MRADI WA UMEME RUFIJI WAVUKA MATARAJIO, WAFIKIA ASILIMIA 11, KUKAMILIKA JUNI MWAKA 2022
Na Bakari Madjeshi, Globu ya JamiiMradi wa Kufua Umeme wa Julius Nyerere (Rufiji Hydropower Project (RHPP) umetajwa kuzidi asilimia 11 mpaka sasa na unatarajiwa kukamilika kwa wakati uliopangwa ifikapo June 2022.
Hayo yameelezwa leo jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme nchini (TANESCO), Dkt. Tito Mwinuka wakati wa utoaji taarifa za Mradi huo kwa Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali wanaotembelea miradi ya maendeleo hapa nchini inayotekelezwa na Serikali ya Awamu ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo17 Oct
Mradi mkubwa wa umeme Dar kukamilika mwakani
MRADI mkubwa wa megawati 80 kwa ajili ya kuboresha umeme katikati ya Jiji la Dar es Salaam unatarajia kukamilika Agosti mwakani.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/--P7kpdDze-s/XnSuK6ywIII/AAAAAAALkiA/FoaiOIN1wM8TekP7k27mDNABEUGqmx3IACLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
WAKANDARASI MRADI WA UMEME WA PERI-URBAN WATAKIWA KUMALIZA KAZI MWEZI JUNI
![](https://1.bp.blogspot.com/--P7kpdDze-s/XnSuK6ywIII/AAAAAAALkiA/FoaiOIN1wM8TekP7k27mDNABEUGqmx3IACLcBGAsYHQ/s640/1.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-NgWNnNW8q4Q/XnSuKJqiYZI/AAAAAAALkh8/CjR5gN8CMEkQALETAzACNLra640TWvBYQCLcBGAsYHQ/s640/2.jpg)
Hafsa Omar-DodomaWAKANDARASI wanaotekeleza mradi wa umeme pembezoni mwa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-iM_dimWMY2U/XqWhlk9w6PI/AAAAAAALoSo/0xOVA4QI-DMEY8UpbRfMYf6k6u1cJ4nWACLcBGAsYHQ/s72-c/PICHA-1-8-768x512.jpg)
GGM KUANZA KUTUMIA UMEME WA GRIDI YA TAIFA MWEZI JUNI MWAKA HUU
![](https://1.bp.blogspot.com/-iM_dimWMY2U/XqWhlk9w6PI/AAAAAAALoSo/0xOVA4QI-DMEY8UpbRfMYf6k6u1cJ4nWACLcBGAsYHQ/s640/PICHA-1-8-768x512.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/04/PICHA-2-6-1024x683.jpg)
Muonekano wa sehemu ya mitambo ya katika kituo cha kupoza na kusambaza umeme cha Mponvu kinachotarajiwa kukamilika mwishoni mwa Mwezi Mei, 2020.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/04/PICHA-3-5-1024x683.jpg)
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani (katikati) akikagua...
10 years ago
Habarileo05 Mar
Mtambo wa Kinyerezi kukamilika Juni
MENEJA wa Miradi ya Umeme ya Kinyerezi, Simon Jilima amesema mtambo wa Kinyerezi 1 unaojengwa na kampuni ya Yakobsen Elektro ya Norway, unatarajia kukamilika mapema Juni mwaka huu.
11 years ago
Habarileo09 Aug
Daraja la Kigamboni kukamilika Juni mwakani
UJENZI wa Daraja la Kigamboni katika Manispaa ya Temeke, Dar es Salaam umekamilika kwa asilimia 60 na linatarajiwa kuanza kutumika Juni mwakani.
11 years ago
Tanzania Daima10 Jun
Mfumuko wa bei wafikia asilimia 6.5
MFUMUKO wa bei wa taifa umeongezeka na kufikia asilimia 6.5 kutoka asilimia 6.3 Aprili mwaka huu, huku chanzo kikiwa ni upandaji wa bidhaa na huduma. Farihisi za bei nazo zimeongezeka...
10 years ago
Habarileo12 Dec
Kampasi mpya MUHAS kukamilika Juni 2016
UJENZI wa Kampasi Mpya ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) unaoendelea katika eneo la Mloganzila sambamba na ujenzi wa hospitali ya kutoa huduma na kufundishia kwa vitendo unaotarajiwa kukamilika Juni mwaka 2016.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/--DwKhcaB_YI/Xm4Xs76pvaI/AAAAAAALjvk/zbpUP0jI8fUG8MrhQL1OSSX-zbXMHIfJACLcBGAsYHQ/s72-c/PIX-2.-2048x1365.jpg)
Kituo cha Polisi Mkokotoni kukamilika Mwezi Juni
![](https://1.bp.blogspot.com/--DwKhcaB_YI/Xm4Xs76pvaI/AAAAAAALjvk/zbpUP0jI8fUG8MrhQL1OSSX-zbXMHIfJACLcBGAsYHQ/s640/PIX-2.-2048x1365.jpg)
Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje ,Ulinzi na Usalama, Prosper Mbena, akikagua ukuta wa Mradi wa Ujenzi wa Jengo la Kituo cha Polisi Mkokotoni, kilichopo Kaskazini Unguja, Zanzibar.Kulia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni. Kamati hiyo imefika kukagua mradi huo baada ya kituo cha awali kuungua katika ajali ya moto iliyosababishwa na hitilafu za umeme.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/03/PIX-1.-scaled.jpg)
11 years ago
Mwananchi26 May
Mradi wa magadi mbioni kukamilika