Ahadi ya JPM ya ujenzi wa reli kuanza
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameanza ziara mkoani Kigoma huku akiahidi kuanza ujenzi wa reli mpya ya kisasa ya viwango vya ‘standard gauge’, itakayosaidia kuimarisha biashara ya kusafirisha mizigo kutoka Dar es Salaam kwenda nchi za Burundi na Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC), kupitia Bandari ya Kigoma.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo01 Sep
Ujenzi Reli ya Kati kuanza mwezi huu
WAZIRI wa Uchukuzi, Samuel Sitta amesema mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Edward Lowassa anasahau haraka na kuanza kunadi miradi ambayo imeshaanza kujengwa na Rais Jakaya Kikwete kupitia Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
9 years ago
MichuziRELI YA KATI KUANZA KARABATIWA HIVI KARIBUNI
Na JenikisaNdile –MaelezoSERIKALI kwa kushirikiana na kampuni ya reli Asset holding imejizatiti kuimarisha...
11 years ago
Habarileo29 Apr
Ujenzi reli ya kati wapigwa jeki
BODI ya Wakurugenzi ya Benki ya Dunia imeidhinisha msaada wa dola za Marekani milioni 300 kutoka Taasisi ya Kimataifa ya Maendeleo (IDA) kwa ajili ya kuongeza nguvu jitihada za Serikali katika mradi wa ujenzi wa miundombinu ya kisasa ya reli.
10 years ago
Mwananchi31 Mar
Ujenzi Reli ya Kati utatukomboa kiuchumi
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-waMUcq5bzCQ/Voa56-WmsLI/AAAAAAAIP0Q/PL0YKuXaoXc/s72-c/CWGIW8YWsAEaGmQ.jpg)
JPM awakuna wananchi wenye ulemavu, wamshukuru kwa kutimiza ahadi ya kuwakumbuka katika uongozi wake
5 years ago
MichuziRAIS JPM ATEKELEZA AHADI YA KUJENGA DARAJA LA MTO SIBITI MKOANI SINGIDA ALILOAHIDI MWAKA 2015
Na Jumbe Ismailly- MKALAMA
WANANCHI wa Kata ya Msingi,pamoja na vijiji vinavyozunguka kata hiyo wilayani Mkalama,Mkoani Singida wataondokana na adha ya kutokwenda kwenye huduma za afya,elimu pamoja na kusafiri kwenda kwenye masoko ya mazao wanayozalisha mara baada ya kukamilika kwa ujenzi wa daraja la mto Msingi.
Ujenzi wa daraja hilo ulioanza kujengwa juni,11,mwaka jana kwa mkataba wa miezi 24 ni utekelezaji wa ahadi aliyotoa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.John Pombe Magufuli...
10 years ago
Habarileo30 Mar
Ujenzi wa reli kutoa ajira 300,000
WAZIRI wa Uchukuzi, Samuel Sitta amesema Sh trilioni 14 zinatarajiwa kujenga reli mpya yenye urefu wa kilometa 2,561 ambayo itakuwa na kiwango cha ‘standardgauge’, mradi ambao utakuwa ni mkubwa kutekelezwa na Serikali tangu ilipopata Uhuru.
10 years ago
BBCSwahili28 Feb
Ujenzi wa reli mpya wazua utata Kenya
11 years ago
Mwananchi16 Jul
Simulizi za ujenzi Reli ya Kati zifike tamati