Mgombea udiwani Kata ya Uyole CCM afariki ghafla
Chama cha Mapinduzi Jimbo la Mbeya Mjini kimepata pigo baada ya mgombea wake wa Kata ya Uyole, Kambi Njela kufariki dunia ghafla.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPLMGOMBEA UDIWANI KATA YA MBAGALA KUU (CCM) YUSUF MANJI AZINDUA KAMPENI ZAKE
9 years ago
Dewji Blog20 Sep
Mgombea udiwani kata ya Mbagala Kuu (CCM) Yusuf Manji azindua kampeni zake Dar
9 years ago
MichuziMGOMBEA UDIWANI KATA YA MBAGALA KUU (CCM) YUSUF MANJI AZINDUA KAMPENI ZAKE DAR ES SALAAM LEO
10 years ago
Dewji Blog22 Sep
Kijana UVCCM atangaza nia ya kuwania Udiwani kata ya Ilunda, lengo ni kurejesha kata CCM, inayongozwa na Chadema
Kijana Mohamed Embele (38) ambaye ametangaza nia ya kurejesha Kata ya Ilunda (CCM), hivi sasa Kata hiyo inaongozwa na Diwani wa CHADEMA Long’ida Ole Looda.
Na Hillary Shoo, Mkalama
KAMANDA wa UVCCM wa Kata ya Ilunda Tarafa ya Nduguti Wilayani Mkalama Mkoani Singida, Mohamed Embele (38) ametangaza rasmi nia yake ya kutaka kugombea nafasi ya Udiwani kwenye Kata hiyo katika uchaguzi Mkuu ujao wa mwaka 2015.
Akizungumza katika mahojiano maalumu wakati wa kufunga kambi ya vijana wa Wilaya ya...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-umBuZNv3ooQ/Va4o2h0FlVI/AAAAAAAHqzw/HKGXphpru7o/s72-c/GODFREY%2BBENJAMIN%2B2.jpg)
VIPAUMBELE VYA MGOMBEA UDIWANI KATA YA MTONI - GODFREY BENJAMIN
![](http://1.bp.blogspot.com/-umBuZNv3ooQ/Va4o2h0FlVI/AAAAAAAHqzw/HKGXphpru7o/s640/GODFREY%2BBENJAMIN%2B2.jpg)
KERO ZINAZOKABILI KATA YA MTONIØ Huduma hafifu za afya.Ø Viwanja vingi vya michezo kuingiliwa.Ø Ukusanyaji wa kodi usioridhisha katika masoko na sehemu husika.Ø Uchafu ( mitaa na maji taka).Ø Miundombinu isiyoridhisha ( barabara, mitaa, majengo ya shule zetu)Ø Ajira.Ø Ugumu wa upatikanaji mikopo hasa kwa watu wasio na ajira rasmi na dhamana ( vijana na wanawake).Ø Kutothamini vipaji haswa za vijana na watoto.Ø Ushirikishwaji hafifu wa...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-Pxoan8odKh0/Vf-xjOxRQYI/AAAAAAAH6cs/eZ-FnUYcFwU/s72-c/_MG_8365.jpg)
MAGUFULI AHANI MSIBA WA ALIYEKUWA MGOMBEA UDIWANI KATA YA MULEBA MKOANI KAGERA
![](http://2.bp.blogspot.com/-Pxoan8odKh0/Vf-xjOxRQYI/AAAAAAAH6cs/eZ-FnUYcFwU/s640/_MG_8365.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-5lwNq7wTZ14/Vf-xkbveSFI/AAAAAAAH6c0/qyDG2kG2VSM/s640/_MG_8375.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-GJR15TzOjjw/Vf-xeN7RViI/AAAAAAAH6cQ/zdSXrgCPWWg/s640/_MG_8336.jpg)
10 years ago
Vijimambo15 Dec
Mgombea CCM, mpigakura wafariki dunia ghafla
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2556680/highRes/898575/-/maxw/600/-/15pu10t/-/askari.jpg)
10 years ago
Dewji Blog28 Jul
Kampeni za Udiwani ndani ya CCM Kata ya Magomeni zaanza kwa kishindo
Katibuu Mwenezi wa CCM Kata ya Msasani, Bw. Andrew Mangole (kulia) akiwaomba wana CCM kuachana na makundi na baadala yake wakijenge chama katika misingi imara na kuibuka na ushindi hapo baadae katika uchaguzi Mkuu. (Picha zote na Andrew Chale, modewjiblog).
Na Andrew Chale, modewjiblog
(Magomeni-Kinondoni) Kampeni za kura za maoni kwa wagombea Udiwani ndani ya Cha Cha Mapinduzi (CCM) zimepamba moto ambapo kila mgombea amejitokeza na kujinadi mbele ya wanachama ili achaguliwe kukiwakilisha...
9 years ago
Mwananchi28 Aug
Mgombea udiwani CCM apita bila kupingwa
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10