Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MRADI WA ULINZI SHIRIKISHI WASHIKA KASI MKOANI TABORA

Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora SACP Suzan Kaganda leo tarehe 01/06/2014 ametoa T-shirts mia moja kwa vikundi vya ulinzi shirikishi wilaya ya Kaliua mkoa wa Tabora.  Baadhi ya wawakilishi wa kikundi cha ulinzi shirikishi  wilayani  Kaliua wakionesha T-shirts walizopewa na RPC Tabora  kamanda wa polisi mkoa wa Tabora ACP Suzan Kaganda akitoa T-shirts kwa kikundi cha ulinzi shirikishi wilayani Kaliua


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KAMANDA WA POLISI MKOA WA TABORA AHAMASISHA ULINZI SHIRIKISHI MKOANI MWAKE

Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP. Suzan Kaganda akiongoza mafunzo ya ulinzi shirikishi kwa vijana wa Mkoa huo,yaliyofanyika leo tarehe 20.06.2014 katika shule ya msingi Idudumio iliyopo tarafa ya Nyasa wilaya ya Nzega. Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP. Suzan Kaganda akikabidhi zawadi mbali mbali kwa vijana walioshiriki kwenye Mafunzo ya Ulinzi Shirikishi.

 

11 years ago

Michuzi

kamanda suzana kaganda atembelea vikundi vya ulinzi shirikishi mkoani tabora

Na Fakih Abdul wa Police Press Tabora Kamanda wa Polisi Mkowa wa Tabora  Kamishna Msaidizi wa Polisi Suzana S. Kaganda  amefanya ziara katika wilaya ya Sikonge na kukutana na vikundi mbalimbali vya ulinzi shirikishi. Kwanza alikutana na kikundi cha Pathfinder (maarufu kama Maisha Plus ya Tabora) kilichopo katika kijiji cha Tumbili kata ya Tutuo wilaya ya Sikonge na kuwafundisha mbinu mbalimbali za ulinzi shirikishi na dhana ya Polisi jamii kwa ujumla wake, pamoja na kuwapatia mazoezi ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mradi wa TBA wa ujenzi wa nyumba 10,000 za watumishi wa umma washika kasi

1

Jengo la gorofa 8 lenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 1.9 lililojengwa na wakala wa Majengo Tanazania (TBA) Katika eneo la Ada Estate Kinondoni Jijini Dar es salaam ambalo litapangishwa kwa watumishi wa umma mara litakapokamilika mwishoni mwa mwaka huu ikiwa ni moja ya hatua za Serikali kutatua tatizo la makazi kwa watumishi wa umma.

2

Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa mbele ya  moja ya nyumba za Majaji zinazojengwa na TBA wakati wa ziara yao katika  eneo la Masaki jijini Dar es...

 

5 years ago

Michuzi

KAMATI YA ULINZI NA USALAMA KAHAMA YARIDHISHWA KASI YA UJENZI MRADI WA MAJI NGOGWA - KITWANA


Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Kahama ikiongozwa na Mkuu wa wilaya ya Kahama Mhe. Anamringi Macha imetembelea na kukagua ujenzi wa Mradi wa Maji Safi Ngogwa – Kitwana katika halmashauri ya Mji Kahama ambao unatarajiwa kukamilika Mwezi Agosti mwaka huu ukigharimu jumla ya shilingi Bilioni 2.4
Mradi huo unasimamiwa na kutekelezwa  na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini Shinyanga (SHUWASA) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Kahama (KUWASA) pamoja na...

 

10 years ago

Mtanzania

Kashfa nzito ulinzi shirikishi Ubungo

Eneo la Ubungo jijini Dar

Eneo la Ubungo jijini Dar

NA ADAM MKWEPU, DAR ES SALAAM

WAFANYABIASHARA ndogo ndogo maarufu kama ‘wamachinga’ wa eneo la Ubungo, Manispaa ya Kinondoni, wamegeuzwa kitega uchumi na kikundi kinachojiita cha ulinzi shirikishi kwa kuwatoza ushuru kinyume na sheria.

Uchunguzi uliofanywa na MTANZANIA umebaini kikundi hicho kimekuwa kikikusanya fedha kwa wafanyabiashara hao kati ya Sh 1,000 na 5,000 kutegemea aina ya biashara, ushuru ambao unaingia mifukoni mwao bila halmashauri kujua.

Mbali na...

 

11 years ago

Mwananchi

Ulevi wa Shisha washika kasi

Umeibuka ulevi mpya nchini ambao umethibitika kuwateka vijana hasa wa jiji la Dar es Salaam, huku kukiwa na taarifa za kitaalamu kwamba ulevi huo una athari za kiafya kwa watumiaji.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ushoga washika kasi nchini

WAKATI Uganda imepitisha sheria ya kuzuia mapenzi ya jinsia moja, hapa nchini hali ni mbaya zaidi kutokana na kuwepo kwa asilimia kubwa ya watu wanaojihusisha na ushoga. Kwa mujibu wa...

 

11 years ago

Habarileo

Moto wa rushwa washika kasi

Waziri Mkuu wa zamani, Frederick SumayeWAZIRI Mkuu wa zamani wa Tanzania, Frederick Sumaye amewataka wananchi na wadau wa demokrasia kutochoka kukemea rushwa katika kupata viongozi kwani inawafanya kuwa wapofu na kudumaza maendeleo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani