Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtabiri na mtaalamu wa nyoya Hassan Yahya hussein ajitosa kugombea udiwani kata ya mzimuni, Magomeni, Dar es salaam

Bingwa wa Utabiri nchini na Mtaalamu wa Nyota, hapa nchini ambaye ni  Mrithi na mtoto wa Marehemu Marehemu Sheikh Yahya Hussein, Leo Amejitosa Rasmi na kuchukua Fomu kuomba Ridhaa  kupeperusha Bendera ya CCM Katika Kata ya Mzimuni akigombea UDIWANI

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

DOGO AJITOSA KUGOMBEA UDIWANI KATA YA KORONGONI MOSHI MJINI

Mpambanaji aliyejitambulisha kwa mwandishi wa blog hii kwa jina la Liberatus Oba Mawalla "Dogo" (pichani juu) amechukua na kurudisha fomu za kugombea udiwani kata ya Korongoni wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Amesema endapo atapata ridhaa hatapenda wamuite mheshimiwa na badala yake anataka wapiga kura wake wamuite ndugu. Angalia picha zaidi hapa chiniDogo akiwa na wanachama hichoMsafara kuelekea kurudisha fomu ukijipanga.Hapa ni furaha...

 

10 years ago

Michuzi

Maalim Hassan yahya Hussein afurahia kurudi kundini CCM

Maalim Hassan Yahya Hussein amerudi rasmi kundini CCM baada ya kuwa nje ya chama kwa takriban miaka 20 hivi na ushee.Maalim Hassan alijitosa katika safari yake ya kisiasa kwa kujiunga na CHADEMA ambapo katika  kipindi hicho aliwahi kugombea ubunge jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya chama hicho na pia udiwani kwa kupitia chama hicho hicho - lakini mara zote kura hazikutosha.Juzi alipokekelewa kwa shangwe na wanachama wa CCM  katika kata ya Mzimuni, Magomeni, katika mkutano wa kuwanadi wagombea...

 

11 years ago

GPL

VIFO VYA WASANII VITAENDELEA MPAKA APRILI 2015 - MAALIM HASSAN HUSSEIN YAHYA

Mtabiri Maalim Hassan Hussein Yahya amesema kuwa vifo vya wasanii na mastaa vitaendelea mpaka Aprili 2015 wakati akiongea na Global TV Online. Ili kujua sababu za vifo hivyo, usikose kuangalia Global TV Online na kusoma magazeti ya Global…

 

10 years ago

Dewji Blog

Kampeni za Udiwani ndani ya CCM Kata ya Magomeni zaanza kwa kishindo

ANDKatibuu Mwenezi wa CCM Kata ya Msasani, Bw. Andrew Mangole (kulia) akiwaomba wana CCM kuachana na makundi na  baadala yake wakijenge chama katika misingi imara na kuibuka na ushindi hapo baadae katika uchaguzi Mkuu. (Picha zote na Andrew Chale, modewjiblog).

Na Andrew Chale, modewjiblog

(Magomeni-Kinondoni) Kampeni za kura za maoni kwa wagombea Udiwani ndani ya Cha Cha Mapinduzi (CCM) zimepamba moto ambapo kila mgombea amejitokeza na kujinadi mbele ya wanachama ili achaguliwe kukiwakilisha...

 

9 years ago

Vijimambo

CHAGUA MUHIDIN BUNAYA SANYA - Mgombe udiwani Kata Kimbiji,Dar-es-Salaam

WANA KIMBIJI TUMCHAGUE DIWANI MUHIDINI BUNAYA SANYA KWA MASLAHI YA WAKAZI WA KIMBIJI,Tuache ushabiki wa vyama tu we wa kweli kwa kumchagua kijana wetu huyu Muhidini Bunaya Sanya mwenye kiu ya maendeleo,aliyesimama kidete kila wakati na kuhakikisha sisi wakazi wa Kimbiji tunanufahika kwa elimu ya watoto wetu,uchimbaji wa visima,anatupigania kuhakikisha hatunyanyaswi na wavamizi wenye uchu wa kupora maeneo yetu wenyeji,Muhidini Bunaya Sanya mzawa mwenye uchungu na kimbiji pia ni jembe letu la...

 

10 years ago

Dewji Blog

“Dogo” ajitosa udiwani kupitia CHADEMA kata ya Korongoni mjini Moshi

Mpambanaji aliyejitambulisha kwa mwandishi wa blog hii kwa jina la Liberatus Oba Mawalla “Dogo” (pichani juu) amechukua na kurudisha fomu za kugombea udiwani kata ya Korongoni wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Amesema endapo atapata ridhaa hatapenda wamuite mheshimiwa na badala yake anataka wapiga kura wake wamuite ndugu. Angalia picha zaidi hapa chini.

 Dogo akiwa na wanachama hicho.

Msafara kuelekea kurudisha fomu ukijipanga.

 

9 years ago

Michuzi

mama salma kikwete anadi wagombea ubunge na udiwani kata ya ubungo jijini dar es salaam

 Jijini Dar es Salaam wakati wa Kampeni ya kumnadi Mjumbe wa NEC –CCM Lindi Mjini ,Mama Salma Kikwete,akizungumza na wakazi wa Kata ya Makurumla Magomeni mgombea wa Ubunge Jimbo la Ubungo,Didas Masaburi na Diwani wa kata hiyo Rajabu Hassani  Mjumbe wa NEC –CCM Lindi Mjini ,Mama Salma Kikwete,akizungumza na kuonesha Irani ya uchaguzi wakazi wa Kata ya Makurumla Magomeni Jijini Dar es Salaam wakati wa Kampeni ya kumnadi mgombea wa Ubunge Jimbo la Ubungo,Didas Masaburi na Diwani wa kata hiyo...

 

9 years ago

Michuzi

MGOMBEA UDIWANI KATA YA MBAGALA KUU (CCM) YUSUF MANJI AZINDUA KAMPENI ZAKE DAR ES SALAAM LEO

 Kiongozi wa Kamati ya Ushindi kwa CCM kutoka Kigoma, Nicholaus Zacharia (kulia), akimtambulisha Yusuf Manji katika uzinduzi huo. Mgombea nafasi ya udiwani Kata ya Mbagala Kuu kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusuf Manji (kushoto), akihutubia wananchi na makada wa chama hicho katika uzinduzi wa kampeni uliofanyika eneo la Kichemuchemu Kaskazini Dar es Salaam leo jioni. Chipukizi wakifanya vitu vyao. Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye uzinduzi huo.Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani