Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


GGM KUANZA KUTUMIA UMEME WA GRIDI YA TAIFA MWEZI JUNI MWAKA HUU

Waziri wa Nishati, Dkt. Medrad Kalemani, ( katikati) akitoa maelekezo kwa wakandarasi wanaotekeleza ujenzi wa kituo cha kupoza na kusambaza umeme cha Mponvu mkoani Geita baada ya kuridhishwa na kasi ya ujenzi wa kituo hicho alipofanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa kituo hicho.
Muonekano wa sehemu ya mitambo ya katika kituo cha kupoza na kusambaza umeme cha Mponvu kinachotarajiwa kukamilika mwishoni mwa Mwezi Mei, 2020.
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani (katikati) akikagua...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TAIFA STARS YAANZAUSAJILI WA WACHEZAJI KUANZA JUNI 15 MWAKA HUU.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI - RELEASE NO. 98TAREHE 15 JUNI, 2015TAIFA STARS YAFUNGWA NA MISRITimu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager, leo imepoteza mchezo wake wa kwanza kuwania kufuzu kwa fainali za AFCON mwaka 2017 baada ya kufungwa kwa mabao 3 - 0 na wenyeji Misri.
Taifa Stars ilicheza vizuri kipindi cha kwanza na hasa sehemu ya ulinzi ilifanya kazi ya ziada kuokoa mashambulizi ya washambuliaji wa timu ya Misri, na kupelekea...

 

11 years ago

Michuzi

Tanzania kuanza kutumia mfumo wa "electronic single window system" mwezi Juni 2014

 Tanzania iko katika hatua muhimu ya utekelezaji wa mfumo wa National Electronic Single Window System, makati bio ya mfumo huu yataanza mwezi June 2014, utarahisisha ufanyaji biashara na kuchangia kainua uchumi wa Tanzania. Mradi huu ni sehemu ya Mpango wa Matokeo Makubwa sasa ( Big Result Now) unasimamiwa na Mamlaka ya Bandari Tanzania kwa niaba ya wadau wote na utanufaisha watumiaji wa bandari zetu zote, viwanja vya ndege, mipaka yote ya Tanzania.  Mfumo huu unatarajiwa kupunguza muda wa...

 

11 years ago

Dewji Blog

FURSA: Mafunzo ya kupiga ala za muziki kuanza tena mwezi Mei mwaka huu

Untitled

Baadhi ya wanafunzi wakiwa kwenye mazoezi.

Action Music Tanzania (AMTz) inatangaza fursa kwa watu wote kujiunga na mafunzo ya kupiga ala za muziki yanayoanza tarehe 3/5/2014, lengo likiwa ni kuwajengea uwezo wanamuziki wa kupiga ala na kufanya maonesho kwa weledi na utaalamu zaidi.

Untitled 1

Baadhi ya wanafunzi wakiwa darasani.

Mafunzo yanayotolewa ni pamoja na upigaji wa ala za muziki zikiwemo gita, kinanda, tarumbeta, saxophone, konga, drum set, na upigaji wa ngoma za asili. Pia yatatolewa...

 

11 years ago

Michuzi

Songas, IPTL wachangiaji pekee wa umeme gridi ya Taifa - Tanesco

MAKAMPUNI ya Songas Tanzania na Independent Power Tanzania Limited (IPTL) ni makampuni pekee ya binafsi yazalishayo umeme ambayo kwa sasa uzalisha umeme kwa ajili ya gridi ya Taifa wakati mengine yaliyobaki Aggreko na Symbion Power Tanzania yakiwa yanatumika tu wakati wa dharura. 
Uwezo ulioongezwa katika mitambo ya gesi asilia ya Songas iliyopo Ubungo ni ya megawati 189, wakati kampuni ya IPTL inatumia mafuta mazito na uwezo wake ni kuzalisha megawati 103, ingawa uzalishaji huo ubadilika...

 

11 years ago

GPL

TAIFA STARS, ZIMBABWE ZAINGIZA MIL 63, LIGU KUU TANZANIA BARA KUANZA AGOSTI 24 MWAKA HUU

Ofisa Habari wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Boniface Wambura akizungumza na vyombo vya habari. Waandishi wa habari wakisikiliza. Stori: Na Gabriel Ng'osha OFISA Habari wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Boniface Wambura akizungumzia kuhusiana na mapato yaliyotokana na mechi kati ya Taifa Stars na Zimbabwe iliyochezwa wiki iliyopita ambapo jumla ya shilingi milioni 63 zilipatikana baada ya mashabiki...

 

5 years ago

Michuzi

WAKANDARASI MRADI WA UMEME WA PERI-URBAN WATAKIWA KUMALIZA KAZI MWEZI JUNI

Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani,(katikati) Naibu Waziri wa Nishati  Subira Mgalu,(kulia) Katibu Mkuu, Mhandisi Zena Said,(kushoto) wakiwa kwenye kikao na Wakandarasi wanaotekeleza  mradi wa  Peri Urban,Mkoani Dodoma, Machi 19,2020.Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani na Katibu Mkuu, Mhandisi Zena Said,(kushoto) wakiwa kwenye kikao na Wakandarasi wanaotekeleza  mradi wa  Peri Urban,Mkoani Dodoma, Machi 19,2020.
Hafsa Omar-DodomaWAKANDARASI wanaotekeleza mradi wa umeme pembezoni mwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Umeme wa gesi kuanza mwezi ujao

Watanzania waliokuwa wakisubiri kwa hamu kuanza kutumia umeme utokanao na mradi wa gesi asilia wa Kinyerezi, sasa watahitajika kuvuta subira kidogo kutokana na uzalishaji wa nishati hiyo kusogezwa hadi katikati ya mwezi ujao.

 

10 years ago

Mwananchi

Umeme wa gesi sasa kuanza mwezi ujao

Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene amesema umeme wa gesi utaanza kutumika mwezi ujao baada ya ujenzi wa bomba la kupitisha gesi hiyo kukamilika kwa asilimia 100.

 

9 years ago

Habarileo

Ujenzi Reli ya Kati kuanza mwezi huu

WAZIRI wa Uchukuzi, Samuel Sitta amesema mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Edward Lowassa anasahau haraka na kuanza kunadi miradi ambayo imeshaanza kujengwa na Rais Jakaya Kikwete kupitia Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani