Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FILIKUNJOME ATIMIZA AHADI YA UJENZI WA DARAJA MTO KITEWAKA JIMBONI KWAKE

 Mbunge  wa  jimbo la  Ludewa  Deo Filikunjombe wa pili   kushoto na viongozi wa Halmashauri  wakikabidhiana daraja la mto Kitewaka kwa  ajili ya  kujengwa kisasa baada ya  serikali  kukabidhi fedha za ujenzi huo Tsh miloni 240 Mbunge  Filikunjombe akilitazama daraja la mbao la mto Kitewaka ambalo litajengwa  kisasa.  Viongozi wa kanisa la Anglikana na wa CCM Ludewa  wakiongozana na mbunge Filikunjombe  mwenye kofia.
BOFYA HAPA KUONA PICHA...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MBUNGE FILIKUNJOME ATIMIZA PIA AHADI YA UJENZI WA DARAJA MTO KITEWAKA KWA TSH MILIONI 248, ASAIDIA VIFAA VYA UJENZI KWA TSH MILIONI 248

 Mbunge  Filikunjombe akilitazama daraja la mbao la mto Kitewaka ambalo litajengwa  kisasa 
 Wannchi  wa  kijiji  cha Maholong'wa  wakimpongeza  mbunge  Filikunjombe kwa kutimiza ahadi yake…

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali kutekeleza ahadi za Mgimwa jimboni kwake

Wakati Rais Jakaya Kikwete jana akiongoza mamia ya wakazi wa Mkoa wa Iringa na mikoa ya jirani kwenye mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dk William Mgimwa, Waziri Mkuu Mizengo Pinda ameahidi kuwa Serikali itatekeleza ahadi alizotoa jimboni kwake.

 

5 years ago

Michuzi

RAIS JPM ATEKELEZA AHADI YA KUJENGA DARAJA LA MTO SIBITI MKOANI SINGIDA ALILOAHIDI MWAKA 2015


Na Jumbe Ismailly- MKALAMA

WANANCHI wa Kata ya Msingi,pamoja na vijiji vinavyozunguka kata hiyo wilayani Mkalama,Mkoani Singida wataondokana na adha ya kutokwenda kwenye huduma za afya,elimu pamoja na kusafiri kwenda kwenye masoko ya mazao wanayozalisha mara baada ya kukamilika kwa ujenzi wa daraja la mto Msingi.

Ujenzi wa daraja hilo ulioanza kujengwa juni,11,mwaka jana kwa mkataba wa miezi 24 ni utekelezaji wa ahadi aliyotoa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.John Pombe Magufuli...

 

10 years ago

Michuzi

UJENZI WA DARAJA LA MTO KILOMBERO WAENDELEA KWA KASI

 Mafundi na wahandisi ujenzi wakiendelea na kazi ya kusuka nguzo kuu katika daraja la mto Kilombero kama walivyokutwa eneo la Kivukoni, mjini Ifakara. Daraja hilo linajengwa na mkandarasi M/S China Railway 15 Group Corparation ya China na lina lenye  urefu wa mita 384  ambapo gharama yake ni Sh bilioni 56 ikiwa na kuweka lami  ya kilometa 9.142 fedha  zilizotolewa na Serikali ya Tanzania  Picha na John Nditi

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YATATUA MGORORO ULIODUMU KWA MIAKA MINNE KATI YA WALIOKUWA WAFANYAKAZI WA UJENZI WA DARAJA LA MTO KILOMBERO PAMOJA NA MKANDARASI


Na Mwandishi Wetu
SERIKALI imetatua mgogoro wa wafanyakazi waliokuwa wanafanya kazi ya ujenzi katika daraja la Mto Kilombero kwenye kampuni ya kikandarasi ya China Railway 15 Group uliodumu kwa zaidi ya miaka minne na kuhakikisha haki inatendeka kwa kila mfanyakazi.
Mgogoro huo uliosimamiwa kikamilifu na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Arch. Elius Mwakalinga, pamoja na wataalamu kutoka sekta hiyo kwa muda wa siku tatu.
Mwakalinga, ameagiza uongozi wa kampuni hiyo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Diamond atimiza ahadi

HATIMAYE mkali wa muziki wa kizazi kipya nchini, Nassib Abdul ‘Diamond Platinum’ ametimiza ahadi ya kuwasomesha watoto ambao walishinda shindano la kucheza mtindo wake wa ‘Ngololo’ katika sherehe alizoziandaa maalumu...

 

11 years ago

Dewji Blog

JK atimiza ahadi kwa wasanii nchini

Terrence_J1_page-bg_18448

Terrence J. (Jenkins).

Ahadi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete kwa wasanii wa Tanzania kuwa atachangia kuinua kiwango cha ujuzi na weledi wao kwa kuwaandalia mafunzo yatayoendeshwa na magwiji wa sanaa kutoka Marekani sasa imetimia.

Akizindua Kampeni ya Uzalendo kwa Vijana inayoendeshwa na Muungano wa Wasanii Tanzania kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma mwezi uliopita, Juni 14, 2014, Rais Kikwete aliahidi kuchangia kuinua kiwango cha usanii na...

 

11 years ago

Mwananchi

KERO YA MAJI: JK atimiza ahadi Masasi, Nachingwea

>Rais Jakaya Kikwete amezindua mradi wa maji wa Mbwinji unaotoa huduma kwa wakazi wilayani hapa na Nachingwea mkoani Lindi na kulifanya tatizo hilo sugu la ukosefu wa maji lililokuwa linawakabili wakazi wa wilaya hizo kuwa historia.

 

9 years ago

Michuzi

MBUNGE WA MLALO ATIMIZA AHADI YAKE KWA WANAMLALO

 Katika utekelezaji wa ahadi zake Mbunge wa jimbo la Mlalo Rashid Shangazi amekabidhi mabati 40 ya geji 28 kwa wanajimbo la Mlalo  kwaajili ya  kwa ajili ya jengo la Maabara shule ya Sekondari Mtae pamoja na Mifuko 10 ya sementi kwaajili ya kwa ajili ya ukarabati msikiti mkuu wa makose. Alikabidhi vitu hivyo mwishoni mwa wiki mkoani Tanga.Wana Mlalo wakishusha Mifuko ya Sementi 10  kwa ajili ya ukarabati msikiti mkuu wa makose, kutoka kwenye gari pamoja na Mabati 40 kwa shule ya Mtae wishoni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani