GLOBAL TV ON LINE: MAALIM HASSAN YAHYA ATABIRI MSHINDI WA URAIS 2015
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/3fW7wWQXsGk/default.jpg)
10 years ago
GPL30 Jun
10 years ago
GPL02 Jul
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/-nMzymXXjMJ5CgPscjZefT8*-zlHFPmOe0OYFfD3wfJsKO0tX*us3lF0HR5yLa975rQcdOFkilFJ7gYpsJ7hWocXQOmJDVA7/somazaidi.gif)
VIFO VYA WASANII VITAENDELEA MPAKA APRILI 2015 - MAALIM HASSAN HUSSEIN YAHYA
Mtabiri Maalim Hassan Hussein Yahya amesema kuwa vifo vya wasanii na mastaa vitaendelea mpaka Aprili 2015 wakati akiongea na Global TV Online. Ili kujua sababu za vifo hivyo, usikose kuangalia Global TV Online na kusoma magazeti ya Global…
10 years ago
GPL17 Feb
11 years ago
GPLMAALIM HASSAN YAHYA ATOA UTABIRI WA MWAKA 2014
Maalim Hassan Yahya Hussein (kushoto) akihojiwa na mwandishi wa habari.
LEO mnajimu maarufu, Maalim Hassan Yahya Hussein amefanya mkutano na waandishi wa habari. Ametabiri mambo zaidi ya kumi, yasome mwenyewe. Ndugu Wanahabari UTANGULIZI:
Mwaka huu tulionao hivi sasa wa 2014 umeanzia siku ya Jumatano, siku hii inatawaliwa Na Sayari ya Mercury, Sayari hii iko Mbingu ya 2, na nyota zake ni mbili nazo ni Mapacha (Gemini)...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-rzWBhdGNh5c/VIiQwToWoTI/AAAAAAAG2YY/Fy1CwqWkT3Y/s72-c/unnamed%2B(17).jpg)
Maalim Hassan yahya Hussein afurahia kurudi kundini CCM
Maalim Hassan Yahya Hussein amerudi rasmi kundini CCM baada ya kuwa nje ya chama kwa takriban miaka 20 hivi na ushee.Maalim Hassan alijitosa katika safari yake ya kisiasa kwa kujiunga na CHADEMA ambapo katika kipindi hicho aliwahi kugombea ubunge jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya chama hicho na pia udiwani kwa kupitia chama hicho hicho - lakini mara zote kura hazikutosha.Juzi alipokekelewa kwa shangwe na wanachama wa CCM katika kata ya Mzimuni, Magomeni, katika mkutano wa kuwanadi wagombea...
10 years ago
Habarileo29 Dec
Vijana kung’ara urais, ubunge, mwakani, atabiri Shehe Hassan
MRITHI wa kazi za Shekhe Yahya Hussein, Maalim Hassan Yahya Hussein ametabiri kuwa mwaka ujao utakuwa ni wenye mafanikio ya uongozi kwa vijana.
11 years ago
Mwananchi06 Jan
Mtoto wa Sheikh Yahya atabiri mazito
>Mtoto wa aliyekuwa mtabiri bingwa, Sheikh Yahya Hussein, Maalim Hassan Hussein ametabibiri kuwa Katiba Mpya itapatikana kwa mbinde, kwani kutakuwa na malumbano na utata hasa kuhusu ajenda ya Serikali tatu.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania