Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


kamanda suzana kaganda atembelea vikundi vya ulinzi shirikishi mkoani tabora

Na Fakih Abdul wa Police Press Tabora Kamanda wa Polisi Mkowa wa Tabora  Kamishna Msaidizi wa Polisi Suzana S. Kaganda  amefanya ziara katika wilaya ya Sikonge na kukutana na vikundi mbalimbali vya ulinzi shirikishi. Kwanza alikutana na kikundi cha Pathfinder (maarufu kama Maisha Plus ya Tabora) kilichopo katika kijiji cha Tumbili kata ya Tutuo wilaya ya Sikonge na kuwafundisha mbinu mbalimbali za ulinzi shirikishi na dhana ya Polisi jamii kwa ujumla wake, pamoja na kuwapatia mazoezi ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KAMANDA WA POLISI MKOA WA TABORA AHAMASISHA ULINZI SHIRIKISHI MKOANI MWAKE

Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP. Suzan Kaganda akiongoza mafunzo ya ulinzi shirikishi kwa vijana wa Mkoa huo,yaliyofanyika leo tarehe 20.06.2014 katika shule ya msingi Idudumio iliyopo tarafa ya Nyasa wilaya ya Nzega. Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP. Suzan Kaganda akikabidhi zawadi mbali mbali kwa vijana walioshiriki kwenye Mafunzo ya Ulinzi Shirikishi.

 

11 years ago

Michuzi

MRADI WA ULINZI SHIRIKISHI WASHIKA KASI MKOANI TABORA

Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora SACP Suzan Kaganda leo tarehe 01/06/2014 ametoa T-shirts mia moja kwa vikundi vya ulinzi shirikishi wilaya ya Kaliua mkoa wa Tabora.  Baadhi ya wawakilishi wa kikundi cha ulinzi shirikishi  wilayani  Kaliua wakionesha T-shirts walizopewa na RPC Tabora  kamanda wa polisi mkoa wa Tabora ACP Suzan Kaganda akitoa T-shirts kwa kikundi cha ulinzi shirikishi wilayani Kaliua


 

11 years ago

Michuzi

Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP Suzan S. Kaganda aendelea na kampeni yake ya kuhamasisha dhana ya polisi jamii

Na Fakih Mapondela wa Tabora Police Press Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP Suzan S. Kaganda Alhamisi  tarehe 20/03/2014 alifanya ziara katika manispaa ya Tabora na kukutana na kikundi shirikishi (Sungusungu) na kukipatia mafunzo mbalimbali ya ulinzi shirikishi na ukamataji salama wa watuhumiwa pamoja na kukipa somo la dhana ya Polisi jamii. Kamanda Kaganda akiwa katikati ya Sungusungu kuonesha mbinu bora za ukamataji salama wa watuhumiwa Kamanda Kaganda akiwa katika harakati za kutoa...

 

10 years ago

GPL

AFANDE SUZAN KAGANDA APOKEA ASKARI WAPYA 75 TABORA, ATOA TAARIFA YA UHALIFU MKOANI HUMO

Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP - Suzan Kaganda amewapokea askari 75 wa awamu ya kwanza walioripoti mkoani Tabora wakitokea Chuo Cha Polisi Moshi baada ya kuhitimu  mafunzo ya awali ya Polisi. Kamanda aliwataka askari hao kufanya kazi kwa weledi katika utendaji kazi pamoja na Nidhamu ya hali ya juu.   Askari wapya wakimsikiliza Afande Suzan Kaganda alipowapokea … ...

 

10 years ago

Michuzi

AFANDE SUZAN KAGANDA APOKEA ASKARI WAPYA 75 TABORA, ATOA TAARIFA YA UHALIFU MKOANI HUMO

 Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP - Suzan Kaganda amewapokea askari 75 wa awamu ya kwanza walioripoti mkoani Tabora wakitokea Chuo Cha Polisi Moshi baada ya kuhitimu  mafunzo ya awali ya Polisi. Kamanda aliwataka askari hao kufanya kazi kwa weledi katika utendaji kazi pamoja na Nidhamu ya hali ya juu.  
 Askari wapya wakimsikiliza Afande Suzan Kaganda alipowapokea  mkoani Tabora wakitokea Chuo Cha Polisi Moshi 
  Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP - Suzan Kaganda amewapokea askari 75 wa...

 

11 years ago

Habarileo

Msajili akerwa na vikundi vya ulinzi vya Chadema, CCM

Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa, Sisty NyahozaOFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa imekiri kukerwa na vikundi vya ulinzi vya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Chama Cha Mapinduzi (CCM).

 

9 years ago

StarTV

Polisi yapiga marufuku vikundi vya ulinzi vya vyama

Kamishna wa Polisi–Operesheni na Mafunzo, Paul

Kamishna wa Polisi–Operesheni na Mafunzo, Paul Chagonja

Polisi  nchini imepiga marufuku vikundi vya ulinzi vya vyama vya kisiasa , vyenye mwelekeo wa kijeshi kufanya kazi za ulinzi hadharani kwa madai kuwa  vinaingilia majukumu yao.

Onyo hilo lilitolewa jana na Kamishna wa Polisi–Operesheni na Mfunzo, Paul Chagonja wakati akizungumza na waaandishi wa habari Makao Makuu ya Polisi, Dar es Salaam.

Chagonja alivitaja vikundi hivyo na vyama vyao kwenye mabano kuwa ni Green Guard (CCM),...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani