NAIBU WAZIRI WA WIZARA YA AFYA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WATOTO NA WAZEE AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA KATIKA HOSPITALI YA AMANA JIJINI DAR LEO.
![](http://4.bp.blogspot.com/-zSuC763Lgtg/VmwMcN-ZbkI/AAAAAAAIL1o/9dKlPsudWQw/s72-c/AmvQ-kQcVpVOkSRvJacmJNocZLUg5YvaH7pI6WSufb58.jpg)
Naibu waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Khamis Kigwangala akielekea katika hospitali ya Amana leo jijini Dar es Salaa mara baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Joseph Magufuli.
Naibu waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Khamis Kigwangala akizungumza na wauguzi aliowakuta katika hospitali ya Amana leo alipotembelea katika hospitali hiyo jijini...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog19 Dec
9 years ago
Dewji Blog12 Dec
Waziri wa Afya na Naibu wake wafanya ziara za kushtukiza katika hospitali ya Mwananyamala na Amana
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangala akiwasili katika Hospitali ya rufaa ya Amana iliyopo Ilala, Dar es Salaam alipofanya ziara ya kushtukiza baada ya sherehe za kuapishwa.(Picha zote na Zainul Mzige wa Modewjiblog).
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu amefanya ziara ya kushtukiza katika hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala ikiwa ni masaa machache tangu kutoka kuapishwa na...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-lPWwKsoWXn4/VmxMopWsORI/AAAAAAAIL8w/76NnhuNnxeM/s72-c/201512120815%252C52.jpg)
WAZIRI WA AFYA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA HOSPITALI YA MWANANYAMALA JIJINI DAR LEO
![](http://1.bp.blogspot.com/-lPWwKsoWXn4/VmxMopWsORI/AAAAAAAIL8w/76NnhuNnxeM/s640/201512120815%252C52.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-ITALQRWR9Mc/VmxMo0GxL2I/AAAAAAAIL8s/tj7_ifV35PQ/s640/2015121208155%252C1.jpg)
9 years ago
Mwananchi15 Dec
Dk Kigwangalla-Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
9 years ago
Dewji Blog19 Dec
Naibu Waziri Dkt. Kigwangalla afanya ziara ya kushtukiza leo katika hospitali za rufaa mikoa ya Lindi na Mtwara
Kaimu Muuguzi Mkuu wa Hospitali ya Sokoine ya Mkoa wa Lindi, Damasiana Msalla akimuongoza Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee, Dkt. Hamisi Kigwangalla kuelekea kwenye wodi za hospitali wakati wa ziara ya kushtukiza aliyofanya mkoa wa Lindi.(Picha zote na Zainul Mzige wa Modewjiblog)
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Sokoine ya Mkoa wa Lindi, Dkt. Evaristo Kasanga akimkaribisha Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee, Dkt. Hamisi...
9 years ago
Dewji Blog28 Dec
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto yatoa taarifa kuhusu hali ya Kipindupindu nchini
Waziri Ummy Mwalimu alizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na hali ya kipindupindu nchini ambapo hadi sasa ni mikoa 21 ya Tanzania Bara imeathirika.Jumla ya watu 12,222 wameugua kipindupindu na kati yao watu 196 wameshafariki.
Baadhi ya waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali wakimfuatilia waziri huyo(hayupo pichani) alipokuwa akitoa taarifa hiyo.Hata hivyo Waziri Ummy ameagiza kila wiki (jumatatu) wizara yake kutoa taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu hali ya...
9 years ago
Dewji Blog18 Dec
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto yatangaza Mpango wa Taifa wa kudhibiti magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-b7C-A6W7gvc/UwmwgwdZJtI/AAAAAAAFO0o/0oOZ4S1NkYU/s72-c/unnamed+(8).jpg)
NAIBU WAZIRI WA MAENDELEO YA JAMII AFANYA ZIARA YA KIKAZI KATIKA CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI MUNGURI, KONDOA- DODOMA
![](http://3.bp.blogspot.com/-b7C-A6W7gvc/UwmwgwdZJtI/AAAAAAAFO0o/0oOZ4S1NkYU/s1600/unnamed+(8).jpg)
Mheshimiwa Dkt. Pindi Chana akiwa katika ziara hii ya Kikazi alipata fursa ya kutembelea miradi mbalimbali inayotekelezwa na Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Munguri, kondoa ambacho ni miongoni mwa vyuo 55 vinavyotoa mafunzo ya elimu ya...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-hJ31ZuoygbQ/XrPx-CyypHI/AAAAAAALpX8/LnYFrf_isKMsz5MIw0P8ZFL06bvPTMMEwCLcBGAsYHQ/s72-c/Picha%2Bno.%2B1.jpg)
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile awapongeza wataalamu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kufanya upasuaji wa kupandikiza mishipa ya damu kwenye moyo (Coronary Artery Bypass Grafting-CABG)
Na John Stephen, WAMJW – Dar es Salaam
07/05/2020 Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imewataka wataalamu wa afya kuendelea kutibu watu wenye magonjwa mengine kama vile matatizo ya moyo na figo katika kipindi hiki cha ugonjwa wa Covid-19.
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Faustine Ndugulile baada ya kuitembelea Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na kuwaona wagonjwa...