Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAARIFA YA HALI YA UHALIFU MKOA WA MBEYA.

 SACP AHMED Z. MSANGI – KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

5 years ago

Michuzi

TAARIFA YA UHALIFU KWA UMMA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MBEYA


…………………………………………………………………………….

KUJIPATIA FEDHA KWA NJIA YA UDANGANYIFU [MTANDAO WA KIJAMII].

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wawili 1. SOPHIA ELIA MWALUANDA [22] Mfanyabiashara na Mkazi wa Sistila Jijini Mbeya na 2. MPAJI SELEMAN MWINYIMVUA [38] Mkazi wa Manzese Jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu kwa kutumia akaunti feki ya “facebook” yenye jina la Mheshimiwa Mama Janeth Magufuli Mke wa Mheshimiwa Rais wa...

 

10 years ago

Michuzi

11 years ago

Michuzi

11 years ago

Michuzi

TAARIFA MUHIMU KWA WANAHABARI WA MKOA WA MBEYA

Tarehe 3/5/2014 ni siku ya uhuru wa vyombo vya habari duniani, hivyo kila sehemu huadhimisha siku hiyo kulingana na mipango yao.
Kwa Mkoa wa Mbeya siku hiyo itaadhimishwa kwa kufanya bonanza kubwa litakalowashirikisha waandishi wa habari pamoja na wadau na baadaye kuwa na tafrija fupi ukumbini majira ya jioni. Kwa mantiki hiyo basi kwa mwandishi wa habari Mkoa wa Mbeya bila kujali ni mwanachama wa Mbeya Press ama la unaarifiwa kuanza mazoezi kwa ajili ya kushiriki bonanza hilo...

 

11 years ago

Michuzi

5 years ago

Michuzi

TAARIFA YA JESHI LA POLISI KUTOKA MKOA WA MBEYA

Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya linafanya msako mkali kumtafuta HAKIMU JAMES MWAKIFUNA miaka [20]Mnyakusa wa Kiwira kwa kosa la Mauaji ya makusudi ya bibi JUNE SANKANYE miaka [65] wa kijiji cha Nkunga Kata ya Nkunga  {T} Ukukwe.
Tukio hili lilitokea tarehe 23/04/2020 saa 05:00 Wilaya ya Rungwe.  Marehemu ambaye ni bibi mzaa baba wa mtuhumiwa walilala nyumba moja.  Huku mtuhumiwa akiwa sebuleni na marehemu amelala chumbani.   
Usiku muda usiojulikana HAKIMU JAMES MWAKIFUNA alichukua kitu chenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani