Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NAIBU WAZIRI WA MAENDELEO YA JAMII AFANYA ZIARA YA KIKAZI KATIKA CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI MUNGURI, KONDOA- DODOMA

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Mhe. Dkt. Pindi Hazara Chana (wa tatu kulia) akipatiwa maelezo wakati akikagua utoaji wa mafunzo katika Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Munguri, Kondoa, akiwa ameambatana na Uongozi wa Wilaya ya Kondoa.
Mheshimiwa Dkt. Pindi Chana akiwa katika ziara hii ya Kikazi alipata fursa ya kutembelea miradi mbalimbali inayotekelezwa na Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Munguri, kondoa ambacho ni miongoni mwa vyuo 55 vinavyotoa mafunzo ya elimu ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA WIZARA YA AFYA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WATOTO NA WAZEE AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA KATIKA HOSPITALI YA AMANA JIJINI DAR LEO.

Naibu waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Khamis Kigwangala akielekea katika hospitali ya Amana leo jijini Dar es Salaa mara baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Joseph Magufuli.        Naibu waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na            Watoto, Dkt.  Khamis Kigwangala akizungumza na wauguzi aliowakuta katika          hospitali ya Amana leo alipotembelea katika hospitali hiyo jijini...

 

10 years ago

Michuzi

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Mhe. Dk. Pindi H. Chana afungua kikao cha baraza la watoto dodoma

 Wajumbe wa Kamati Kuu wa Baraza la Watoto wakijadili baadhi ya mambo yanayowahusu watoto pamoja na changamoto zinazo wakabili katika kikao cha Kamati Kuu ya Baraza la Watoto kilichofunguliwa na Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Mhe. Dk. Pindi H. Chana mjini Dodoma.

 Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Mhe. Dk. Pindi H. Chana na viongozi wengine akimsikiliza  Mwenyekiti wa Baraza la Watoto Ameir Haji Khamis  Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi afanya ziara katika Wilaya ya Momba na Mkoa wa Rukwa

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Titus Kamani (wa tano kushoto) akipewa maelezo alipoenda kukagua eneo linalotegemewa kujengwa soko la kimaifa la samaki eneo la Tunduma katika Wilaya ya Momba. (Picha na Mwakipesile). Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Titus Kamani (kati), akipewa maelezo alipotembelea kiwanda cha kusindika nyama cha SAAFI kilichopo Sumbawanga. Kulia kwake ni Mhe. Chrisant Mzindakaya mmiliki wa kiwanda cha SAAFI. Kiwanda hicho kina uwezo wa...

 

5 years ago

Michuzi

TCRA YATOA ELIMU KATIKA CHUO CHA MAENDELEO YA JAMII TENGERU -KATIKA KUADHIMISHA SIKU YA HAKI YA MLAJI DUNIANI


 Mmoja wa wanafunzi katika chuo cha Maendeleo ya Jamii Tengeru akiuliza swali kwa Mamlaka ya mawasiliano nchini TCRA walipoenda chuoni hapo kutoa elimu namana ya matumizi sahihi ya Mitandao pamoja na kuwajengea uelewa namna ya kutunza usiri wa faragha zao.Wanafunzi wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Tengeru wakifuatilia kile kinachoendelea kutoka mamlaka ya Mawasiliano nchini TCRA

 Mkuu wa Kanda ya Kaskazini Mhandisi Imelda Salum akizungumza na wanafunzi wa Chuo cha  Maendeleo ya Jamii Tengeru...

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE AFANYA ZIARA YA KIKAZI NCHINI UFARANSA

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim (Mb.) akizungungumza na Mkurugenzi anayeshughulikia masuala ya Afrika kwenye Wizara ya Mambo ya Nje ya Ufaransa, Bw. Jean Christophe Belliard wakati wa ziara yake ya kikazi nchini humo.Mhe. Dkt. Maalim (katikati)  akiwa na Mhe. Begum Taj (kulia), Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa wakati wa mkutano wao na Bw. Arnaud de Lamotte, Makamu wa Rais wa Kituo cha Biashara cha Kimataifa na Huduma za Serikali wa...

 

9 years ago

Mwananchi

Dk Kigwangalla-Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto

Dk Hamis Andrea Kigwangalla ndiye Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto katika Serikali ya Awamu ya Tano, ameteuliwa katika baraza la mwanzo la mawaziri la Rais John Pombe Magufuli.

 

9 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA KAZI,VIJANA NA AJIRA AFANYA ZIARA YA KIKAZI MAKAO MAKUU YA VODACOM TANZANIA

 Naibu Waziri wa Kazi,Vijana na Ajira,Mhe Anthony Mavunde (watatu toka kushoto) akikagua vibali vya kuishi na kufanya kazi nchini vya mfanyakazi wa kigeni wa Vodacom Tanzania , Valentino Giron (kushoto),wakati alipofanya ziara ya kikazi Makoa makuu ya Vodacom Tanzania yaliyopo Mlimani City jijini Dar es Salaam hivi karibuni,Anayeshuhudia kulia ni Meneja Uhusiano wa kampuni hiyo,Matina Nkurlu.  Naibu Waziri wa Kazi,Vijana na Ajira,Mhe Anthony Mavunde(Kulia) akisisitiza jambo kwa wafanyakazi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani