Mtoto wa Shekhe Yahya atabiri anguko la wanasiasa
MRITHI wa kazi za marehemu Shekhe Yahya Hussein, Hassan Yahya Hussein, ametabiri kutokea kwa anguko la baadhi ya wanasiasa na kuibuka kwa malumbano yenye utata, kuhusu ajenda ya Serikali Tatu katika Katiba ijayo.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi06 Jan
Mtoto wa Sheikh Yahya atabiri mazito
11 years ago
Tanzania Daima02 Jul
Ngeze atabiri anguko la CCM
MWENYEKITI mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kagera, Pius Ngeze (70) anaamini kwamba chama chake kina wakati mgumu kutokana na mambo mawili: Kwanza, upinzani umepata nguvu zaidi, pili...
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/3fW7wWQXsGk/default.jpg)
11 years ago
Habarileo12 Apr
Makaburi ya Shekhe Yahya, Kassim kujengwa upya
SERIKALI imesema itajenga makaburi ya mashekhe wawili maarufu, yaliyodaiwa kubomolewa na Mgambo wa jiji la Dar es Salaam katika operesheni ya usafi inayoendelea.
9 years ago
GPL24 Oct
11 years ago
Habarileo16 Apr
Shekhe:Wajumbe msikubali wanasiasa wawanunue
SHEKHE wa Mkoa wa Dodoma Mustapha Rajabu amewataka wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wanaowakilisha kupitia taasisi zao kwenye mchakato wa kuipata Katiba mpya kutokubali kununuliwa na wawakilishi wa vyama vya siasa.
9 years ago
Habarileo08 Nov
Atabiri mtoto wake kuwania Urais 2050
SIKU tatu baada ya Dk John Pombe Magufuli kuapishwa kuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Tanzania, mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ameibuka na kusema ana imani kubwa mtoto wake mwenye umri wa miaka miwili atakuwa Mgombea wa Urais mwaka 2050.
11 years ago
Tanzania Daima07 Jan
Atabiri 2014 kutawaliwa na maafa
SERIKALI imetakiwa kujiandaa katika matibabu kwa sababu mwaka 2014 unatabiriwa utakuwa wa shida na maafa makubwa. Kauli hiyo ilitolewa jijini Dar es Salaam juzi na bingwa mtabiri nchini, Alhajj Hassan...
10 years ago
Tanzania Daima07 Oct
Guninita atabiri kilimo cha miwa kufa
MKULIMA wa Miwa aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Dar es Salaam, John Guninita, ameibuka na utabiri kuwa zao hilo litakufa miaka miwili ijayo endapo serikali...