Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Diwani Nanyaro atekeleza ahadi ya mlo shuleni

DIWANI wa Levelosi, jijini Arusha, Ephata Nanyaro, (CHADEMA), ametoa msaada wa unga wa mahindi na sukari vyenye thamani ya zaidi ya sh 750,000 kwenye Shule ya Msingi Levelosi ili kuwawezesha...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Meya Jerry Slaa atekeleza ahadi alizozitoa jimbo la Ukonga

03

Diwani wa  kata ya  Gongo la Mboto na Meya wa Manispaa ya Ilala,Jerry Slaa akiwasili mkutanoni kwa ajili ya kuwahutubia wananchi katika uwanja wa shule ya msingi kitunda mwishoni mwa wiki ambapo alieleza mafanikio yaliyopatikana wakati wa kipindi chake cha uongozi na kukamilisha ahadi mbalimbali alizokuwa amezitoa.

p10

Baadhi ya madiwani na viongozi wa CCM kata ya Ukonga wakiwa katika picha ya pamoja na Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Slaa muda mfupi baadaya kuhutubia mkuatano wa hadhara...

 

10 years ago

GPL

MEYA JERRY SLAA ATEKELEZA AHADI ZKE, ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA UKONGA

Diwani wa  kata ya  Gongo la Mboto na Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Slaa akihutubia wananchi katika Uwanja wa Shule ya Msingi Kitunda mwishoni mwa wiki ambapo alieleza mafanikio yaliyopatikana wakati wa kipindi chake cha uongozi na kukamilisha ahadi mbalimbali alizokuwa amezitoa. Mmoja wa wawakilishi wa kikundi cha akina mama akipokea fedha kwa niaba ya wenzake  kutoka kwa Meya wa Manispaa ya...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS JPM ATEKELEZA AHADI YA KUJENGA DARAJA LA MTO SIBITI MKOANI SINGIDA ALILOAHIDI MWAKA 2015


Na Jumbe Ismailly- MKALAMA

WANANCHI wa Kata ya Msingi,pamoja na vijiji vinavyozunguka kata hiyo wilayani Mkalama,Mkoani Singida wataondokana na adha ya kutokwenda kwenye huduma za afya,elimu pamoja na kusafiri kwenda kwenye masoko ya mazao wanayozalisha mara baada ya kukamilika kwa ujenzi wa daraja la mto Msingi.

Ujenzi wa daraja hilo ulioanza kujengwa juni,11,mwaka jana kwa mkataba wa miezi 24 ni utekelezaji wa ahadi aliyotoa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.John Pombe Magufuli...

 

10 years ago

Habarileo

Diwani akerwa na michango shuleni

DIWANI wa Kata ya Hanga wilayani hapa, Kassim Ntara (CCM), amelalamikia kuwepo kwa michango mingi inayofikia hadi Sh 300,000 badala ya Sh 20,000 wanayotozwa wazazi katika shule za sekondari za Kata.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Diwani asaidia uji shuleni

DIWANI wa Levelosi, Ephata Nanyaro (CHADEMA), ametoa msaada wa unga, mahindi na sukari kwenye Shule ya Msingi Levelosi ili kuwawezesha wanafunzi kupata uji nyakati za mchana baada ya serikali kushindwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mbunge wa jimbo la Morogoro kusini atekeleza ahadi yake ya kuiwezesha CCM wilaya ya Morogoro vijijini

IMG_0168

Mbunge wa Jimbo la Morogoro kusini Mh Innocent Kalogeris (kulia) akikabidhi Pikipiki 11 Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Morogoro Vijijini Mh Jazar ikiwa ni ahadi yake aliyoitoa ya kusaidia chama cha Mapinduzi kujitegemea kiuchumi. Mh Kalogeris amekabidhi pikipiki hizo akiwa na lengo kila kata kuwa na Pikipiki moja uwe mradi wa Chama ili kuwezesha Kila kata Kuendesha Shuguli za Chama Bila kuwa wategemezi .Mbunge Kalogeris amehadi kuhakikisha kata zote za jimbo hilo zinapatiwa Pikipiki.Mh...

 

10 years ago

Michuzi

MBUNGE WA JIMBO MOROGORO KUSINI ATEKELEZA AHADI YAKE YA KUWEZESHA CHAMA CHA MAPINDUZI WILAYA YA MOROGORO VIJIJINI

 Mbunge wa Jimbo la Morogoro kusini Mh Innocent Kalogeris (kulia) Ahimkabidhi Pikipiki 11 Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Morogoro Vijijini Mh Jazar Ikiwa Ni ahadi yake aliyoitoa ya Kukusaidia chama cha Mapinduzi Kujitegemea Kiuchumi.Mh Kalogeris Amekabidhi pikipiki hizo akiwa na Lengo Kila kata Kuwa na Pikipiki MMoja uwe Mradi wa Chama ili kuwezesha Kila kata Kuendesha Shuguli za Chama Bila kuwa wategemezi .Mbunge Kalogeris amehadi kuhakikisha kata zote za jimbo hilo zinapatiwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Nanyaro: Kipaumbele kiwekwe kwenye elimu

Ephata Nanyaro ni miongoni mwa vijana wanaojitanabaisha kuwa wanachama na viongozi waaminifu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani Arusha.

 

9 years ago

Mwananchi

KONA YA MAKENGEZA : Ahadi za nani zitatufikisha kwenye nchi ya ahadi?

Ama kweli, mwaka wa uchaguzi ni mwaka wa uchafuzi. Nimesema mara nyingi kwamba wanasiasa huwa wanajiona miungu kabisa. Wakiona kitu, wanasema, na iwe, ikawa jioni, ikawa asubuhi siku ya kwanza. Ni sawa. Hasa katika mwaka wa uchafuzi. Hawasubiri hadi hata asubuhi, ikawa jioni ikawa usiku mambo yote yatakuwa sawa na mbinguni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani