Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtambo wa Kinyerezi kukamilika Juni

MENEJA wa Miradi ya Umeme ya Kinyerezi, Simon Jilima amesema mtambo wa Kinyerezi 1 unaojengwa na kampuni ya Yakobsen Elektro ya Norway, unatarajia kukamilika mapema Juni mwaka huu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Kinyerezi I kukamilika mwaka huu

Kituo cha kuchakata na kuzalisha umeme kwa njia ya gesi cha Kinyezi I kimekamilika kwa asilimia 88 na kinatarajiwa kuzalisha umeme kuanzia Septemba mwaka huu.
Hayo yalisemwa na Meneja Mradi wa Kinyerezi I kutoka Shirika la Umeme Nchini (Tanesco) Mhandisi Simon Jilima akiwatembeza katika kituo hicho wanajopo la ukaguzi wa miradi kutoka Ofisi ya Raisi Tume ya Mipango walipotembelea mradi huo.   
“Kazi zinazoendelea kwa sasa ni ufungaji wa mifumo katika mitambo; na njia za kusafirisha umeme...

 

11 years ago

Habarileo

Daraja la Kigamboni kukamilika Juni mwakani

UJENZI wa Daraja la Kigamboni katika Manispaa ya Temeke, Dar es Salaam umekamilika kwa asilimia 60 na linatarajiwa kuanza kutumika Juni mwakani.

 

10 years ago

Habarileo

Kampasi mpya MUHAS kukamilika Juni 2016

UJENZI wa Kampasi Mpya ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) unaoendelea katika eneo la Mloganzila sambamba na ujenzi wa hospitali ya kutoa huduma na kufundishia kwa vitendo unaotarajiwa kukamilika Juni mwaka 2016.

 

5 years ago

Michuzi

Kituo cha Polisi Mkokotoni kukamilika Mwezi Juni


Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje ,Ulinzi na Usalama, Prosper Mbena, akikagua ukuta wa Mradi wa Ujenzi wa Jengo la Kituo cha Polisi Mkokotoni, kilichopo Kaskazini Unguja, Zanzibar.Kulia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni. Kamati hiyo imefika kukagua mradi huo baada ya kituo cha awali kuungua katika ajali ya moto iliyosababishwa na hitilafu za umeme.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad...

 

5 years ago

Michuzi

MRADI WA UMEME RUFIJI WAVUKA MATARAJIO, WAFIKIA ASILIMIA 11, KUKAMILIKA JUNI MWAKA 2022

Na Bakari Madjeshi, Globu ya JamiiMradi wa Kufua Umeme wa Julius Nyerere (Rufiji Hydropower Project (RHPP) umetajwa kuzidi asilimia 11 mpaka sasa na unatarajiwa kukamilika kwa wakati uliopangwa ifikapo June 2022.
Hayo yameelezwa leo jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme nchini (TANESCO), Dkt. Tito Mwinuka wakati wa utoaji taarifa za Mradi huo kwa Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali wanaotembelea miradi ya maendeleo hapa nchini inayotekelezwa na Serikali ya Awamu ya...

 

10 years ago

Habarileo

Tanesco wajivunia mradi wa Kinyerezi II

SHIRIKA la Umeme Nchini (TANESCO) limesema ifikapo mwishoni mwa mwaka 2016 Tanzania suala la mgawo wa umeme litabaki kuwa historia.

 

10 years ago

GPL

WASHIRIKA WA MAENDELEO WARIDHISHWA NA MRADI WA UMEME KINYEREZI

Baadhi ya Washirika wa Maendeleo wakipita jirani na unapojengwa moja ya mitambo ya kupokea gesi katika eneo la Kinyerezi, Jijini Dar es Salaam, walipotembelea maendeleo ya ujenzi wa kituo cha kupokea gesi. Pichani ni moja ya Mtambo wa kuzalisha umeme ambao ni miongoni mwa mitambo itakayotumiwa katika kuzalisha kiasi cha megawati 150 za umeme katika Mradi wa Kinyerezi I.…
...

 

10 years ago

Michuzi

WASHIRIKA WA MAENDELEO WARIDHISHWA MRADI WA UMEME KINYEREZI

Baadhi ya Washirika wa Maendeleo wakipita jirani na unapojengwa mmoja wa mitambo wa kupokea gesi katika eneo la Kinyerezi, Jijini Dar es Salaam, walipotembelea maendeleo ya ujenzi wa kituo cha kupokea gesi. Pichani ni mmoja wa Mtambo wa kuzalisha umeme ambao ni miongoni mwa mitambo itakayotumiwa katika kuzalisha kiasi cha megawati 150 za umeme katika Mradi wa Kinyerezi I. Meneja Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha kuzalisha Umeme cha Kinyerezi I kutoka Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO),...

 

10 years ago

GPL

TASWIRA ZA KUVUNJIKA DARAJA LA KINYEREZI JIJINI DAR

Daraja linalounganisha Kinyerezi na Majumba Sita jijini Dar es Salaam likiwa limevunjika tena baada ya kudaiwa kupita lori lililokuwa limebeba zege. (PICHA NA GLOBAL WHATSAPP 0753 715…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani