMLAKA YA USAFIRIWA ANGA TANZANIA (TCAA) WAPEWA ENEO LA KUJENGA CHUO CHAKE NA MKOA WA PWANI

Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA) Dkt. Nyamajeje Weggoro wapili kutoka (kulia) akifafanua jambo kwa wajumbe wenzake juu ya ujenzi wa Chuo chake cha Usafiri wa Anga (CATC) wakati walipotembelea eneo la mradi huo uliopo Fukayose Bagamoyo mkoa wa Pwani .Kutoka kulia ni Mwenyekiti wa Bodi Mbwana J Mbwana (tikakati)ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TCAA Charles Chacha,wengine kutoka kushoto ni wajumbe Hanif M. Malik ,Yussuf M. Ali na katibu wa Bodi Vallery ...

 

11 years ago

Michuzi

CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA (IFM) KUANZA KUJENGA ENEO LA MSATA BAGAMOYO PWANI

Makamu mwenyekiti wa chuo cha usimamizi wa fedha (IFM),Bw. Kasmiri Nyoni akizungumza kuhusu utanuzi wa chuo cha usimamizi wa fedha ambacho kinakaribia kuanza kujengwa katika eneo la Msata wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani,Chuo hicho kitakuwa na uwezo wa kuchukua wanafunzi wapatao elfu thelathini.kulia kwa makamu wachuo ni Mkuu wa chuo cha ifm Profesa Godwin Mjema nakushoto ni Mkurugenzi mtendaji wa Kituo kinacho toa elimu kwa njia ya mtandao nchini Tanzania Charles Senkondo. uongozi wa...

 

11 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA MAENDELEO YA JAMII AFANYA ZIARA YA KIKAZI KATIKA CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI MUNGURI, KONDOA- DODOMA

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Mhe. Dkt. Pindi Hazara Chana (wa tatu kulia) akipatiwa maelezo wakati akikagua utoaji wa mafunzo katika Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Munguri, Kondoa, akiwa ameambatana na Uongozi wa Wilaya ya Kondoa.
Mheshimiwa Dkt. Pindi Chana akiwa katika ziara hii ya Kikazi alipata fursa ya kutembelea miradi mbalimbali inayotekelezwa na Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Munguri, kondoa ambacho ni miongoni mwa vyuo 55 vinavyotoa mafunzo ya elimu ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani