RAIS JPM ATEKELEZA AHADI YA KUJENGA DARAJA LA MTO SIBITI MKOANI SINGIDA ALILOAHIDI MWAKA 2015
Na Jumbe Ismailly- MKALAMA
WANANCHI wa Kata ya Msingi,pamoja na vijiji vinavyozunguka kata hiyo wilayani Mkalama,Mkoani Singida wataondokana na adha ya kutokwenda kwenye huduma za afya,elimu pamoja na kusafiri kwenda kwenye masoko ya mazao wanayozalisha mara baada ya kukamilika kwa ujenzi wa daraja la mto Msingi.
Ujenzi wa daraja hilo ulioanza kujengwa juni,11,mwaka jana kwa mkataba wa miezi 24 ni utekelezaji wa ahadi aliyotoa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.John Pombe Magufuli...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog26 May
Kinana akagua Ujenzi Daraja la Sibiti linalounganisha Singida na Simiyu na kuhutubia mamia ya Wananchi katika Mikutano ya hadhara Iramba
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akitoa orodha ya vijiji vitakavyopata huduma ya umeme katika wilaya ya Mkalama, alipohutubia mkutano wa hadharakwenye kijiji cha Nkungi, Wilaya humo, Mei 24, 2014, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi na kujadsiliana nao njia za kuzitatua katika wilaya ya Iramba mkoani Singida.
Mkuu wa mkoa wa Singida Dk. Parseko Kone (aliyenyoosha mkono) akitoa maelezo kwa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana...
10 years ago
MichuziFILIKUNJOME ATIMIZA AHADI YA UJENZI WA DARAJA MTO KITEWAKA JIMBONI KWAKE
BOFYA HAPA KUONA PICHA...
9 years ago
VijimamboRAIS KIKWETE AZINDUA RASMI DARAJA LA KIKWETE JUU YA MTO MALAGARASI MKOANI KIGOMA
9 years ago
MichuziJK azindua rasmi daraja la Kikwete juu ya Mto Malagarasi mkoani Kigoma
9 years ago
MichuziMAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI MWAKA 2015 KUFANYIKA KITAIFA DESEMBA MOSI MKOANI SINGIDA
Mwenyekiti Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS), Dk.Fatma Mrisho (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani mwaka 2015 yatakayofanyika kitaifa Desemba Mosi mkoani Singida. Kulia ni Mkurugenzi wa Habari na Uraghibishi.
Na Dotto Mwaibale
MAAMBUKIZI ya virusi vya Ukimwi nchini yameongezeka kwenye kundi la vijana wenye umri wa miaka kati ya 19 mpaka 24 tofauti na ilivyokuwa miaka minne...
9 years ago
Dewji Blog05 Nov
Familia Mkoani Singida yamtabiria mtoto wao kuwa Rais mwaka 2050!
Mzee Nassoro Salum, akiwa mitaani jana na mtoto wake Yusuph ambaye amedai anamjengea mazingira mazuri kuja kuwa Rais wa Tanzania ifikapo mwaka 2050.
Na Nathaniel Limu, Singida
WAKATI Watanzania na dunia nzima leo imeshuhudia kuapishwa kwa Rais wa tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.John Pombe Magufuli, familia moja mkoani Singida, imeanzisha rasmi safari ya kumwandaa mtoto wao wa kiume mwenye umri wa mwaka moja na miezi nane, kuja kuwa Rais wa Tanzania mwaka 2050.
Mtoto huyo...
11 years ago
Tanzania Daima12 May
Diwani Nanyaro atekeleza ahadi ya mlo shuleni
DIWANI wa Levelosi, jijini Arusha, Ephata Nanyaro, (CHADEMA), ametoa msaada wa unga wa mahindi na sukari vyenye thamani ya zaidi ya sh 750,000 kwenye Shule ya Msingi Levelosi ili kuwawezesha...
10 years ago
Dewji Blog06 Jul
Meya Jerry Slaa atekeleza ahadi alizozitoa jimbo la Ukonga
Diwani wa kata ya Gongo la Mboto na Meya wa Manispaa ya Ilala,Jerry Slaa akiwasili mkutanoni kwa ajili ya kuwahutubia wananchi katika uwanja wa shule ya msingi kitunda mwishoni mwa wiki ambapo alieleza mafanikio yaliyopatikana wakati wa kipindi chake cha uongozi na kukamilisha ahadi mbalimbali alizokuwa amezitoa.
Baadhi ya madiwani na viongozi wa CCM kata ya Ukonga wakiwa katika picha ya pamoja na Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Slaa muda mfupi baadaya kuhutubia mkuatano wa hadhara...
5 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS AKABIDHI AHADI YA MABATI ZAHANATI YA MPUGUZI SINGIDA