Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kashfa nzito sekta ya afya

Maisha ya baadhi ya watu wanaotumia dawa za kufubaza makali ya ugonjwa wa Ukimwi (ARVs), yapo hatarini, baada ya kupungua kwa dawa hizo nchini na hivyo kufanya wagonjwa kutumia dawa tofauti na zile wanazotumia siku zote.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Wadau wa Sekta ya Afya kutoka Tanzania Washiriki Maonyesho ya Sekta ya Afya jijini Istanbul -Uturuki. Dec 2014.

Washiriki Kumi na Wanne (14) kutoka Tanzania wajumuika na wenzao 20 kutoka nchi mbalimbali za Afrika katika Maonyesho ya Pili Sekta ya Afya chini Uturuki. Maonyesho hayo hufanyika kila mwaka na kwa lengo la kuendeleza mahusiano na ushirikiano katika kuboresha Sekta ya Afya kwa nchi husika. Maonyesho ya Mwaka huu yalikuwa na washiriki kutoka nchi 60 duniani kote.  Kwa upande wa Afrika mkutano huu ulioratibiwa na kusimamiwa na kampuni ya kuendeleza mahusiano ya maendeleo na biashara kati ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kashfa nzito Simba

UONGOZI wa Simba unaomaliza muda wake, unadaiwa kuchukua kitita cha sh milioni 100 zilizotakiwa kutolewa msimu ujao kutoka Azam Media kwa madai ya kwenda kujenga uwanja wao Bunju, Dar es...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kashfa nzito Tafico

WIZARA ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, imeingia katika kashfa nzito ya kudaiwa kutafuna zaidi ya sh milioni 200 za kujenga ukuta wa kuzuia kuanguka kwa jengo la lililokuwa Shirika...

 

11 years ago

Michuzi

MKUTANO WA WADAU WA UHAMASISHAJI WA UBIA BAINA YA SEKTA YA UMMA NA SEKTA BINAFSI (PPP) KATIKA SEKTA AFYA MKOANI RUKWA

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya akifungua rasmi mkutano wa wadau wa uhamasishaji wa ubia baina ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi PPP - ("Public and Private Partnership") katika Sekta ya Afya uliofanyika leo katika ukumbi wa Hospitali Kuu ya Mkoa wa Rukwa. Katika hotuba yake ya ufunguzi amesema ili kufikia lengo kuu la millennia ifikapo mwaka 2015 la kupunguza vifo vya watoto, akina mama wajawazito na kuweza kudhibiti magonjwa yanayoambukiza na yasiyoambukiza pamoja na kuboresha...

 

10 years ago

Mwananchi

Kashfa nzito Miss Tanzania

Kashfa imemwandama Miss Tanzania 2014, Sitti Mtevu baada ya vielelezo mbalimbali kuonyesha kuwa ameghushi umri.

 

10 years ago

Mwananchi

Kashfa nzito yaibuka Bandari

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), imeitaka menejimenti ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kurejesha nyongeza ya fedha zote za malipo ya safari ilizowalipa watendaji wake tangu mwaka 2011, baada ya kubainika kuwa zililipwa bila kuidhinishwa na Msajili wa Hazina.

 

11 years ago

Mwananchi

Kashfa nzito ya ufisadi Moshi

Inawezekana ikawa ni moja ya matumizi mabaya ya fedha za umma baada ya kubainika majengo mawili mapya ya ghorofa yaliyojengwa na Serikali ni hatari kwa usalama wa watumiaji.

 

11 years ago

Mwananchi

Kashfa saba nzito nchini

Serikali imepoteza zaidi ya Sh362.9 bilioni kutokana na baadhi ya kashfa kubwa za ufisadi na operesheni mbalimbali zilizoligharimu taifa tangu uhuru.

 

10 years ago

Mtanzania

Kashfa nzito ulinzi shirikishi Ubungo

Eneo la Ubungo jijini Dar

Eneo la Ubungo jijini Dar

NA ADAM MKWEPU, DAR ES SALAAM

WAFANYABIASHARA ndogo ndogo maarufu kama ‘wamachinga’ wa eneo la Ubungo, Manispaa ya Kinondoni, wamegeuzwa kitega uchumi na kikundi kinachojiita cha ulinzi shirikishi kwa kuwatoza ushuru kinyume na sheria.

Uchunguzi uliofanywa na MTANZANIA umebaini kikundi hicho kimekuwa kikikusanya fedha kwa wafanyabiashara hao kati ya Sh 1,000 na 5,000 kutegemea aina ya biashara, ushuru ambao unaingia mifukoni mwao bila halmashauri kujua.

Mbali na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani