Maalim Hassan yahya Hussein afurahia kurudi kundini CCM
![](http://1.bp.blogspot.com/-rzWBhdGNh5c/VIiQwToWoTI/AAAAAAAG2YY/Fy1CwqWkT3Y/s72-c/unnamed%2B(17).jpg)
Maalim Hassan Yahya Hussein amerudi rasmi kundini CCM baada ya kuwa nje ya chama kwa takriban miaka 20 hivi na ushee.Maalim Hassan alijitosa katika safari yake ya kisiasa kwa kujiunga na CHADEMA ambapo katika kipindi hicho aliwahi kugombea ubunge jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya chama hicho na pia udiwani kwa kupitia chama hicho hicho - lakini mara zote kura hazikutosha.Juzi alipokekelewa kwa shangwe na wanachama wa CCM katika kata ya Mzimuni, Magomeni, katika mkutano wa kuwanadi wagombea...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/-nMzymXXjMJ5CgPscjZefT8*-zlHFPmOe0OYFfD3wfJsKO0tX*us3lF0HR5yLa975rQcdOFkilFJ7gYpsJ7hWocXQOmJDVA7/somazaidi.gif)
VIFO VYA WASANII VITAENDELEA MPAKA APRILI 2015 - MAALIM HASSAN HUSSEIN YAHYA
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-63t1CMXqqn4/Vaas5FfWAxI/AAAAAAAHp-o/3BkvaoQ824c/s72-c/unnamed%2B%252810%2529.jpg)
Mtabiri na mtaalamu wa nyoya Hassan Yahya hussein ajitosa kugombea udiwani kata ya mzimuni, Magomeni, Dar es salaam
![](http://4.bp.blogspot.com/-63t1CMXqqn4/Vaas5FfWAxI/AAAAAAAHp-o/3BkvaoQ824c/s640/unnamed%2B%252810%2529.jpg)
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/3fW7wWQXsGk/default.jpg)
11 years ago
GPLMAALIM HASSAN YAHYA ATOA UTABIRI WA MWAKA 2014
10 years ago
GPL30 Jun
10 years ago
GPL02 Jul
9 years ago
GPL24 Oct
11 years ago
GPLMAALIM HASSAN HUSSEIN ATINGA GLOBAL, AFUNGUKA KUHUSU MATUKIO YANAYOENDELEA NCHINI
10 years ago
Mwananchi27 Aug
Maalim Seif: Siwezi kamwe kurudi CCM hii ya sasa