MH: NAMELOK SOKOINE ATIMIZA AHADI YAKE KWA KIKUNDI CHA VIKOBA- ARUSHA
Mbunge wa viti maalum CCM mkoa wa Arusha, Namelok Sokoine (kushoto), akikabidhi Shs. milioni 5 kwa Mwenyekiti wa Vikoba Kata ya Engutoto, Bilhuda Kisasa, ikiwa ni sehemu ya mchango wake wa shs. milioni 10 alizoahidi kuwasaidia akinamama wa kata hiyo. (Na Mpiga Picha Wetu)
Mbunge wa viti maalum CCM mkoa wa Arusha, Namelok Sokoine (kulia), akizindua katiba ya vikundi vya vikoba katika kata ya Engutoto Wilayani Monduli jana. Hafla hiyo ilikwenda sambamba na harambee ya kutunisha mfuko wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi
MBUNGE WA MLALO ATIMIZA AHADI YAKE KWA WANAMLALO



5 years ago
MichuziRC Wangabo atimiza ahadi yake ya kutoa magongo ya kutembelea kwa mlemavu
Mh. Wangabo amesema kuwa katika kongamano hilo lilihudhuriwa na walemavu zaidi ya 700 na kusema kuwa bado kuna wengine ambao wanahitaji...
5 years ago
Michuzi
RAIS ATIMIZA AHADI YAKE KWA MAAFISA TARAFA MKOA WA SHINYANGA
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Bi. Zainab Telack amekabidhi Pikipiki 14 kwa Maafisa Tarafa wa Mkoa wa Shinyanga kwa lengo la kurahisisha utendaji kazi wao na kuonya kuwa hatarajii kuona pikipiki hizo zikitumika nje ya shughuli za Serikali.
Kiongozi huyo wa Mkoa wa Shinyanga amekabidhi pikipiki hizo kwa niaba ya Rais John Pombe Magufuli na kuwataka maafisa tarafa hao kuhakikisha pikipiki hizo zinatunzwa vizuri ili wengine waweze kuzitumia na kuwaonya watendaji hao kutotumia...
10 years ago
Dewji Blog11 Feb
Pinda atimiza ahadi yake kwa kukabidhi mizinga 600 Singida
Afisa mwanadamizi wa mamlaka ya misitu kanda ya kati, Joyce akizungumza kwenye sherehe ya kukabidhi mizinga 600 iliyotolewa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda aliyoahidi mwaka 2013.
Katibu Tawala mkoa wa Singida, Liana Hassan, akizungumza kwenye sherehe ya kukabidhi Mizinga 600 iliyotolewa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda aliyoahidi mwaka 2013. Aliyeketi ni Naibu Waziri wa Maliasili na Utallii, Mahamoud Mgimwa.
Naibu Waziri wa Mali asili na utalii, Mahamoud Mgimwa (kulia) akimkabidhi mbunge wa...
5 years ago
CCM BlogRAIS MAGUFULI ATIMIZA AHADI YAKE KWA MAAFISA TARAFA MKOA WA MWANZA
Mongella amekabidhi pikipiki hizo kwa niaba ya Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ikiwa ni utekelezaji wa ahadi yake (ahadi ya Rais Dkt. Magufuli) ya kutoa pikipiki kwa Maafisa Tarafa wote Tanzania aliyoitoa alipokutana na viongozi hao Juni 04, 2019 Ikulu...
10 years ago
Michuzi.jpg)
BALOZI SEIF IDD ATIMIZA AHADI YAKE KWA CCM MKOA WA SINGIDA
.jpg)
.jpg)
9 years ago
Michuzi
MKUU WA KITENGO CHA MIPANGO OFISI YA MKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI,NKILIJIWANDO ATIMIZA AHADI YAKE KATIKA SHULE YA SEKONDARI YA MISITU JIJINI DAR.
MKUU wa kitengo cha mipango katika Ofisi ya Ukaguzi Mkuu wa hesabu za Serikali, Malima Nkilijiwando ambae pia ni mdau wa elimu ametimiza ahadi yake ya kuinunulia Shule ya Sekondari ya Misitu iliyopo kata ya Kivule- Ukonga jijini Dar es Salaam Kompyuta na mashine ya kutolea kopi pamoja na kuchapisha.
Ahadi hiyo ameitimiza leo katika shule hiyo ikiwa aliahidi kipindi walipofanya mahafali ya kidato cha nne katika shule hiyo.
Mkuu wa shule ya Sekondari ya Misitu, Pantaleo Maghari...
5 years ago
MichuziRais Magufuli atimiza ahadi yake Maafisa Tarafa Mwanza wakabidhiwa Usafiri
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (kulia) akikabidhi ufunguo wa pikipiki kwa Mwenyekiti wa Maafisa Tarafa Mkoa Mwanza, Peter Michael (kushoto) kama ishara ya kukabidhi pikipiki 24 kwa Maafisa Tarafa wa Tarafa zote 24 za Mkoa Mwanza.
Mongella amekabidhi pikipiki hizo kwa niaba ya Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ikiwa ni utekelezaji wa ahadi yake (ahadi ya Rais Dkt. Magufuli) ya kutoa pikipiki kwa Maafisa Tarafa wote Tanzania aliyoitoa alipokutana na viongozi hao Juni 04, 2019 Ikulu...