Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Atabiri mtoto wake kuwania Urais 2050

SIKU tatu baada ya Dk John Pombe Magufuli kuapishwa kuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Tanzania, mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ameibuka na kusema ana imani kubwa mtoto wake mwenye umri wa miaka miwili atakuwa Mgombea wa Urais mwaka 2050.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mtoto wa Sheikh Yahya atabiri mazito

>Mtoto wa aliyekuwa mtabiri bingwa, Sheikh Yahya Hussein, Maalim Hassan Hussein ametabibiri kuwa Katiba Mpya itapatikana kwa mbinde, kwani kutakuwa na malumbano na utata hasa kuhusu ajenda ya Serikali tatu.

 

11 years ago

Habarileo

Mtoto wa Shekhe Yahya atabiri anguko la wanasiasa

Hassan Yahya HusseinMRITHI wa kazi za marehemu Shekhe Yahya Hussein, Hassan Yahya Hussein, ametabiri kutokea kwa anguko la baadhi ya wanasiasa na kuibuka kwa malumbano yenye utata, kuhusu ajenda ya Serikali Tatu katika Katiba ijayo.

 

10 years ago

Bongo5

Video: Obama ampa Kanye West dondoo muhimu za kumsaidia kwenye uamuzi wake wa kuwania Urais wa Marekani

Barack Obama ameamua kumpa Kanye West dondoo muhimu anazopaswa kuzizingatia katika uamuzi wake wa kuwania urais wa Marekani. “Nina ushauri kwake,” Obama alisema kwenye hafla ya uchangishaji fedha uliohudhuriwa pia na rapper huyo ambaye alitangaza kuwania urais wa nchi hiyo mwaka 2020. “First of all, you’ve got to spend a lot of time dealing with […]

 

9 years ago

Dewji Blog

Familia Mkoani Singida yamtabiria mtoto wao kuwa Rais mwaka 2050!

DSCN5268

Mzee Nassoro Salum, akiwa mitaani jana na mtoto wake Yusuph ambaye amedai anamjengea mazingira mazuri kuja kuwa Rais wa Tanzania ifikapo mwaka 2050.

Na Nathaniel Limu, Singida

WAKATI Watanzania na dunia nzima leo imeshuhudia kuapishwa  kwa Rais wa tano wa Jamhuri ya Muungano  wa Tanzania, Dk.John Pombe Magufuli, familia moja mkoani Singida, imeanzisha rasmi safari  ya kumwandaa mtoto wao wa kiume mwenye umri wa mwaka moja na miezi nane, kuja kuwa Rais wa Tanzania mwaka 2050.

Mtoto huyo...

 

10 years ago

Habarileo

Vijana kung’ara urais, ubunge, mwakani, atabiri Shehe Hassan

Maalim Hassan Yahya Hussein MRITHI wa kazi za Shekhe Yahya Hussein, Maalim Hassan Yahya Hussein ametabiri kuwa mwaka ujao utakuwa ni wenye mafanikio ya uongozi kwa vijana.

 

10 years ago

Vijimambo

Dk Asha-Rose Migiro Ajitosa Kuwania Urais Kupitia CCM......Samuel Sitta Kurudisha Fomu ya Urais Leo


WAZIRI wa Sheria na Katiba, Dk Asha-Rose Migiro leo anatarajia kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwania nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Aidha, taarifa zilizozagaa kwenye mitandao ya kijamii, kuwa Waziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk Ali Mohammed Shein kuwa atachukua fomu si za kweli kwa mujibu wa chanzo cha habari kutoka ndani ya CCM.Migiro, ambaye atachukua fomu kwenye makao makuu wa CCM mjini Dodoma saa tisa mchana, atakuwa mwanamke wa nne kuchukua fomu...

 

10 years ago

Vijimambo

SUGU ASHINDA KESI DHIDI YA MAMA MTOTO WAKE FAIZA, MAHAKAMA YAAMUA APEWE MTOTO

Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi (Sugu) ameshinda kesi aliyomfungulia aliyewahi kuwa mchumba wake Faiza Ally ambaye pia ni mama wa mtoto wake wa kike aitwaye Sasha.Kwa mujibu wa maelezo ya Faiza kupitia akaunti yake ya Instagram, mahakama imetoa hukumu ambayo ni mtoto achukuliwe na kulelewa na baba yake mzazi.Sugu alimshitaki Faiza kwa madai kuwa hana maadili na ana hofia kuwa atamharibu mtoto wao, hivyo alitaka kumchukua mtoto kutoka kwa mama yake aishi naye.

Hiki ndicho amekiandika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani