Ujenzi Reli ya Kati utatukomboa kiuchumi
Kama kuna mradi hapa nchini ambao umezungumzwa kwa muda mrefu pasipo kutekelezwa, basi mradi huo ni ujenzi wa Reli ya Kati. Kwa zaidi ya miongo miwili sasa, viongozi wamekuwa wakitoa ahadi za ujenzi wa reli hiyo na kutoa matumaini kwa wananchi kwamba kero ya usafiri wa abiria na mizigo katika reli hiyo itamalizika muda siyo mrefu
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo29 Apr
Ujenzi reli ya kati wapigwa jeki
BODI ya Wakurugenzi ya Benki ya Dunia imeidhinisha msaada wa dola za Marekani milioni 300 kutoka Taasisi ya Kimataifa ya Maendeleo (IDA) kwa ajili ya kuongeza nguvu jitihada za Serikali katika mradi wa ujenzi wa miundombinu ya kisasa ya reli.
11 years ago
Mwananchi16 Jul
Simulizi za ujenzi Reli ya Kati zifike tamati
9 years ago
Habarileo01 Sep
Ujenzi Reli ya Kati kuanza mwezi huu
WAZIRI wa Uchukuzi, Samuel Sitta amesema mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Edward Lowassa anasahau haraka na kuanza kunadi miradi ambayo imeshaanza kujengwa na Rais Jakaya Kikwete kupitia Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
11 years ago
Habarileo25 Jun
Reli ya kati kuimarishwa
WAZIRI wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe, amesema Reli ya Kati itakuwa imefufuliwa ifikapo mwishoni mwa mwaka huu na kuanza kubeba mizigo itakayookoa barabara.
11 years ago
Habarileo25 Jul
Matumaini Reli ya Kati yaonekana
MATUMAINI ya kuboreshwa kwa Reli ya Kati kwa lengo la kuimarisha usafirishaji wa abiria na mizigo, yanazidi kuonekana baada ya serikali kuingiza mabehewa 25, ambayo ni maalumu kwa usafirishaji wa vifaa vya ukarabati wa njia hiyo.
11 years ago
Mwananchi02 Feb
Wajapani kukarabati Reli ya Kati
11 years ago
Uhuru Newspaper10 Jun
Wasafiri reli ya kati wakwama
NA RABIA BAKARI
MAMIA ya wasafiri waliokuwa wanaelekea mikoa ya kati na treni ya Kampuni ya Reli Tanzania (TRL),wamekwama baada ya safari hizo kuahirishwa ghafla.
Treni hiyo ambayo ilianza safari wiki iliyopita baada ya kusimama kufanya kazi kwa miezi kadhaa, jana iliendelea kuwa kitendawili baada ya kusitisha ghafla safari hizo bila abiria kutangaziwa mapema.
Wiki iliyopita, TRL ilitoa tangazo la kuanza safari za treni ya abiria zilizosimama kutokana na reli kuharibiwa na mafuriko, na...
10 years ago
Mwananchi20 Nov
‘Tumieni reli ya kati kibiashara’
11 years ago
Habarileo12 Jul
Reli ya kati kujengwa upya
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali ina mpango wa kujenga reli mpya ya kutoka Dar es Salaam hadi Mwanza kupitia mikoa ya kati na kuelekea Isaka hadi Burundi ambayo ujenzi wake utazinduliwa rasmi Desemba, mwaka huu.