Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ujenzi Reli ya Kati kuanza mwezi huu

WAZIRI wa Uchukuzi, Samuel Sitta amesema mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Edward Lowassa anasahau haraka na kuanza kunadi miradi ambayo imeshaanza kujengwa na Rais Jakaya Kikwete kupitia Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

RELI YA KATI KUANZA KARABATIWA HIVI KARIBUNI

 Waziri wa Uchukuzi Samwel Sitta akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya kuchukua hatua kubwa kuanza  kufufua reli ya kati muda wowote, ujenzi wa reli hiyo utaanza ili kuongeza kasi ya maendeleo  hapa nchini leo Jiji Dar es Salaam.Waandishi wa habari walio hudhulia  katika mkutano na Waziri wa Uchukuzi Samwel Sitta, wakimsikiliza kwa makini. (Picha na Emmanuel Mssaka.
Na JenikisaNdile –Maelezo

SERIKALI  kwa kushirikiana na kampuni ya reli Asset holding imejizatiti kuimarisha...

 

10 years ago

Mwananchi

Ujenzi Reli ya Kati utatukomboa kiuchumi

Kama kuna mradi hapa nchini ambao umezungumzwa kwa muda mrefu pasipo kutekelezwa, basi mradi huo ni ujenzi wa Reli ya Kati. Kwa zaidi ya miongo miwili sasa, viongozi wamekuwa wakitoa ahadi za ujenzi wa reli hiyo na kutoa matumaini kwa wananchi kwamba kero ya usafiri wa abiria na mizigo katika reli hiyo itamalizika muda siyo mrefu

 

11 years ago

Habarileo

Ujenzi reli ya kati wapigwa jeki

BODI ya Wakurugenzi ya Benki ya Dunia imeidhinisha msaada wa dola za Marekani milioni 300 kutoka Taasisi ya Kimataifa ya Maendeleo (IDA) kwa ajili ya kuongeza nguvu jitihada za Serikali katika mradi wa ujenzi wa miundombinu ya kisasa ya reli.

 

9 years ago

Mwananchi

Ahadi ya JPM ya ujenzi wa reli kuanza

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameanza ziara mkoani Kigoma huku akiahidi kuanza ujenzi wa reli mpya ya kisasa ya viwango vya ‘standard gauge’, itakayosaidia kuimarisha biashara ya kusafirisha mizigo kutoka Dar es Salaam kwenda nchi za Burundi na Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC), kupitia Bandari ya Kigoma.

 

11 years ago

Mwananchi

Simulizi za ujenzi Reli ya Kati zifike tamati

Kama kuna mradi hapa nchini ambao umezungumzwa kwa muda mrefu sana pasipo kutekelezwa, basi mradi huo ni ujenzi wa Reli ya Kati.

 

9 years ago

Michuzi

Fastjet kuzindua safari kati ya Tanzania na Kenya mwezi huu


Shirika la ndege la bei nafuu lapanua wigo wa safari zake barani Afrika na kufungua safari ya kimataifa ya moja kwa moja kutoka Nairobi kwenda Dar es Salaam na Kilimanjaro.
 Kampuni ya Fastjet imetangaza safari yake mpya ya kimataifa ya kutoka Dar es Salaam kwenda Nairobi, Kenya kuwa itaanza rasmi mnamo tarehe 11 Januari 2016.Fastjet imepewa ruhusa na serikali ya Kenya kufanya safari zake nchini humo kufuatia makubaliano ya pamoja na mashirika yanayotoa huduma za usafiri wa anga kati ya nchi...

 

9 years ago

Michuzi

Programu ya kitaifa ya kupanda miti kuanza mwezi huu

Programu ya kitaifa ya kupanda na kutunza mazingira inaanza mwezi huu, Waziri wa Maliasili na Utalii,Profesa Jumanne Maghembe, ametangaza Jijini Dar es Salaam jana.  Akizungumza katika kikao cha pamoja na Waziri katika Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Mungano, Bw. January Makamba, Waziri Maghembe alieleza kuwa Tanzania imetenga maeneo makubwa ya hifadhi ya misitu na mazingira ili kuhifadhi na kuongeza kuwango cha maji nchini.  Profesa Maghembe ambaye katika serikali iliyopita alikuwa...

 

10 years ago

GPL

SHINDANO LA KUIGIZA LA TMT KUANZA TAREHE 25 MWEZI HUU

Wadhamini pamoja na wahusika wa shindano hilo wakisikiliza kwa makini maswali kutoka kwa waandishi (hawako pichani). Msemaji mkuu wa shindano hilo, Happiness Ntanga akiongea jambo kuhusiana na shindano hilo. Mwakilishi kutoka Kampuni ya Global Publishers, Andrew Carlos akiongelea shindano hilo.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani