Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makaburi ya Shekhe Yahya, Kassim kujengwa upya

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck SadikiSERIKALI imesema itajenga makaburi ya mashekhe wawili maarufu, yaliyodaiwa kubomolewa na Mgambo wa jiji la Dar es Salaam katika operesheni ya usafi inayoendelea.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Mtoto wa Shekhe Yahya atabiri anguko la wanasiasa

Hassan Yahya HusseinMRITHI wa kazi za marehemu Shekhe Yahya Hussein, Hassan Yahya Hussein, ametabiri kutokea kwa anguko la baadhi ya wanasiasa na kuibuka kwa malumbano yenye utata, kuhusu ajenda ya Serikali Tatu katika Katiba ijayo.

 

11 years ago

Habarileo

Daraja la Wami kujengwa upya

WIZARA ya Ujenzi imetangaza kujenga daraja jipya la Wami mkoani Pwani, ambalo ni kiungo kikubwa katika usafiri wa barabara kati ya mikoa ya Kaskazini mwa Tanzania na nchi jirani.

 

11 years ago

Habarileo

Reli ya kati kujengwa upya

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali ina mpango wa kujenga reli mpya ya kutoka Dar es Salaam hadi Mwanza kupitia mikoa ya kati na kuelekea Isaka hadi Burundi ambayo ujenzi wake utazinduliwa rasmi Desemba, mwaka huu.

 

9 years ago

Mwananchi

Soko la Mwanga kujengwa upya

Halmashauri ya Manispaa Kigoma Ujiji inakusudia kuwahamisha wafanyabiashara wa Soko la Mwanga lililopo mjini Kigoma ili kupisha ujenzi liwe la kisasa.

 

11 years ago

CloudsFM

KASSIM MGANGA ARUDI UPYA KWENYE GAME

STAA wa Bongo Fleva,Kassim Mganga amerudi tena na Solo Project baada ya kuwa kimya kwa mwaka mmoja, tangu alipotoa ngoma yake ya I Love You baadae akaelezea sababu za kutokutoa video yake then hatukusikia track yoyote kutoka kwake.

 

9 years ago

Dewji Blog

Breaking News: Waziri Mkuu mteule ni Kassim Majaliwa Kassim!

BRAEKI

kasim

Kassim Majaliwa

Tayari dakika chache zilizopita kutoka ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Dk, John Pombe Magufuli ametuma jina la Waziri Mkuu,  ambaye  ni Kassim Majaliwa aliyekuwa Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).

Jina hilo limefikishwa kwa mbwembwe likiwa ndani ya bahasha tatu huku likiwa limeandikwa kwa mkono. Kwa hatua hiyo sasa  Bunge limeenda mapumziko na dakika chache kutoka sasa litarejea kwa ajili ya kupigia kura na wabunge...

 

10 years ago

Habarileo

Wosia wa Shekhe Karume

Balozi Ali Karume.MTAZAMO na hisia za Muasisi wa Muungano na Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Shekhe Abeid Aman Karume katika Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, umewekwa hadharani na mmoja wa wanawe, ambaye kabla ya kifo cha baba yake, alikuwa Naibu Waziri wa Biashara.

 

11 years ago

Habarileo

JK amlilia Shekhe wa Mkoa wa Iringa

RAIS Jakaya Kikwete, amemtumia Salamu za Rambirambi Mufti wa Tanzania, Sheikh Shaaban Bin Simba, kutokana na msiba wa Shekhe wa Mkoa wa Iringa, Alhaj Shekhe Ally Juma Tagalile (96). Shekhe Tagalile alifariki usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Mkoa wa Iringa, alikokuwa amelazwa akisumbuliwa na ugonjwa wa shinikizo la damu.

 

11 years ago

Habarileo

Ombi la Shekhe Ponda latupwa

 Flora Mwakasala MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali ombi la mapitio lililowasilishwa na Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Shekhe Issa Ponda kwa kuwa limewasilishwa kinyume cha sheria.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani