Mtoto wa Sheikh Yahya atabiri mazito
>Mtoto wa aliyekuwa mtabiri bingwa, Sheikh Yahya Hussein, Maalim Hassan Hussein ametabibiri kuwa Katiba Mpya itapatikana kwa mbinde, kwani kutakuwa na malumbano na utata hasa kuhusu ajenda ya Serikali tatu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo06 Jan
Mtoto wa Shekhe Yahya atabiri anguko la wanasiasa
MRITHI wa kazi za marehemu Shekhe Yahya Hussein, Hassan Yahya Hussein, ametabiri kutokea kwa anguko la baadhi ya wanasiasa na kuibuka kwa malumbano yenye utata, kuhusu ajenda ya Serikali Tatu katika Katiba ijayo.
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/3fW7wWQXsGk/default.jpg)
11 years ago
GPLTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU KUVUNJWA KABURI LA SHEIKH YAHYA HUSSEIN NA SHEIKH KASIM
9 years ago
GPL24 Oct
10 years ago
GPL17 Feb
11 years ago
Tanzania Daima12 Apr
Familia ya Sheikh Yahya yaja juu
MTOTO mkubwa wa marehemu Sheikh Yahya Hussein, Hassan Yahya, amesema kitendo cha askari wanaodaiwa kuwa mgambo wa jiji kuvunja kaburi la baba yake pamoja na la aliyekuwa Sheikh Mkuu wa...
11 years ago
Mwananchi11 Apr
Kaburi la Sheikh Yahya lavunjwa Dar
9 years ago
Habarileo08 Nov
Atabiri mtoto wake kuwania Urais 2050
SIKU tatu baada ya Dk John Pombe Magufuli kuapishwa kuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Tanzania, mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ameibuka na kusema ana imani kubwa mtoto wake mwenye umri wa miaka miwili atakuwa Mgombea wa Urais mwaka 2050.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y-6c8O6EPx9B74-zwzbZkbxc1aWpX3Daduttt-2pDrym1Di7LE2mwZ2Lcx-MHlDYMTQv6no1n7s0MAN0kLXgTFK7-q8jMPMh/yyakukojoa.jpg)
MADAI MAZITO MAMA AMUUA MTOTO