Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kituo cha Polisi Mkokotoni kukamilika Mwezi Juni


Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje ,Ulinzi na Usalama, Prosper Mbena, akikagua ukuta wa Mradi wa Ujenzi wa Jengo la Kituo cha Polisi Mkokotoni, kilichopo Kaskazini Unguja, Zanzibar.Kulia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni. Kamati hiyo imefika kukagua mradi huo baada ya kituo cha awali kuungua katika ajali ya moto iliyosababishwa na hitilafu za umeme.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

sherehe za mahafali na ufungaji wa mradi wa ZEET, kituo cha mafunzo ya amali Mkokotoni

 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akikabidhi cheti kwa mwanafunzi Hamad Kombo Haji aliyehitimu mafunzo ya utalii, katika sherehe za mahafali na ufungaji wa mradi wa ZEET, kituo cha mafunzo ya amali Mkokotoni.  Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akihutubia, katika sherehe za mahafali na ufungaji wa mradi wa ZEET, kituo cha mafunzo ya amali Mkokotoni.  Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad,...

 

10 years ago

Michuzi

KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA AHMED .Z. MSANGI-SACP ANAWATANGAZIA WAHITIMU WA KIDATO CHA SITA MWAKA 2014 NA KIDATO CHA NNE MWAKA 2013 WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA JESHI LA POLISI BAADA YA USAILI KUKAMILIKA

Maelekezo Muhimu.

Wahitimu wa kidato cha sita mwaka 2014, kidato cha nne mwaka 2013 na JKT Mafinga, Mlale, Ruvu, Mgambo, Bulombola, Kanembwa, Itende, Nachingwea, Mbweni, Maramba, Chita, Makutupola, Mtabila, Msange, Mgulani, Oljoro, Rwankoma na Kimbiji wamechaguliwa kujiunga na mafunzo ya awali ya Jeshi la Polisi.

Wahitimu hawa waliochaguliwa wanatakiwa kuripoti tarehe 28/11/2014 kwa Makamanda wa Polisi wa Mikoa kama ilivyooneshwa kwenye jedwali hapa chini ili...

 

9 years ago

Michuzi

Askari wa kituo cha polisi Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara wafanya usafi kwenye mazingira yanayozunguka kituo chao.

 Askari polisi wa Kituo cha Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wakiongozwa na Mkuu wa kituo hicho, Mrakibu msaidizi (ASP) Thomas Mniko, (kulia) kusafisha mazingira yanayozunguka eneo lao.
Askari polisi wa Kituo cha Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wakiongozwa na Mkuu wa kituo hicho, Mrakibu msaidizi (ASP) Thomas Mniko, (kulia) kusafisha mazingira yanayozunguka eneo lao.

 

11 years ago

Habarileo

Kituo kipya cha daladala Ubungo kuanza mwezi ujao

Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda KITUO kipya cha daladala kilichopo eneo la Migombani jirani na jengo la Mawasiliano kitakachochukua nafasi ya kituo cha Ubungo kinatarajiwa kuanza kutumika mwishoni mwa mwezi huu baada ya kukamilika kwa sehemu kubwa.

 

10 years ago

GPL

KITUO CHA POLISI STAKISHARI-UKONGA CHAVAMIWA, POLISI WAUAWA NA KUPORWA SILAHA

WATU wanaodhaniwa kuwa magaidi wamevamia Kituo cha Polisi Stakishari kilichopo Ukonga jijini Dar es Salaam, jana usiku na kuua askari na raia kisha kupora silaha. Kwa mujibu wa taarifa za awali ambazo bado hazijathibitishwa na Jeshi la Polisi ni kwamba watu hao walifika kituoni hapo wakiwa katika pikipiki wakidai kwamba walikuwa wamembeba mtu aliyepata ajali wakihitaji msaada wa polisi kabla ya kuwabadilikia ghafla na kuanza...

 

10 years ago

Habarileo

Mtambo wa Kinyerezi kukamilika Juni

MENEJA wa Miradi ya Umeme ya Kinyerezi, Simon Jilima amesema mtambo wa Kinyerezi 1 unaojengwa na kampuni ya Yakobsen Elektro ya Norway, unatarajia kukamilika mapema Juni mwaka huu.

 

11 years ago

Habarileo

Daraja la Kigamboni kukamilika Juni mwakani

UJENZI wa Daraja la Kigamboni katika Manispaa ya Temeke, Dar es Salaam umekamilika kwa asilimia 60 na linatarajiwa kuanza kutumika Juni mwakani.

 

10 years ago

Habarileo

Kampasi mpya MUHAS kukamilika Juni 2016

UJENZI wa Kampasi Mpya ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) unaoendelea katika eneo la Mloganzila sambamba na ujenzi wa hospitali ya kutoa huduma na kufundishia kwa vitendo unaotarajiwa kukamilika Juni mwaka 2016.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani