Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Programu ya kitaifa ya kupanda miti kuanza mwezi huu

Programu ya kitaifa ya kupanda na kutunza mazingira inaanza mwezi huu, Waziri wa Maliasili na Utalii,Profesa Jumanne Maghembe, ametangaza Jijini Dar es Salaam jana.  Akizungumza katika kikao cha pamoja na Waziri katika Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Mungano, Bw. January Makamba, Waziri Maghembe alieleza kuwa Tanzania imetenga maeneo makubwa ya hifadhi ya misitu na mazingira ili kuhifadhi na kuongeza kuwango cha maji nchini.  Profesa Maghembe ambaye katika serikali iliyopita alikuwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MKOA WA KAGERA WAADHIMISHA SIKU YA KUPANDA MITI KITAIFA WILAYANI ‘MISSENYI MISITU NI MALI PANDA MITI'

Aprili Mosi kila mwaka huwa ni siku ya kupanda miti kitaifa na mwaka huu 2015 mkoa wa Kagera ulipewa heshima ya kuadhimisha siku hiyo ambapo iliadhimishwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi na kushirikisha wadau mbalimbali pamoja na wananchi wanaojihusisha na kupanda miti na kutunza misitu.
Maadhimisho hayo yaliyoongozwa na mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu Celestine Gesimba kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii ambapo maadhimisho hayo yalianzia katika Kijiji cha Bugolola eneo la...

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM AONGOZA UPANDAJI MITI MABWEPANDE KATIKA MAADHIMISHO YA WIKI YA KUPANDA MITI

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki akipanda mti kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Mji Mpya iliyopo Mabwepande nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam kwenye kilelele cha maadhimisho ya upandaji miti yaliyofanyika kimkoa wilayani Kinondoni leo. Wa tatu kulia anayeshuhudia upandaji miti huo ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda. Meya wa Manispaa ya Kinondoni Yusuf Mwenda akipanda mti katika maadhimisho hayo. Mratibu wa mazingira kutoka Taasisi ya EBPA, Charles Lugenga (kushoto),...

 

10 years ago

Habarileo

Ujenzi Reli ya Kati kuanza mwezi huu

WAZIRI wa Uchukuzi, Samuel Sitta amesema mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Edward Lowassa anasahau haraka na kuanza kunadi miradi ambayo imeshaanza kujengwa na Rais Jakaya Kikwete kupitia Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

 

10 years ago

GPL

SHINDANO LA KUIGIZA LA TMT KUANZA TAREHE 25 MWEZI HUU

Wadhamini pamoja na wahusika wa shindano hilo wakisikiliza kwa makini maswali kutoka kwa waandishi (hawako pichani). Msemaji mkuu wa shindano hilo, Happiness Ntanga akiongea jambo kuhusiana na shindano hilo. Mwakilishi kutoka Kampuni ya Global Publishers, Andrew Carlos akiongelea shindano hilo.…

 

5 years ago

Michuzi

GGM KUANZA KUTUMIA UMEME WA GRIDI YA TAIFA MWEZI JUNI MWAKA HUU

Waziri wa Nishati, Dkt. Medrad Kalemani, ( katikati) akitoa maelekezo kwa wakandarasi wanaotekeleza ujenzi wa kituo cha kupoza na kusambaza umeme cha Mponvu mkoani Geita baada ya kuridhishwa na kasi ya ujenzi wa kituo hicho alipofanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa kituo hicho.
Muonekano wa sehemu ya mitambo ya katika kituo cha kupoza na kusambaza umeme cha Mponvu kinachotarajiwa kukamilika mwishoni mwa Mwezi Mei, 2020.
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani (katikati) akikagua...

 

11 years ago

Michuzi

Mwanamuziki Jhikoman & Afrikabisa band kuanza Europe Tour mwezi huu

Mwanamuziki mwashuhuri wa  Reggae Afrika mashariki Jhikoman kutoka  Bagamoyo Tanzania,anatarajiwa kuondoka nchini katikati ya mwezi huu April 2014 kuanza ziara ya miezi mitatu barani ulaya,ambapo atatumbuiza katika maonyesho makubwa ya kimataifa huko ughaibuni. Baadhi ya festival zitakazo funikwa na mwanamuziki huyo ni Helsink Film Festival kule Finland, na Norway na imebainika kuwa Jhikoman pia atashea uwanza moja wa gwaride na wazee wa kazi FFU Ughaibuni aka "watoto wa mbwa" Ngoma...

 

5 years ago

Michuzi

TFS YAADHIMISHA SIKU YA UPANDAJI MITI KITAIFA KWA KUGAWA BURE MICHE YA MITI KWA WAKAZI WA DAR

Na Said Mwishehe, Michuzi TV
KATIKA kuepuka mikusanyiko kama sehemu ya kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa COVID-19(Corona) , Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS)umeamua kuadhimisha kilele cha siku ya upandaji miti kitaifa kwa kugawa miche ya miti kwa wananchi.
TFS imegawa miche hiyo ya miti ya aina mbalimbali leo Aprili 1, mwaka 2020 jijini Dar es Salaam huku ikitoa rai kwa wananchi wa Dar es Salaam,Tanga na Pwani kutumia kipindi hiki cha mvua za masika kupanda miti kwa...

 

11 years ago

Dewji Blog

FURSA: Mafunzo ya kupiga ala za muziki kuanza tena mwezi Mei mwaka huu

Untitled

Baadhi ya wanafunzi wakiwa kwenye mazoezi.

Action Music Tanzania (AMTz) inatangaza fursa kwa watu wote kujiunga na mafunzo ya kupiga ala za muziki yanayoanza tarehe 3/5/2014, lengo likiwa ni kuwajengea uwezo wanamuziki wa kupiga ala na kufanya maonesho kwa weledi na utaalamu zaidi.

Untitled 1

Baadhi ya wanafunzi wakiwa darasani.

Mafunzo yanayotolewa ni pamoja na upigaji wa ala za muziki zikiwemo gita, kinanda, tarumbeta, saxophone, konga, drum set, na upigaji wa ngoma za asili. Pia yatatolewa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani