Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kashfa nzito ulinzi shirikishi Ubungo

Eneo la Ubungo jijini Dar

Eneo la Ubungo jijini Dar

NA ADAM MKWEPU, DAR ES SALAAM

WAFANYABIASHARA ndogo ndogo maarufu kama ‘wamachinga’ wa eneo la Ubungo, Manispaa ya Kinondoni, wamegeuzwa kitega uchumi na kikundi kinachojiita cha ulinzi shirikishi kwa kuwatoza ushuru kinyume na sheria.

Uchunguzi uliofanywa na MTANZANIA umebaini kikundi hicho kimekuwa kikikusanya fedha kwa wafanyabiashara hao kati ya Sh 1,000 na 5,000 kutegemea aina ya biashara, ushuru ambao unaingia mifukoni mwao bila halmashauri kujua.

Mbali na...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

ARUSHA WADHAMIRIA KUFUFUA MFUKO WA ULINZI SHIRIKISHI

 Afisa Mnadhimu namba wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Japhet Lusingu akitoa ufafanuzi wa mada mbalimbali zilizojadiliwa kati ya Jeshi hilo na wadau wa Polisi Jamii Mkoa wa Arusha katika kikao kilichofanyika ukumbi wa Bwalo la Afisa wa Polisi (Police Officers Mess) mwishoni mwa wik Mkuu wa Polisi wilaya ya Arusha Mrakibu wa Polisi (SP) Francis Duma akitoa elimu ya Polisi Jamii katika kikao kilichowajumuisha viongozi wa Jeshi la Polisi na Wadau wa Polisi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ugombolwa vinara bonanza la ulinzi shirikishi Segerea

TIMU ya soka ya Polisi Jamii ya Mtaa wa Ugombolwa, Kata ya Segerea jijini Dar es Salaam imeibuka mabingwa katika Bonanza la Ulinzi Shirikishi kata hiyo baada ya kuibwaga Segerea...

 

11 years ago

Michuzi

MRADI WA ULINZI SHIRIKISHI WASHIKA KASI MKOANI TABORA

Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora SACP Suzan Kaganda leo tarehe 01/06/2014 ametoa T-shirts mia moja kwa vikundi vya ulinzi shirikishi wilaya ya Kaliua mkoa wa Tabora.  Baadhi ya wawakilishi wa kikundi cha ulinzi shirikishi  wilayani  Kaliua wakionesha T-shirts walizopewa na RPC Tabora  kamanda wa polisi mkoa wa Tabora ACP Suzan Kaganda akitoa T-shirts kwa kikundi cha ulinzi shirikishi wilayani Kaliua


 

11 years ago

Tanzania Daima

Kashfa nzito Tafico

WIZARA ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, imeingia katika kashfa nzito ya kudaiwa kutafuna zaidi ya sh milioni 200 za kujenga ukuta wa kuzuia kuanguka kwa jengo la lililokuwa Shirika...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kashfa nzito Simba

UONGOZI wa Simba unaomaliza muda wake, unadaiwa kuchukua kitita cha sh milioni 100 zilizotakiwa kutolewa msimu ujao kutoka Azam Media kwa madai ya kwenda kujenga uwanja wao Bunju, Dar es...

 

11 years ago

Michuzi

elimu ya ulinzi shirikishi na polisi jamii yatolewa wilayani simanjiro

Ofisa Polisi Jamii wa Tarafa ya Moipo Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Amiri Mlemba akizungumza jana na wakazi wa Kitongoji cha Sokoni, Kata ya Mirerani, wakati akitoa elimu ya ulinzi shirikishi na polisi jamii. ----------------------------------------------- ILI kufanikisha dhana ya polisi jamii na ulinzi shirikishi, jamii imetakiwa kuanza kutekeleza suala hilo kwenye ngazi ya kaya, kwani jambo hilo likifanyika kikamilifu, uhalifu utapungua kama siyo kumalizika kabisa hapa...

 

10 years ago

Mwananchi

Kashfa nzito yaibuka Bandari

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), imeitaka menejimenti ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kurejesha nyongeza ya fedha zote za malipo ya safari ilizowalipa watendaji wake tangu mwaka 2011, baada ya kubainika kuwa zililipwa bila kuidhinishwa na Msajili wa Hazina.

 

11 years ago

Mwananchi

Kashfa nzito sekta ya afya

Maisha ya baadhi ya watu wanaotumia dawa za kufubaza makali ya ugonjwa wa Ukimwi (ARVs), yapo hatarini, baada ya kupungua kwa dawa hizo nchini na hivyo kufanya wagonjwa kutumia dawa tofauti na zile wanazotumia siku zote.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani