Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAALIM HASSAN YAHYA ATABIRI MSHINDI WA URAIS 2015

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

VIFO VYA WASANII VITAENDELEA MPAKA APRILI 2015 - MAALIM HASSAN HUSSEIN YAHYA

Mtabiri Maalim Hassan Hussein Yahya amesema kuwa vifo vya wasanii na mastaa vitaendelea mpaka Aprili 2015 wakati akiongea na Global TV Online. Ili kujua sababu za vifo hivyo, usikose kuangalia Global TV Online na kusoma magazeti ya Global…

 

11 years ago

GPL

MAALIM HASSAN YAHYA ATOA UTABIRI WA MWAKA 2014

Maalim Hassan Yahya Hussein (kushoto) akihojiwa na mwandishi wa habari.
LEO mnajimu maarufu, Maalim Hassan Yahya Hussein amefanya mkutano na waandishi wa habari. Ametabiri mambo zaidi ya kumi, yasome mwenyewe. Ndugu Wanahabari UTANGULIZI:
Mwaka huu tulionao hivi sasa wa 2014 umeanzia siku ya Jumatano, siku hii inatawaliwa Na Sayari ya Mercury,  Sayari hii iko Mbingu ya 2, na  nyota zake ni mbili nazo ni Mapacha (Gemini)...

 

10 years ago

Michuzi

Maalim Hassan yahya Hussein afurahia kurudi kundini CCM

Maalim Hassan Yahya Hussein amerudi rasmi kundini CCM baada ya kuwa nje ya chama kwa takriban miaka 20 hivi na ushee.Maalim Hassan alijitosa katika safari yake ya kisiasa kwa kujiunga na CHADEMA ambapo katika  kipindi hicho aliwahi kugombea ubunge jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya chama hicho na pia udiwani kwa kupitia chama hicho hicho - lakini mara zote kura hazikutosha.Juzi alipokekelewa kwa shangwe na wanachama wa CCM  katika kata ya Mzimuni, Magomeni, katika mkutano wa kuwanadi wagombea...

 

10 years ago

Habarileo

Vijana kung’ara urais, ubunge, mwakani, atabiri Shehe Hassan

Maalim Hassan Yahya Hussein MRITHI wa kazi za Shekhe Yahya Hussein, Maalim Hassan Yahya Hussein ametabiri kuwa mwaka ujao utakuwa ni wenye mafanikio ya uongozi kwa vijana.

 

11 years ago

Mwananchi

Mtoto wa Sheikh Yahya atabiri mazito

>Mtoto wa aliyekuwa mtabiri bingwa, Sheikh Yahya Hussein, Maalim Hassan Hussein ametabibiri kuwa Katiba Mpya itapatikana kwa mbinde, kwani kutakuwa na malumbano na utata hasa kuhusu ajenda ya Serikali tatu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani