Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


elimu ya ulinzi shirikishi na polisi jamii yatolewa wilayani simanjiro

Ofisa Polisi Jamii wa Tarafa ya Moipo Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Amiri Mlemba akizungumza jana na wakazi wa Kitongoji cha Sokoni, Kata ya Mirerani, wakati akitoa elimu ya ulinzi shirikishi na polisi jamii. ----------------------------------------------- ILI kufanikisha dhana ya polisi jamii na ulinzi shirikishi, jamii imetakiwa kuanza kutekeleza suala hilo kwenye ngazi ya kaya, kwani jambo hilo likifanyika kikamilifu, uhalifu utapungua kama siyo kumalizika kabisa hapa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KAMANDA WA POLISI MKOA WA TABORA AHAMASISHA ULINZI SHIRIKISHI MKOANI MWAKE

Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP. Suzan Kaganda akiongoza mafunzo ya ulinzi shirikishi kwa vijana wa Mkoa huo,yaliyofanyika leo tarehe 20.06.2014 katika shule ya msingi Idudumio iliyopo tarafa ya Nyasa wilaya ya Nzega. Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP. Suzan Kaganda akikabidhi zawadi mbali mbali kwa vijana walioshiriki kwenye Mafunzo ya Ulinzi Shirikishi.

 

10 years ago

Michuzi

Tafrija ya polisi ya kuagana Mirerani wilayani simanjiro mkoani Manyara

 Aliyekuwa Mkuu wa Kituo cha Polisi Mirerani, Wilayani Simanjiro, Mkoani Manyara, Mkakibu wa polisi Ally Mohamed Mkalipa, ambaye ni Mkuu wa polisi (OCD) Wilaya ya Ngorongoro Mkoani Arusha, akizungumza wakati wa sherehe ya kuagwa kwake Mirerani juzi. Mkuu wa Kituo cha Polisi Mirerani, Wilayani Simanjiro, Mkoani Manyara, Mkakibu Msaidi wa polisi, ASP Lwitiko Noman Kibanda, akicheza muziki na mke wake kwenye sherehe ya kukaribishwa kwake na kumuaga aliyekuwa mkuu wa kituo hicho SP Ally Mohamed...

 

11 years ago

Michuzi

Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Manyara, SACP Deusdedit Nsimeki afanya ukaguzi wilayani simanjiro

 Askari wa kituo cha polisi Mirerani Wilayani Simanjiro wakifanya mazoezi mbele ya Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Manyara, SACP Deusdedit Nsimeki, alipofanya ziara ya ukaguzi wilayani humo mwishoni mwa juma.  Askari wa kituo cha polisi Mirerani Wilayani Simanjiro wakifanya mazoezi mbele ya Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Manyara, SACP Deusdedit Nsimeki,   Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Manyara, SACP Deusdedit Nsimeki, akikaribishwa kukagua  askari polisi jamii wa Mji mdogo wa Mirerani Wilayani...

 

11 years ago

Michuzi

KINANA AMALIZA ZIARA YAKE WILAYANI KITETO,LEO AELEKEA WILAYANI SIMANJIRO MKOANI MANYARA.

Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akitazama sehemu maalum ya kunyweshea maji mifugo,ambayo yeye mwenyewe aliiizindua Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akimtwisha ndoo ya maji mama wa jamii ya kimasai,mara baada ya kuzindua mradi wa maji safi na salama wenye thamani ya shilingi milioni 200 na zaidi, katika kijiji cha Ilela kata ya Esekii wilayani Kiteto mkoani Manyara.

Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akiwasalimia wananchi mara baada ya kupokelewa katika kijiji cha Irkiushbor,wilaya ya...

 

9 years ago

Michuzi

Askari wa kituo cha polisi Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara wafanya usafi kwenye mazingira yanayozunguka kituo chao.

 Askari polisi wa Kituo cha Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wakiongozwa na Mkuu wa kituo hicho, Mrakibu msaidizi (ASP) Thomas Mniko, (kulia) kusafisha mazingira yanayozunguka eneo lao.
Askari polisi wa Kituo cha Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wakiongozwa na Mkuu wa kituo hicho, Mrakibu msaidizi (ASP) Thomas Mniko, (kulia) kusafisha mazingira yanayozunguka eneo lao.

 

10 years ago

Mtanzania

Kashfa nzito ulinzi shirikishi Ubungo

Eneo la Ubungo jijini Dar

Eneo la Ubungo jijini Dar

NA ADAM MKWEPU, DAR ES SALAAM

WAFANYABIASHARA ndogo ndogo maarufu kama ‘wamachinga’ wa eneo la Ubungo, Manispaa ya Kinondoni, wamegeuzwa kitega uchumi na kikundi kinachojiita cha ulinzi shirikishi kwa kuwatoza ushuru kinyume na sheria.

Uchunguzi uliofanywa na MTANZANIA umebaini kikundi hicho kimekuwa kikikusanya fedha kwa wafanyabiashara hao kati ya Sh 1,000 na 5,000 kutegemea aina ya biashara, ushuru ambao unaingia mifukoni mwao bila halmashauri kujua.

Mbali na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ugombolwa vinara bonanza la ulinzi shirikishi Segerea

TIMU ya soka ya Polisi Jamii ya Mtaa wa Ugombolwa, Kata ya Segerea jijini Dar es Salaam imeibuka mabingwa katika Bonanza la Ulinzi Shirikishi kata hiyo baada ya kuibwaga Segerea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani