Reli ya kati kujengwa upya
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali ina mpango wa kujenga reli mpya ya kutoka Dar es Salaam hadi Mwanza kupitia mikoa ya kati na kuelekea Isaka hadi Burundi ambayo ujenzi wake utazinduliwa rasmi Desemba, mwaka huu.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi06 Jan
Soko la Mwanga kujengwa upya
11 years ago
Habarileo22 May
Daraja la Wami kujengwa upya
WIZARA ya Ujenzi imetangaza kujenga daraja jipya la Wami mkoani Pwani, ambalo ni kiungo kikubwa katika usafiri wa barabara kati ya mikoa ya Kaskazini mwa Tanzania na nchi jirani.
11 years ago
Habarileo12 Apr
Makaburi ya Shekhe Yahya, Kassim kujengwa upya
SERIKALI imesema itajenga makaburi ya mashekhe wawili maarufu, yaliyodaiwa kubomolewa na Mgambo wa jiji la Dar es Salaam katika operesheni ya usafi inayoendelea.
11 years ago
Habarileo25 Jun
Reli ya kati kuimarishwa
WAZIRI wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe, amesema Reli ya Kati itakuwa imefufuliwa ifikapo mwishoni mwa mwaka huu na kuanza kubeba mizigo itakayookoa barabara.
11 years ago
Habarileo25 Jul
Matumaini Reli ya Kati yaonekana
MATUMAINI ya kuboreshwa kwa Reli ya Kati kwa lengo la kuimarisha usafirishaji wa abiria na mizigo, yanazidi kuonekana baada ya serikali kuingiza mabehewa 25, ambayo ni maalumu kwa usafirishaji wa vifaa vya ukarabati wa njia hiyo.
10 years ago
Mwananchi20 Nov
‘Tumieni reli ya kati kibiashara’
11 years ago
Mwananchi02 Feb
Wajapani kukarabati Reli ya Kati
11 years ago
Uhuru Newspaper10 Jun
Wasafiri reli ya kati wakwama
NA RABIA BAKARI
MAMIA ya wasafiri waliokuwa wanaelekea mikoa ya kati na treni ya Kampuni ya Reli Tanzania (TRL),wamekwama baada ya safari hizo kuahirishwa ghafla.
Treni hiyo ambayo ilianza safari wiki iliyopita baada ya kusimama kufanya kazi kwa miezi kadhaa, jana iliendelea kuwa kitendawili baada ya kusitisha ghafla safari hizo bila abiria kutangaziwa mapema.
Wiki iliyopita, TRL ilitoa tangazo la kuanza safari za treni ya abiria zilizosimama kutokana na reli kuharibiwa na mafuriko, na...
11 years ago
Habarileo29 Apr
Ujenzi reli ya kati wapigwa jeki
BODI ya Wakurugenzi ya Benki ya Dunia imeidhinisha msaada wa dola za Marekani milioni 300 kutoka Taasisi ya Kimataifa ya Maendeleo (IDA) kwa ajili ya kuongeza nguvu jitihada za Serikali katika mradi wa ujenzi wa miundombinu ya kisasa ya reli.