MBUNGE WA MLALO ATIMIZA AHADI YAKE KWA WANAMLALO
![](http://3.bp.blogspot.com/-muxvh66Y_Bw/VngJSs5Z0NI/AAAAAAAINsg/tpj-NUgAPTE/s72-c/IMG-20151218-WA0062.jpg)
Katika utekelezaji wa ahadi zake Mbunge wa jimbo la Mlalo Rashid Shangazi amekabidhi mabati 40 ya geji 28 kwa wanajimbo la Mlalo kwaajili ya kwa ajili ya jengo la Maabara shule ya Sekondari Mtae pamoja na Mifuko 10 ya sementi kwaajili ya kwa ajili ya ukarabati msikiti mkuu wa makose. Alikabidhi vitu hivyo mwishoni mwa wiki mkoani Tanga.
Wana Mlalo wakishusha Mifuko ya Sementi 10 kwa ajili ya ukarabati msikiti mkuu wa makose, kutoka kwenye gari pamoja na Mabati 40 kwa shule ya Mtae wishoni...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Z0zZcxM0Izc/Xs-zBlKVDKI/AAAAAAALr3E/TX-IGBEEAEUCUCMDSHcwpTmmTyWMHPdqQCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
RAIS ATIMIZA AHADI YAKE KWA MAAFISA TARAFA MKOA WA SHINYANGA
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Bi. Zainab Telack amekabidhi Pikipiki 14 kwa Maafisa Tarafa wa Mkoa wa Shinyanga kwa lengo la kurahisisha utendaji kazi wao na kuonya kuwa hatarajii kuona pikipiki hizo zikitumika nje ya shughuli za Serikali.
Kiongozi huyo wa Mkoa wa Shinyanga amekabidhi pikipiki hizo kwa niaba ya Rais John Pombe Magufuli na kuwataka maafisa tarafa hao kuhakikisha pikipiki hizo zinatunzwa vizuri ili wengine waweze kuzitumia na kuwaonya watendaji hao kutotumia...
10 years ago
Dewji Blog11 Feb
Pinda atimiza ahadi yake kwa kukabidhi mizinga 600 Singida
Afisa mwanadamizi wa mamlaka ya misitu kanda ya kati, Joyce akizungumza kwenye sherehe ya kukabidhi mizinga 600 iliyotolewa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda aliyoahidi mwaka 2013.
Katibu Tawala mkoa wa Singida, Liana Hassan, akizungumza kwenye sherehe ya kukabidhi Mizinga 600 iliyotolewa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda aliyoahidi mwaka 2013. Aliyeketi ni Naibu Waziri wa Maliasili na Utallii, Mahamoud Mgimwa.
Naibu Waziri wa Mali asili na utalii, Mahamoud Mgimwa (kulia) akimkabidhi mbunge wa...
5 years ago
MichuziRC Wangabo atimiza ahadi yake ya kutoa magongo ya kutembelea kwa mlemavu
Mh. Wangabo amesema kuwa katika kongamano hilo lilihudhuriwa na walemavu zaidi ya 700 na kusema kuwa bado kuna wengine ambao wanahitaji...
11 years ago
MichuziMH: NAMELOK SOKOINE ATIMIZA AHADI YAKE KWA KIKUNDI CHA VIKOBA- ARUSHA
![](http://2.bp.blogspot.com/-GFOOwvovJLA/U8KalQrs01I/AAAAAAABDAI/8_trhJoUHkQ/s1600/3.jpg)
5 years ago
CCM BlogRAIS MAGUFULI ATIMIZA AHADI YAKE KWA MAAFISA TARAFA MKOA WA MWANZA
Mongella amekabidhi pikipiki hizo kwa niaba ya Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ikiwa ni utekelezaji wa ahadi yake (ahadi ya Rais Dkt. Magufuli) ya kutoa pikipiki kwa Maafisa Tarafa wote Tanzania aliyoitoa alipokutana na viongozi hao Juni 04, 2019 Ikulu...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-6Bro0FzpZTo/VNRvbVs_lYI/AAAAAAAHCK4/eEIkI2JXE-w/s72-c/unnamed%2B(49).jpg)
BALOZI SEIF IDD ATIMIZA AHADI YAKE KWA CCM MKOA WA SINGIDA
![](http://3.bp.blogspot.com/-6Bro0FzpZTo/VNRvbVs_lYI/AAAAAAAHCK4/eEIkI2JXE-w/s1600/unnamed%2B(49).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-eu94W6pfQVI/VNRvbvmpvjI/AAAAAAAHCK8/1smLFKIgqEY/s1600/unnamed%2B(50).jpg)
9 years ago
MichuziMBUNGE WA JIMBO LA FUONI ZANZIBAR ATIMIZA AHADI ZAKE KWA KITUO CHA AFYA FUONI.
9 years ago
MichuziMbunge wa Jimbo la Fuoni Zanzibar Mhe Abaas Mwinyi Atimiza Ahadi Zake kwa Kituo cha Afya Fuoni kwa Kukabidhi Dawa na Masinki ya Vyoo kwa Kituo Hicho.
5 years ago
MichuziRais Magufuli atimiza ahadi yake Maafisa Tarafa Mwanza wakabidhiwa Usafiri
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (kulia) akikabidhi ufunguo wa pikipiki kwa Mwenyekiti wa Maafisa Tarafa Mkoa Mwanza, Peter Michael (kushoto) kama ishara ya kukabidhi pikipiki 24 kwa Maafisa Tarafa wa Tarafa zote 24 za Mkoa Mwanza.
Mongella amekabidhi pikipiki hizo kwa niaba ya Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ikiwa ni utekelezaji wa ahadi yake (ahadi ya Rais Dkt. Magufuli) ya kutoa pikipiki kwa Maafisa Tarafa wote Tanzania aliyoitoa alipokutana na viongozi hao Juni 04, 2019 Ikulu...