MGOMBEA UDIWANI KATA YA MBAGALA KUU (CCM) YUSUF MANJI AZINDUA KAMPENI ZAKE DAR ES SALAAM LEO
Kiongozi wa Kamati ya Ushindi kwa CCM kutoka Kigoma, Nicholaus Zacharia (kulia), akimtambulisha Yusuf Manji katika uzinduzi huo.
Mgombea nafasi ya udiwani Kata ya Mbagala Kuu kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusuf Manji (kushoto), akihutubia wananchi na makada wa chama hicho katika uzinduzi wa kampeni uliofanyika eneo la Kichemuchemu Kaskazini Dar es Salaam leo jioni.
Chipukizi wakifanya vitu vyao.
Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye uzinduzi huo.Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog20 Sep
Mgombea udiwani kata ya Mbagala Kuu (CCM) Yusuf Manji azindua kampeni zake Dar
9 years ago
GPLMGOMBEA UDIWANI KATA YA MBAGALA KUU (CCM) YUSUF MANJI AZINDUA KAMPENI ZAKE
9 years ago
Michuzi13 Oct
9 years ago
VijimamboCHAMA CHA ACT-WAZALENDO CHAZINDUA KAMPENI ZAKE VIWANJA VYA MBAGALA ZAKHEM DAR ES SALAAM LEO
9 years ago
Dewji Blog31 Aug
Chama cha ACT-Wazalendo chazindua kampeni zake viwanja vya Mbagala Zakhem Dar Es Salaam
Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Anna Mghwira (kushoto), akihutubia katika uzinduzi wa kampeni ya chama hizo uliofanyika viwanja vya Zakhem Mbagala jijini Dar es Salaam jana.
Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Kabwe Zitto akihutubia katika uzinduzi huo.
Mshauri wa Chama cha ACT-Wazalendo, Profesa Kitila Mkumbo akihutubia kwenye uzinduzi huo.
Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Kabwe Zitto (kushoto), akiteta jambo na Mgombea urais wa Tanzania...
9 years ago
Mwananchi15 Sep
Mgombea udiwani Kata ya Uyole CCM afariki ghafla
11 years ago
MichuziKATIBU MKUU WIZARA YA MAJI AZINDUA MRADI WA MAJI MBAGALA KUU,JIJINI DAR LEO
10 years ago
Dewji Blog28 Jul
Kampeni za Udiwani ndani ya CCM Kata ya Magomeni zaanza kwa kishindo
Katibuu Mwenezi wa CCM Kata ya Msasani, Bw. Andrew Mangole (kulia) akiwaomba wana CCM kuachana na makundi na baadala yake wakijenge chama katika misingi imara na kuibuka na ushindi hapo baadae katika uchaguzi Mkuu. (Picha zote na Andrew Chale, modewjiblog).
Na Andrew Chale, modewjiblog
(Magomeni-Kinondoni) Kampeni za kura za maoni kwa wagombea Udiwani ndani ya Cha Cha Mapinduzi (CCM) zimepamba moto ambapo kila mgombea amejitokeza na kujinadi mbele ya wanachama ili achaguliwe kukiwakilisha...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10